Home
Unlabelled
kulikoni EPA towers?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ilitakiwa uwajibike kita kikosi cha zima moto. Sio kukaa kimya na siku tatu baadae kuandika humu.
ReplyDeletehapo naona kuna ushahidi unapotezwa
ReplyDeletemaana huku tanzania database ni ya kusuasua kuna files za wakubwa zinachomwa tu hapo...by mdau Uk
just going off on a a limb, but it's possible they were burning old notes. Central banks have to do that to all worn out bills that are to be taken out of circulation.
ReplyDeleteJust a guess
Anon wa kwanza...bongo kuna kikosi cha zima moto kinachofanya kazi kweli? Wakija si utasikia hatuna maji, nk
ReplyDeleteNa Nalitolela...hizo notes ninachomwa moto katikati ya mji? Hawana furnace?
mtoto
HILI JENGO LIPO MAENEO GANI
ReplyDeleteCould all of us think possitively otherwise, why dont we think of electrical generators?
ReplyDeleteYeah ni kweli kila mara moshi huu uonekana katika hizo EPA towers lakini niliwahi kuulizia na kutaarifiwa ya kuwa ni ZOEZI la KUCHOMA moto fedha zilizochakaa ambalo linafanyika katika jengo hilo hivyo si ajbau mara kwa mara kuona moshi huo
ReplyDeleteBenki kuu iko katika kutekeleza moja ya majukumu yake.
ReplyDeletekuteketeza noti zilizochakaa na zilizochanika chanika vipande!
Na bila kukosea jengo lenye hilo 'tanuru' liko hapo kushoto kama unaingia Benki kuu.
wanachoma pesa za zamani
ReplyDeletekuna mdau kauliza hilo jengo liko wapi, sio mtaalamu sana wa mitaa lakini nikikutajia majirani unaweza kupata idea, nyuma ya wizara ya fedha, au nyuma ya hostel za ifm au nyuma kilimanjaro hotel, kempenski utaona hayo maEPA tower.
ReplyDeleteWhy are we always negative kuhusu BoT?
ReplyDeleteMarafiki zangu ambao BoT wanakosa amani kwa ajili ya maneno ya hapa na pale kana kwamba wao wanafaidi saana.
Poleni sana washikaji, ipo siku mtarudi kwenye form.
Jamani lakini hii fitna itaisha lini.....EPA imekuwa nongwa kwa chochote kinachohusu BOT......eti na ile barabara mpya kule mbezi beach kwa vile imepita mbele ya bot flats basi imebandikwa jina la EPA Rd,.......nyie mnaoendekeza hizi fitna jaribuni kuwa wastaarabu.....kha!
ReplyDeletelabda BBQ?
ReplyDeleteHUO NI USHAHIDI UNACHOMWA NA HIVI BONGO FILING NI YA MAKARATASI HAKUNA HATA SCANNING FACILITIES SEHEMU NYIGI NA NYETI ! MTANIAMBIA MIMI KESI IKIANZA TUTAAMBIWA USHAHIDI HAUONEKANI !!
ReplyDeleteNi kweli kabisa huo moshi unakuwa mara kwa mara, takriban kila mwezi. Na mbaya zaidi wakati wanachoma moshi wooote unakimbilia Kilimanjaro Hotel, kwahiyo kwa kiasi kikubwa unawanyima raha wageni waliofikia pale, ukizingatia asilimia kubwa ya wanaolala pale ni wageni kutoka nje. Mimi ningeshauri kama wanataka kuteketeza hizo pesa chakavu ni bora wakaenda WAZO HILL, pale wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi, au waende dampo la vingunguti na wazichome chini ya ulinzi mkali, otherwise wakiendelea kuchomea hapa city center, watatuletea Saratani za makoo tuu. Ni haayo tuu.
ReplyDeleteJamani! Jamani! mbona mnawaandama wenzenu?
ReplyDeletekatika woooooooooote, mmoja tu ndio kaweza kueleza nini kinatokea hapo. When you come accross to anything in life try to analyse before giving out any comment, inaweza kusababisha ukaonekana wewe ni ignorant while u r educated. Ni hayo tu.
ReplyDeletehahahahaaaaaaaa,,,kwikwi kwiii
ReplyDeleteduh!!hii mwisho,,tanuru ya kuchomea zagazaga lipo juu ya jengo la BOT??
yan kuamini inatia walakini!!!mmmmmmmmmmmmmmmh!!
Siku hizi kuna shredder za pande nne. Bi yake poa tu. kwa hiyo hakuna haja ya kuharibu hewa na kuchafua mazingira. Confete ya noto ni biodegreadable - yaandi naweza kuozeshwa kwa bacteria wakawaida tu.
ReplyDeleteNa wewe anon wa 5:00pm hapo juu sogea mbele huko. Nani kakwambia humu kwa kaka Misupu watu tunakuja kuanalyse vitu kiundani na kuwa serious? Tuache na comment zetu za ignorance na wewe na elimu yako fungua blogu uone kama tutakutembelea na dharau zako. Kwanza na hiyo so called education yako ku-spell "across" tu kunakushinda ? Si hayo tuu nina mengi ya kukwambia .......Sijui nikwambie ? mmh anyway wacha nikusamehe kalaga baho !!
ReplyDelete