kijiwe chetu cha salamanda ndio hivyo tena...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AISEE , SASA YULE MUUZA MAGAZETI YA MAJUU MAARUFU PALE ATAKUWA AMEENDA WAPI?

    ReplyDelete
  2. DUUH, MDAU WA KWANZA HAPO JUU KWELI UMENIKUMBUSHA MBALI YULE JAMAA ALIYEKUWA ANAUZA MAGAZETI KAMA EBONY, WAKATI ULE HATA TV MPAKA KWENDA KWA JIRANI JINA LAKE SIJUI NANI NIMEMSAHAU...KUNA MTU ANAKUMBUKA JINA LAKE?

    ReplyDelete
  3. KWA WATOTO WA SIKU HIZI HAPA SALAMANDER NDIPO DEAL ZOTE ZILIKUWA ZINAFANYIKA, ENZI HIZO ZA MIAKA YA 1970 HADI 1980 NA YA MWISHO YA 1990, UKITAKA PESA ZA KIGENI NDO HAPO, UKITAKA MADAWA YA KULEVYA NA HAPO, UKITAKA DEAL LA UBAHARIA NDO HAPO, UKITAKA MASWALA YA KURUKA MAMTONI NDO HAPO, HAPO ENZI ZAKE NI WAZUNGU TU WAKIVYONZA KAHAWA KWA MRIJA, SMART BOYS UTAWAKUTA WAMESIMAMA HAPO WAKIANGALIA HUKU NA KULE KUCHANGAMKIA MADILI, HATA WAZEE WAKAZI WATOTO WA NYERERE HIYO NDO ILIKUWA MITAA YAO/USALAMA WA TAIFA, PALIKUWA PANATISA, PA CLASS YA JUU SI PA MCHEZO, NA MKUMBUKA JAMAA MMOJA TULISOMA NAYE MAZENGO MIMI HIGH SCHOOL YEYE O-LEVEL ALIKUWA AKOSI HAPO, NA WAKATI WOTE AKIBADILISHA MAGARI TU, SASA NILIKUWA SI MJUWI ALIKUWA KAMA NINI HAPO SHUSHU SIJUWI, AU MZUNGU WA UNGA SIJUWI, KWANI ALIKUWA SMART KWELI KWELI NA KUBADILISHA MAGARI KAMA KIATU HIVI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...