ni website mpya ambayo inakuja na mambo mbalimbali kwaajili ya watanzaniaBaadhi ya vipengele vilivyopo kwenye nifahamishe.com ni kama ifuatavyo-
>( Breaking news za bongo na duniani ) Habari mbali mbali za Tanzaniana za kimataifa-
>Habari katika picha na video
>Live radio
>Online Games
>Habari za burudani na wasanii wa bongo
>Utaweza kusikiliza nifahamishe nonstop bolingo na lingala mix
>Kuuza kwa kuweka tangazo lako bure au kununua nyumba,magari,vitu vyaelectronics na kadhalika
>Kushare picha na watanzania duniani
KARIBU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...