mamodo wa ist afrika mashariki ambao wako kambini majiuzi walitembelea ofisi za zain ambako pamoja na mambo mengine walizawadiwa kanga za kampuni hiyo kabambe ya simu. shoto ni afisa habari wa zain celine njuju. mamodo hawa wako kambini kujiandaa na fainali za umodo zitazofanyika novembe 29 mwaka huu ukumbi wa diamond jubilee hall, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Celine Njuju........mmmmmmmmmmmmmmmmhh,si mchezo.

    ReplyDelete
  2. jamani dada celine njunju kila nikimuangalia mate yananijaa mdomoni mwenzenu,napenda nijue kama yuko singo au okyupaid

    ReplyDelete
  3. michuzi kingilio ni ngapi tujia dae mapema kwenye hyo shoo?

    ReplyDelete
  4. Dada Celine amependeza kuliko mamodo mhhh nashindwa jinsi ya kuelezea niishie hapo tu

    ReplyDelete
  5. KWELI WATU HUBADILIKA,Celine nimesoma nae darasa moja yeye alikua science huko arusha.alikuwa mwembamba kweli,umependeza bwana Celine sema usizidi hapo tena itakua haipendezi,Caro ypo wapi jamani dada yako?umefika mbali kama ulivyokuwa na akili darasani,niliwahi kusikia ukiwa mtangazaji sasa upo Zain....

    ReplyDelete
  6. Celline usiwasikilize hawa wanaokusifia. Hii ni midume isiyopenda kufanya kazi, inataka kujiwekeza kwako, Nyamafu zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...