Mara ya kwanza Mhandisi Nundu alichaguliwa katika nafasi hiyo Desemba mwaka jana, akiwa ni mwafrika wa kwanza kupata nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 29 iliyopita.
Kwa kuchaguliwa kwa mara ya pili kwa nafasi hiyo, Mhandisi Nundu anavunja kawaida ya miaka mingi kwamba nafasi hiyo inashikwa kwa kipindi kimoja tu. Mhandisi Nundu pia ni Mkurugunzi wa Uhusiano wa Kimataifa katika Tanzania Civil Aviation Agency (TCAA).


Mwantumu Malale au Dr.Asha-Rose Migiro? naona sasa nahitaji miwani.
ReplyDeleteHongera sana ndugu Nundu..
ReplyDeleteHizo ndo articles zinazopaswa kujadiliwa na wengi..utashangaa wageni wa hii blog wanadakia mambo ya kinyaiya tu ..! Big up ..bendera yetu yanafana!
Huitaji miwani kwaani Bi. Mwantumu Malale ni dada yake Dr. Asha-Rose Migiro.
ReplyDeleteCongratulation Mr.O.Nundu for being re-elected. It is such an historic event for Tanzania and Africa in general. I am truly proud of you, and thank you for being a positive role model to all of us.
ReplyDeleteMdau- Abittibi.
SAAAAAAAAAFI SANA EE MTANZANIA MWEZETU AYA NDO MAMBO TUNAYOTAKA TUYASIKIE ,,,big up msomi wetu kwa raha zako,,
ReplyDeleteafu wewe annon na kinya------ usitichafulie hewa