Familia ya Mheshimiwa Pius Msekwa inawaarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa kutakuwa na misa ya kumuombea mama yao mzazi aliyefariki 25.10.08 na kuzikwa 28.10.08 nyumbani kwake mlalakuwa Dar es salaam.
Misa hiyo itafanyika jumapili ya tarehe 7.12.08 katika kanisa la mtakatifu Anne
Gresham st
london EC2
kuanzia saa nane mchana.
wote mnakaribishwa na mungu amlaze mahali pema peponi.
asanteni
Watoto wa Marehemu Mama Erica Samwangwa Msekwa.
Poleni, sikuwaona kabla hamjaondoka lakini nitahudhuria misa. POLENI SANA
ReplyDelete