AFRICAN JESUIT ALUMNI IN INDIA CONGRESS
23 – 25 DEC 08

“Men and women for others”, “For the greater Glory of God”, Let your Light Shine”……….
Do you remember any of these phrases??
Have you ever been a Loyolite before??
Are you currently enrolled in any Jesuit Institution??
Get back down to memory and share the Loyolite/Jesuit values with friends with whom you share a background.

The Jesuit Students of Tamil Nadu invite you to the beautiful city of Madras to be part of a memorable fellowship of African Jesuit Alumni from across India.
Did you ever think you would meet your classmates in India???
Do you still feel connected to Loyola in one way or the other??
Would you like to be part of the Global Jesuit Alumni Community??

23RD TO 25TH DECEMBER COME AND JOIN LOYOLITES FROM ACROSS THE COUNTRY AS THEY CELEBRATE THEIR RICH BACKGROUND AT AICUF, STERLING ROAD 52, NUNGAMBAKKAM, CHENNAI.

Celebrate Christmas with your old friends.
Go sight seeing and enjoy the showers of the World’s Second Longest Beach
Spend a memorable Christmas in the beautiful French town of Pondicherry
Get Jiggy with it with the African brotherhood from across India in (don’t you miss the dancehall, regeaton, bongofleva, electrica and all these ridims?)
Its happening like it never has before!! An experience of a life time it aint stopping till the fat lady sings!!

Don’t let yourself hear it from a friend come and see it yourself
Book now and earn yourself a ticket. Each ticket costs: Rs .2000!
For reservations
Contact:
Terence V. Silonda
Email:
jesuitians.india@yahoo.com
Cell: +91 984 01 23 784
---------------------------------------------------------------------------------------
Hello Mhe Balozi Michuzi,
Hongera kwa majukumu mazito ya kuwaunganisha Watanzania popote walipo. Mimi leo nimeona nikuombe msaada kumtafuta rafiki yangu wa siku nyingi kupitia blogu hii ya jamii.
Rafiki anaitwa James Mndolwa tulikuwa naye pale Kibasila Sekondari kati ya 1993 - 1996, alikuwa anaishi Ubungo na kuhudhuria Tuition kwenye shule moja ya msingi maeneo ya Ubungo. Imepita miaka 14 hatujawasiliana, naomba mdau yeyote wa blogu ya jamii anayemfahamu au yeye mwenyewe tuwasiliane kupitia
-------------------------------------------------------------------------

Namtafuta mtu anaitwa Ladyness Mwasalyanda yupo nchini Uingereza kama
kuna mtu anazo anuania zake tafadhali naomba uwasiliane nami kwa
anuani
au

Asante kwa ushirikiano wako,
Bariki (in Dar es Salaam)
--------------------------------------------------------------------

Mh. Balozi Michuzi,
Natafuta mchumba wa kumuowa umri wangu ni miaka 25
natafuta msichana wa kuanzia miaka 20-23 naomba nitumie na picha yako
Ninaishi Washington Dc ninasoma na pia ninafanya kaz Naomba uwe unaishi ndani ya U.S.A
email yangu ni
pkahara@gmail.com

Naomba sana uwe mkweli
----------------------------------------------
Hi Mr Issa,
Ni matumaini yangu unendelea na kazi vizuri pole sana kwa kazi ngumu ya kuelimisha jamii kupitia blog yetu ya jamii.
MSAADA TUTANI
Mimi ni msichana wa miaka 29 mtanzania halisi mkononi nina alama ya ndui sina tatoo, Ninafanya kazi kwenye kampuni ya kigeni ya ndege hapa nchini kama supervisor lakini mpaka sasa sijabahatika kupata mwenza ambaye mi nimempenda kuwa naye kimaisha.
Hivyo mwanaume kuanzia miaka 33-40. Ninaomba aliye serious na anatufuta mwenza anitumie picha kwenye e mail address yangu marina.edgar@yahoo.com
-------------------------------------------------------------------
Hi mr.Michu,
naomba nisaidie natafuta mchumba.Mimi ni msichana wa miaka 25,natafuta mchumba ambaye baadaye atakuja kuwa mume wangu..
Awe mkristo anemuogopa Mungu,asiwe mlevi,awe na umri wa 27-30.mfanyabiashara au muaajiriwa.Awe tayari kupimwa ukimwi!!!!
mimi nimuajiriwa,elimu yangu ni ya chuo kikuu.
Please aliyetayari na mkweli naomba tuwasiliane kwa simu 0782 630246 hii namba inapatikana kuanzia sa11jioni!
Unaweza ukatuma hata ujumbe mfupi tu !
Asanteni
Hi mr Michuzi,
Pole na kazi.Asante sana kwa vile umeinisaidia kuweka lile tangazo nililokuwa kuandikia!Mimi ni yule dada niliyeandika natafuta mchumba (kati ya zile posts za misaada matutani)Naomba nikusumbua if possible kama unaweza kuniwekea email address yangu nilisahau kuweka Namba ya simu ni ile ile 0782-630246 inapatikana kuanzia saa11 jioni.
Email address yangu ni
Natanguliza shukrani nyingi!
Ni mimi mdau!1
------------------------------------------------------
Kaka balozi/mkuu wa wilaya/waziri (maanake siku hizi hata sijui una vyeo vingapi)
Hongera kwa kuzidi kutupasha habari katika globu yetu hii. Hongera kwa hicho kiushindi kiduchu walichopata bwawa la maini wikiendi hii.
Leo nimeona nami nijitose kutafuta marafiki zangu tuliopoteana miaka mingi iliyopita. Mko wapi Fitzgerald Ruta, Sekundus Evodius, Deo Ludovic, Robert, na Victor Stanslaus??? Tumepoteana tangu tumalize darasa la saba shule ya msingi Nyanza, Mwanza mwaka 1993.
Tafadhali tuwasiliane
- Mdau Kidolezi
-------------------------------------------------
Kwanza hongera sana kwa kazi ya kutupa taarifa motomoto na za wakati husika, yaani curent news.Naomba msaada kupitia blog hii ya jamii.
Mie bwana namtafuta sana rafiki yangu aitwaye JOHN PETER MACHA, nilisoma naye Kibaha Secondary toka 1990 hadi 1993 kisha yeye akaenda Oldmoshi Sec kwa masomo ya A-level. toka wakati huo hatuja onana, naomba yeyote mwenye taarifa zake anifahamishe kupitia
Asante sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mnataka mtelemko nyie nyoo oeni wamalekani sasa. tabia hii sina hamu nayo,kawaleteni kamá wenzenu tulivyoletwa, mitelemko siku hizi hakuna, kitolee jasho ndo ukile kwa amani.

    ReplyDelete
  2. mheshimiwa balozi inabidi ufungue blog maalum kwa watafutaji wachumba baada ya ile ya taswirazz, hii ya wachumba ipe jina wachumbazz blog manaake ishakuwa tabu.

    ReplyDelete
  3. Nilishaleta na nikakimbiwa ndio maana nikasema hivo, ndio tatizo lenu madada zetu mlio nje ndio maana wengi hamuolewi

    ReplyDelete
  4. Ebwana dada yangu nilimleta na akanimbia , sasa niludie kosa?

    ReplyDelete
  5. EBWANA NILIMLETA NA NIKAKIMBIWA NAOMBA MAWAZO YAKO DADAANGU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...