Ndugu wanachama wa jumuiya ya watanzania waishio japan.
kutakuwa na mkutano siku ya tar.30 nov siku ya jpili ktk ukumbi wa Odakyu sagamihara kuanzia saa 11 jioni.
Agenda za mkutano huu ni kama ifuatavyo
[1]kutoa taarifa ya maendeleo ya jumuiya tangu uongozi mpya ulipoingia madarakani
[2]kutoa taarifa ya mapato na matumizi
[3] kutoa taarifa za ufutiliaji wa fedha za iliyokuwa umoja wa watanzania waishio japan/tokyo
[4]mengineyo.
Kwa hiyo basi wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi bila kukosa ili kuweza kuijenga jumuiya yetu.
Ktb Mwenezi tanzanite society


Nawaoneeni huruma hamna mtu anaimaindi hio mikutano yenu, leo siku kibao bila ya mtu kukomenti. Watu tuko bizi, hatuna muda wa kupiga story na wachawi.
ReplyDelete