I am looking for a decent, single, serious christian Tanzanian woman who will eventually become my dear wife.
I live and study in the Unites States and am currently single. She should either be living in America or in Europe. Hakuna vigezo maalum so far.
Kama nilivyosema awali, ni lazima awe mwenye kumwogopa Mungu. Akina dada mnaoishi Tanzania mtanisamehe, hii posting haiwahusu. Tafadhali naomba msiniandikie.
All my life I have have been waiting and praying for you.
If you are that someone special, please write me.
Have guts to do it like I did.
Thanks.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 51 mpaka sasa

  1. Waulaya na states washapanchi, tafuta walioko bongo utawapata kwa mafungu.

    ReplyDelete
  2. ULIJUAJE HATA MIMI NATAFUTA MUME MCHA MUNGU.AMEN,MY PRAYERS HAVE BEEN ANSWERED.

    USIJALI YOU WILL DEFINETLY HEAR FROM ME
    MDAU,IL

    ReplyDelete
  3. we mpuuzi umeenda marekani unajiona umefika sana ee..sasa kwanini waliopo bongo wasikutumie email. na wewe dongo, kwanini usiende ukatafute club au Kanisani,popote paanapokufaa unakuja chukua demu michuzi ujui background yake etc. shenz we

    ReplyDelete
  4. WEWE NI MWONGO NA MNAFIKI UNASEMA Hakuna vigezo maalum so far.''

    KABLA JOGOO HALIJAWIKA UNASEMA,

    'She should either be living in America or in Europe'

    HICHO TAYARI NI KIGEZO TENA CHENYE UBAGUZI WA NGUVU! MTU ANAWEZA SASA HIVI KUWA ANAISHI TZ LAKINI KESHO AU WIKI IJAYO AU MWAKANI AKAWA ANAISHI US. KWANZA EBU TUONDOLEE UPUUZI HUU HAPA KWANI KUISHI US & EUROPE WEWE UNAKUCHUKULIAJE?

    HALAFU KWA KULIKOLOGA KABISA NA KUVAA NGOZI YA KONDOO CHINI YA MWAVULI WA SALA,UNASHUKA NA UPUUZI HUU,

    '..akina dada mnaoishi Tanzania mtanisamehe, hii posting haiwahusu. Tafadhali naomba msiniandikie.
    All my life I have have been waiting and praying for you'

    HATA NAWE USINGEWASUMBUA DADA ZETU WANAOISHI TANZANIA; TAFUTA HATA BLOGU AMBAZO ZINAWEZA KUFUNGUKA TU HUKO US & ULAYA! HALAFU RUDI SUNDAY SCHOOL UJIFUNZE TENA MAANA YA SALA KWA MUUMBA WAKO NA MATOKEO YAKE! YAANI MUNGU GANI ATASIKILIZA SALA YA KIJINGA HIYO ETI UKISEMA,

    'MUNGU WANGU NAKUOMBA UNIPE MKE MWENYE RESIDENT PERMIT SASA HIVI YA MAREKANI NA ULAYA TU NA SIO KWINGINE POPOTE HATA KAMA ANAFAA NA ANASIFA ZA KUWEZA KUKAA NAMI HAPA MAREKANI- AMINA!'

    HATA WAMEREKANI WENYEWE WASINGEWEZA KUOMBA SALA YA NAMNA HUYO KATIKA KUMTAFUTA RAIS WAO , MAANA KUNA WAKATI OBAMA ALIKUWA MKAZI WA INDONESIA- HABARI NDIYO HIYO WEWE MBAGUZI?

    ReplyDelete
  5. You did not have guts. Why don't you give your name and your real address.
    Do that if you really have guts.
    Kama unataka mcha Mungu basi nenda kanisani tu uulize ulize.
    Halafu inakuwaje hutaki kuoa kwenu au huna makaratasi? Unataka upate makaratasi kwa mgongo wa mwanamke?
    Dada zangu nawaambia huu ni mtego msije mkajiingiza.Huyu jamaa anaonekana ana nia ya kuwaumbua wenziwe.

    ReplyDelete
  6. What about if someone lives in Europe and is out of status(nyaraka)?Mtafahamiana na kudate vipi? Hovyo.
    Mdau Ukonga sitakishari.

    ReplyDelete
  7. Hebu usituletee uchimvi aloo! Kubwa zima kujihashuwa tu. Mke atafutwa kwenye blog! Ukichoka kubeba box, tafuta sabuni uingie bafuni...!

    ReplyDelete
  8. WEWE SIKIRISITU BALI UNAJARIBU KUUTUMIA KAMA NDOANO, MKIRISITU HABAGUI KAMWE.UNATAKA MTANZANIA ANAYEISHI KENYA, UGANDA,ZAMBIA NA KWINGINEKO ISIPOKUWA ANAYEISHI TANZANI! MICHUZI JARIBU KUSOMA VIZURI UNACHOLETEWA KUWEKA KWENYE BLOG YAKO KWANI MTU KAMA HUYU ANAJAZA TU NAFASI KWA KUWEKA UTUMBO.

    ReplyDelete
  9. Mmmh unachekesha??? Ndio kukaa sana nje ya nyumbani au?
    Well, all the best Bro.

    ReplyDelete
  10. MH IKO KAZI,SASA WEWE KAKA NAKUPA USHAURI WA BURE NA WA BUSARA KABISA:SALI NA KUOMBA MWENYEWE KWA NIA KABISA NA MUNGU ATAKUPA MKE BORA,USITAZAME ANATOKA WAPI,SIJUI TZ,MAREKANIA OR ANY OTHER COUNTRY"MKE MWEMA ANATOKA KWA BWANA"UKIANZA KUSELECT ANATOKA WAPI UTACHINA!!!

    ReplyDelete
  11. MKATAA KWAO NI MTUMWA, HUTAKI AKINA DADA WALIOPO TANZANIA, SASA UMETUMIA BLOG HII YA NINI, TAFUTA WAZUNGU HUKO HUKO.

    WATU WENGINE MKISHATUMWA HUKO MNAONA WALIOPO HUKU NI MANYANI.
    NAKUSHAURI WANAWAKE WA HUKU NDIO WENYE HESHIMA NA MAPENZI YA KWELI.

    MIAKA YOTE HIYO HUKO UMEKOSA NDIO UMEAMUA KUTAFUTA MCHUMBA HUMU, LAZIMA UTAKUA NA MATATIZO WEWE, HUJUI KUTUMIA MDOMO WAKO KUIMBISHA.

    ReplyDelete
  12. Tobaaaaaaaaaaa!! Sasa hii imegeuka kuwa deting websait!!! Da! Kaaazi kweli kweli sasa wewe mbona hujataja sifa ulizo nazo? Au unadhani akina dada wao wanakubali tu kila mtu bila hata kama hana vigezo? Hii inaonyesha jinsi usivyo serious, na hujali mana unajifikiria tu unawachukulia wezio kama vi object fulani hivi!! Pole sana kuna web nyingi tu za watu desperate kama wewe wasio na mmwelekeo wanaovamia kila mtu. Nenda huko, hii strategy sio nzuri kabisa, haikufai. Pole sana though

    ReplyDelete
  13. Kaka nakupongeza ni bora utafute wa hukohuko mamtoni because ndiyo wanajua kuvumilia wabeba maboxi kama wewe huku wanawake tutakukimbia one day after ndoa

    ReplyDelete
  14. hehehehe unachekesha nani anakutaka weeweee heee mwanaume balazuri wewe ,yaani eti wanawake wa bongo tusiandike...yaani wewe una matatizo ila unajitoa fahamu tu hata bure sikutaki..nani alikwambia kuwa kuna wanawake wenye shida na wanaume wa Mabangoni yaani wa matangazo..kweli kibaya kinajiuza kizuri chajitembeza...haya kil ala kheri...ila ukapime ukimwi na akili pia.

    ReplyDelete
  15. Sisi wa huku Japan je? Siku nyingine uweke picha kama wenzio akina Manaka na Jovi.

    ReplyDelete
  16. Mtumeeeee, kumbe sie tuanaoishi Tanzania si binadam, na wala hatumwogopi Mungu

    ReplyDelete
  17. Mijinamme mingine bwana, unatafutwa bwana nini? maana mwanamme anayejiamini hawezi kuandika upuuzi huu kwenye blog....mafakunrooo

    ReplyDelete
  18. Wewe unataka tu ATTENTION. Nani anatafuta mchumba anayemuogopa Mungu kwenye internet? Mbona umewaacha hao wacha Mungu huko makanisani? Au unadhani kwavile umeonyesha kuwa uko USA wanawake watababaika? Acha ushamba..kwanza unaonyesha kuwa wewe mwenyewe humchi Mungu kwavile unataka kuwatishia watu na USA. Mbona mimi niko hapa USA na bado nimepata mwanamke mwema tu? Sikutumia Internet..!! Kama unataka attention kwavile uko Marekani....yatakushinda...!! Ushindwe, Ukome na Ulegee....!!
    Mwenzako wa USA..!!

    ReplyDelete
  19. WE MLOWEZI!!VIP BWNA SUMU HAMNA NINI???
    NUNUA KADI NYIINGI UTAFUTE MANENO MAZURI YA KUTONGOZEA WANAWAKE MANAKE UNATUWEKEA GIZA TU HAPA KWENYE BLOG NA MISHARTI YAKO YA AJABUAJABU!!!UNATAFUTA MKE KWENYE MTATNDAO????????????????????????
    ENHE KWANZA UTAMJUAJE HUYOMCHAMUNGU WA KUMPATA KWENYE MTANDAO?????????????
    HE WE VIP WEWE????????
    MAAAAAD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. NAOTEA JAMANI: HUYU NI MASHAKA TU!

    ReplyDelete
  21. Nyooooo! Walahi sijawahi ku post comments hata siku moja! Lakini leo nimekereka mpaka nimeamua kutumbukia! We unadhani wanao mjua Mungu wapo US & Europe tu? Mjinga sana wewe! Tena limbukeni. Ingia makanisani utampata mweza sio kutuandikia upuuzi huu!

    ReplyDelete
  22. Mimi nimekuzimia sana hata kabla sijakutia machoni.Lakini wasiwasi wangu utaisha pale tu utakapo tujulisha Vipimo vyako hadharani,inchi ngapi,umetahiriwa au bado,ulisha wahi kuoa na kuacha,na mwanamke mwenye ulemavu uko tayari kumpokea kama mkeo,ulemavu wa miguu tu lakini mashine iko safi.Nijulishe Mpenzi nikutumie picha yangu swahiba wangu wa ubani!Pengine wewe ndiye riziki yangu,jamani!

    ReplyDelete
  23. Kijana umechemka, siku nyingine waone kwanza wazee wako wa kanisa kabla hujakurupuka na kuwadharau watu...tena watanzania wenzio. Inaonyesha wewe umejilipua huko nini unafuata tena kwenye blog za waBONGO? Unataka kutapeli kwa kutumia Dini, Bazazi mkubwa! Mbona unawakacha 'waanglikana' wanzako wa marekani, tuma huko maombi ya mchumba usikie mziki wake!!

    ReplyDelete
  24. Nimefurahishwa sana na comments mbalimbali. hata mimi niko bongo fit. sitamani kuishi nikinyanyua mabox. huyu mwenzetu anaogopa gharama jamani kumpeleka mtu America akutegemee kwa hela ya mabox sio mchezo. msomi gani atamtaka huyo. wataishia kubeba mabox wote. ndo maana anamtafuta mzoefu wa mabx

    ReplyDelete
  25. hata mie nakusapoti bro, wadada wabongo hatari wanawanaume kila kona.
    ukicheza utapote, wengi hawana maana. msinichukie wadada tabia zenu si......

    ReplyDelete
  26. kama huko bongo mapenzi ya kweli na heshima zipo mbona mnakufa ukimwi kila siku. hafadhali kubeba mabox kuliko hizo tabia za wadada huko bongo

    ReplyDelete
  27. mh haya ni yale malimbukeni ya mwisho bora hata lingekuwa la awali, kuishi ulaya unaona dili sana wakati bongo kuna watu wana life nzuri na hawana ubaguzi, lazima kuna kitu unataka kumtegemea huyo mwanadada utakayempata

    ReplyDelete
  28. Wewe baladhuri sio mkristo hata kidogo, tena tafadhali sana usitumie jina la Kristo katika huo mpango wako feki wa kubagua watu, Mkristo hata siku moja habagui watu, sasa kama hutaki wanawake hapa Tanzania unatangazia nini kwenye hii blog ya watu? ni wizi mtupu!!!!!!pumbavu

    ReplyDelete
  29. Wewe ni kati ya wajinga fulani fulani wanaoendekeza ubaguzi. We ni Niga tu hatakama uko marekani au ulaya. Huna nyimbo wewe!. halafu nina wasiwasi na wewe sana kwamba umeshakuwa addicted. UUUUUUUUUUU!!!!!!!! Kama kuna demu naye atapapatika juu yako naye ajatulia kabisaaa. Wote mnastahili muende mkapepewe mapepo yenu.Sijui kwa kinyamkera au kwa ngurumo ya upako. Shindwa shetani pepo la kuzimu weeee!!!!!!!

    ReplyDelete
  30. ndio bongo kunamaisha na watu wenye pesa zao-lakini orodhesha ni wangapi wenye pesa nakaribia wote positive
    nawanawake wenyewe kila kumi wakipimwa ndo hivo hivo. huyu bro hajafanya makosa kabisa anagopa tu na nimtu wamungu. mengine mtjaza wenyewe. wanawake wenyewe wakinunuliwa tu bia wanavua vuchupi. basi bora wabeba mabox nawanjitumikia hawategemei vya watu kama hao vilema

    ReplyDelete
  31. MDAU HUJAKOSEA UNAWEZA UKAOPOA DEMU ALIYECHOKA TOKA BUGURUNI ROZANA SIJUI UTAMLAUMU NANI NASEMA HIVI SIO MADEMU WOTE WENYE HIZO TABIA IN TZ ,MANAKE UTAKUTA WATU WASHABEEP TIGO ZAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!HAHAHHAHAHAH!!NI UJUMBE TU DADAZANGU MSICHUKIE MANAKE SIO WOTE.

    ReplyDelete
  32. USİTUZİNGUE BWANA na ubaguzi wako kama unataka from Amerika or Europe tafuta mzungu basi usiseme mtanzania huoni aibu loooo!afterliving in US UNAJİONAAAAAAAA

    ReplyDelete
  33. Mmmmh!jamani nyie viumbe acheni kumkufuru mungu!wewe kaka kama kweli umekuwa unaishi kwa kumuogopa mungu,ina maana una imani kubwa na sana kwake,iweje uje kutafuta mchumba humu kwenye BLOG?ww ni mnafiki,unamjaribu mungu!TUBU KWA DHAMBI HII.Unaenda kimwili na sio kiroho!POLE.

    ReplyDelete
  34. Jamaniii eeehee mimi mnanikera sana na nyie watu wa wabongo mlioko huko home acheni kutukashifu watu wa Ulaya na chuki zenu binafsi mana kila siku sisi ni wabeba maboksi tuu kwenye macho yenu hebu elimikeni kidogo inaonyesha jinsi gani mlivyo na upeo mdogo wa elimu, ila mimi siwalaumu nawaonea huruma ndio maana unaambiwa tembea ujionee, na kwani sisi mmetuonaje. Basi kwa Taarifa yenu huyo Mashaka sio peke yake tuko kibao na tunafanya kazi za maana sana kama mabenki makubwa Makubwa, Makampuni makubwa makubwa ya Private , na ni Malwayer, Madaktari na Maconsultants wa kuaminika na wakutegemeawa na tumejaa mpaka Serikalini kote Ukerewe na Kwa Mjomba Obama sasa tusizarauliane tafadhali mana mnakera kwani sio lazima kila mtu ajitoe bloguni kama Mashaka na hao mafisadi chipukizi wa CCM UK ndio tujulikane tunaogopa Ufisadi Uliojaa huko Bongo hatukatai ni nyumbani lakini ngoma yake nzito so tunakula life zetu kinyemela and very peaceful hata kama mkija mkasema ooh sisi ni maselfish mtajijuuu kwa hiyo taadabu zenu kurefer watu woooote wa Ulaya ni Wabeba Mabox. Kwanza kwa Taarifa yenu siku hizi hakuna anaebeba mabox huku amabae ni m-bongo na sisi tumesonga mbele na kupanda chati, kwanza sisi tubebe maboksi na Wakosovo wafanye nini ? Na mnajishaua tukiamua kurudi huko Bongo hata na vyeti vyeti uchwara vi certificate tuu ama online degree ndio tunakuja kuwa mabosi wenu vilevile nyie na degree zenu za Mlimani chuo kimoja lakini kimejaa Ufisadi na Udikteta hata Demokrasia ya kweli hamna !!! Si bora hat hayo maboksi ya Ulaya kuliko mbinde mliyokuwa nayo huko Bongo !!! I bet most of you are just jealous and you wish you could swap places with us !lol

    ReplyDelete
  35. hivi hao weweze wananini hatasisi tushindwe tunanini mmmmmmm!

    nahi!!!!!! huuyo mtoto anafanyaje anachezeea nanii hii chuma fimbo tumchape!!

    wamkiaaaaa tingisha mkikiia


    wadada wa bongo achanani naye huyo bwabwa ange kuwa na mkia asinge tafuta makuwadi mwe . michu mkumbushe jamaa " mja haachi asili " huyo atakaye muoa si wa tzd!!! akirudi hat kama kaolewa ulaya KTCH bADO TUNAE KWAMBA MSUMARI HUUUUUUU UNACHOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  36. LoL!!! Ukweli unauma. Kubeba mabox kwani uwongo. LoL! LoL

    ReplyDelete
  37. Udini sio kigezo hapa?

    ReplyDelete
  38. Niko US na nagraduate as MD sasa hayo mabox nimeyabeba lini, ujinga tuu na kwa taarifa yenu watanzania wala hatubebi hayo mabox aibu zetu na wivu umewajaa, na maisha huku yako tambarare, hakuna vumbi tunazidi kunawiri tuu na mwenye wivu anywe sumu kama hukubahati tulia na heshimu watu wengine acheni ujinga nyie mliko bongo, tena wote wanaotoa comments ni wachovu tuu. habari ndio hiyo, and deal with it.

    ReplyDelete
  39. mmmmh!!!raia wema wana hasira sana.nadhani huyo mdau mwenye hiyo posti angepatikana wa2 wangempigia mayowe ya "mwiziii huyoo" ili tu kumuangamiza kabisaaa..hahaha

    ReplyDelete
  40. hahahaha kaka michuziii wat wud we do withou uuuu jamani u make our day wit ur blog nimechekaaa jamani napasuka mbavu! nyie wabongo ndo mna maneno ivi?khaaH!

    ReplyDelete
  41. wewe mbeba box hapo juu yangu unaHASIRA !

    ReplyDelete
  42. Utamu hatakupost soon...stay tuned

    ReplyDelete
  43. Yaani hili ombi lako tu linaonyesha wewe ni mwanaume wa aina gani na kwanini huwezi kupata mwanamke mpaka leo.

    Kwanza ukumbuke wengi walioko nje ya nchi wanaotaka kuolewa specifically na wanaume wa kibongo hawajali elimu yako wala nini.

    Wanawake wengi walioko nje ya nchi kwa taarifa yako ni wasomi kuliko wanaume walioko nje ya nchi. na wengi wameoana bila kujali elimu wala nini

    Na pia ujue kuwa wengi walioko huku wameingizwa na wapenzi wao na hao wanaume walisucrifice ili wanawake zao wasome. Mimi nina masters degree mume wangu ana AA na sasa hivi ndio ameanza tena kusoma ili amalize undergraduate degree. Lakini tunaheshimiana na maisha yanaendelea kwa vile ni wakati wangu sas hivi kutunza familia na yeye apate elimu.


    Alinileta huku ni mume wangu sasa hivi na wewe kama unataka mtanzania jaribisha kwenda bongo utafute wako au yule uliyemwacha huko bongo. Kujidai kuwa hutaki wabongo sijui una maana gani au nani atakuchukulia serious baada ya kuona kuwa wewe unapenda dezo.

    Mapenzi ya kweli ni popote lakini hii ya kusema kuwa hutaki kabisa mtu wa bongo inaonyesha wewe ni mpenda dezo na ni mwanaume mchoyo sana. Unataka watu wakutafunie halafu wewe umeze tu. Afadhali ungesema hutaki mtu aliyeko nje ya USA kwa ajili itakua long distance na wewe hupendelei. Yaani unataka aliyeko huku na UK tu ili iweje?

    Kutafuta mchumba sio hivyo ndugu yangu

    ReplyDelete
  44. Aisee yaani nimepasuka mbavu na hizi coments mpaka nimechoka... yaani we acha tu...
    kuna mtu kaandika NAOTEA JAMANI: HUYU NI MASHAKA TU!
    kanimaliza ile mbaya...
    Wadau bwana...! hahah
    haya na mimi natafuta wangu awe mwanamke muislamu haswa, awe na upepa lakini sitaki wa kunipanda mgongo apate upepa kwa kupitia mimi... hhehe niandikie mchumba15@yahoo.co.uk na mchumba15@yahoo.com
    umri wowote karibuni.
    ahahahaha

    ReplyDelete
  45. Nipo mimi lakini nina watoto wanne. Baba watatu tofauti, ila ni mcha mungu sana. Nipigie (555)213-2356.

    ReplyDelete
  46. MR: CHECHE: hahahhahahahhahhahah haya ni maneno ya wakosaji,jamani hii dunia ni democrasia mtu ana haki ya kusema na kuongea chochote kama hataki mtu kutoka tanzania ni haki yake na uamuzi wake sasa dada zangu mna hasira mtadhani mmenyimwa mshahara! asiwadanganye mtu ulaya ni bure ata bongo ni kuna maisha tu! kwa hiyo msichukie chochote!kuolewa sio bahati bali ni baraka mtapata tu waume mtakao wapenda!Mwee chuki hazi saidii chochote!ila mimi nina wazimia sana wadada wakibongo nyie ndio mama zetu na wake zetu nawapenda kichizi na nyumbani tumeacha wake halisi huku ulaya wapo Madungayembe!Nawapenda dada zangu nitakuja sija wasahau dears! MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE!



    JOHN B

    WASHINGTON D.C

    ReplyDelete
  47. Bongo kuna mmomonyoko wa maadili mno, wazinzi na wachuna mabuzi wanaonekana majemedari ndio maana huyo mwenzetu kasungusi kidogo. Wachache wenye kufaa wapo, ila ndio "samaki mmoja akioza,..." Mwacheni kijana wa watu na maamuzi yake jamani, kwanza jambo analotaka kufanza ni la kheri mno!

    ReplyDelete
  48. wabeba BOX OYEEEEEE!!!!!! mna hasira kweli tatizo hampendi kuambiwa ukweli ukweli ni kuwa mnataabika sana huko kubeba box kwa kwenda mbele hata MASHAKA mwenyewe alilibeba boxiii ila sasa ndo kayaotea maisha! na nyie bebeni muwe inspired na mashaka..mtafika tu oke?

    ReplyDelete
  49. cheki mlivyohamaki..ha ha haaaaaaaaaaaaa sie wengine huku hoiiiiiiiii...

    hehe kwani huyu kaka KAKOSA NINI JAMANI?mbona huwa mnachagua nataka mwanamke ana mwanya,ana wowowo mweupe nk!vile vile wanawake nataka;mwanaume mrefu..kajazia kiume nk!sasa huu sio UBAGUZI?teh teh.....???nina uhakika hapa wengi wenu hawatakubali wazo la kuwa na mwanaume/mwanamke aliyeishia la saba!...uongo????huu sio UBAGUZI?

    nakupongeza kaka kwa kujua what exactly you want in life!wengi wapo km swala....hawajui nini wanataka...kuishi bila dira ni kitu kibaya sana!...

    kwa wale tunaoishi nje...nadhani 'tumekuelewa'...na hao kina dada walionga'ka hapo juu uwasamehe hawajui hali halisi!

    bwana ikija swala la 'status' ni zito..sana unaweza ukamleta mtu kutoka kijijini kwenu mwanelumango...na mambo yakawa mazuri mkaishi vizuriii....ila kuna watu imeturn out different...uhusiano wenu km ukiishia kuwa mbaya kuna wengine wameishia kuwa bitter...sababu mnaachana tayari 'umeshamsaidia' mwenzio...keshakuwa na 'papers'...most hufeel 'used'...sio siri hili swala limeleta 'mifarakano' sanaaa...nadhani huyo kaka ndio anajaribu kuavoid hilo......

    GOOD-LUCK mwayego,

    NEY-BHAM

    ReplyDelete
  50. mdau hapo juu umeniacha hoi uliesema wabeba boxi oyee eti hata mashaka alibeba boxi hahehahe!ni kweli wabeba boxi huwa wanajazba we angalia comment zote zenye jazba ni za wabeba boxi tu jamani rudini nyumbani hamjafukuzwa ! kaka michu naona sasa siku moja weka topic maalumu ya wabeba maboksi tuwae facts!

    ReplyDelete
  51. well well well,unakumbuka ule msomo mwanadamu hatosheki hata ukimpa nini? ALL I HAVE TO SAY IS WE HAVE FREEDOM TO CHOOSE WHAT WE WANT IN LIFE BUT AT THE SAME TIME THERE ARE THINGS WE SHOULDNT DO JUST BECAUSE WE COULD....WEWE KAKA GOD WIL GIVE YOU A WIFE WHEN HE WANTS YOU TO HAVE ONE AS LONG AS YOU HAVE THE PATIENCE KUSUBIRI.AS FAR AS AWE MTANZANIA NA ANAISHI NJE YA TZ....WELL,LABDA YOU SHOULD LEAVE THAT TO GOD AS WELL.UNACLAIME UNA GUTS I THINK YOU ARE FULL OF SHIT MY DEAR MAANA IF YOU DID YOU WOULD BE OPEN MINDED KAMA HAO KINA DADA UNAOWATAKA. WE ARE GLAD YOU PROBABLY HAVE MADE IT IN LIFE BUT THAT DOESNT MEAN THE LADIES WOULD WANT YOU. SASA BASI AS A TANZANIAN MOM AND WIFE LIVING IN USA I KNOW GREAT LADIES LIVING IN TZ AND THEY ARE VERY RESPECTABLE PEOLE NA KAZI NZURI SANA...UNGEKUWA NA AKILI AS I MENTIONS HAPO JUU UMWACHIE MUNGU...MAYBE ONE OF THOSE 1,000S OF WADADA ANGEWEZA KUWA MWENZA WAKO AND WILLING TO MOVE HERE ORE MAYBE STILL YOUR HEART UKARUDI NAYE TZ. HAVING SAID THAT,WADADA MLIOKO HUKO NYUMBANI I DO RESPECT AND ADMIRE MAISHA YENU(SOME OF YOU) ...............and for all of you get tested before doing the Do...its your life ..protect it

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...