mdau joseph kihulla ametoka vekesheni huko handeni, tanga, ana katuletea hizi snepu za telemka tukaze ikiwa katika faino tachezi kabla ya kupelekwa dukani. hapo anasema kati ya alfu 7 na alfu 9 tu umelala. pungufu unaongea....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Daaah hii sita kwa sita usilete mchezo na kigozi cha mbuzi juu haha kwa wale watoto vikojozi hiki ndo powa na ni uwanja mzuri kwa mechi za kimataifa pia kina Quality kama ya coil spring bed lol
    uchukue mchumba kwa mara ya kwanza unampeleka ghetto anakuta na mbed huo hihihi lazima atokee dirishani baruti

    ReplyDelete
  2. ha ha haaaaa,wazee wa zavuza,kwediboma,kwedibangala na kote kule kwenye matunguli enzi hizo,naona Sankole mwenyewe umeamua kuwakilisha,big up sana mzee,nadhani hapo umewakumbusha juu umelalia supatu chini bata katamia mayai,spati picha akitotoa utitiri,itabidi uwakilishe na iyoo

    ReplyDelete
  3. JAMANI TUMETOKA MBALI TELEMUKA TUKAZE, ATI ELFU 7 AU 9? MWEEE, UNANIKUMBUSHA MBALI, NIMELALIA SANA HICHO KITANDA KIJJINI CHITANDI, NEWALA, NTWALA/MTWARA NAKUMBUKA MAMA YANGU MZAZI ALIJENGA NYUMBA MWAKA 1966 KWA SHILINGI 60 TU YA VYUMBA 4, TELEMUKA TUKAZE JIRANI TU ANAKUTENGEZEA KWA SENTI =/50 TU. MWENYEWE UKILALA HAPO JUU NA KAMOTO CHINI WAKATI WA KIPUPWE/WINTER, WE MWALI KWATUUU, NAKUMBUKA SIKU MOJA NAENDA KULALA NAKUTA MBONGE LA NYOKA KWENYE KITANDA CHANGU, SI MSHIKE MSHIKE HUO PATASHIKA NGUO KUCHANIKA, GODORO NI MKEKE PIA SHUKA NI KANIKI ILIYOTOBOKA INAPENYESHA BARIDI KAMA CHUJIO LA ULAKA,POMBE YA MABIBO YA KOROSHO ATUSAIDIE TUSONGE MBELE, MAISHA HAYA WATANZANIA. BADO KUNA WATU WA AINA HIYO WENGI TU, MUNGU ATUEPUSHE NA HAYA.

    LEO HII NIKO HUKU U.K. NA NONDOZZ KIBAO. KILA MTU ASIKATE TAMAA PENYE NIA PANA NJIA WATANZANIA TUSAIDIANE TUVUTE KASI YA MAENDELE KWA PAMOJA TUSIWAACHE WENZETU NYUMA, MTU AKIKUOMBA MSAADA UNAUWEZO HATA WA MAWAZO MSAIDIE, WE ARE THE WORLD, TOGETHER WE CAN, YES WE CAN, IT IS DEFINED MOMENT NOW THAN EVER TO CHANGE OUR LIVES WITH THIS MASSIVE CHALLENGES WE FACE, WE HAVE TO FIGHT TOGEHTER, UNITY IS POWER.

    MDAU UK

    ReplyDelete
  4. Michuzi you are the best!

    ReplyDelete
  5. Duh umenikumbusha mbali nilikuwa sijasikia neno ulaka siku nyingi na sikujua ni pombe ya mabibo walikuwa waniuza sana kinonondi shamba enzi hizo hata kina john fedha hawajajenga. tulikuwa tunaburudika kwa ngoma za kuchezea nyoka jamani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...