Home
Unlabelled
wastaafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo namuona Afande Mahita
ReplyDeleteOmar Mahita ni IGP mstaafu
IGP = Inspector General of Police
Heh, hi picha safi kweli. Nawaona ma,Jenareli Robert Mboma, David Msuguli, Mrisho Sarakikya. IGP Omar Mahita namwona Mzee Mangula. Wengine daaah,siwajui
ReplyDeletekaka mi namkumbuka IGP tu Omary Mahita, huyu mwingine sio Generali Mboma? wa pili kushoto?
ReplyDeleteNawajuwa takriban wengi tu hapo na wote wanajulikana kwa jina moja maarufu MAFISADI
ReplyDeleteHahahahahhhhh My Dad is there...hahah..Thanks Michuzi...
ReplyDeleteAnonym wa 1.43 PM, kichwa mbovu sana. Any way!! hakuna mzazi anayekwenda msikitini au akapanda madhabahuni akiomba azae taahira. Zote ni karama za mwenyezi mungu, bora ametujaalia basi hatuna budi kumshukuru. Ila upunguwani.
ReplyDeleteHapo katika picha yupo IGP mstaafu Omar Mahita (Baba Omari-sijui kesi ya huyu mwanae imeishia wapi), Katibu mkuu wa zamani wa CCM Filip Mangula na wengine siwajui.
Mpiga Box
Namuona juu wa 3 kushoto, Professor Shayo. Aliwahi kuwa muhadhiri UDSM. Na pia aliwahi kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini (Serious Democracy).
ReplyDeleteHapo namuona Babu yangu Mirisho Sarakikya, Mzee Peter Kisumo,Omar Mahita na wengine
ReplyDeleteMdau Moshi.
Papaa Stan (mirisho)
SASA SUBIRI NIKUPE LIST
ReplyDeleteANAYEZUNGUMZA NA MAHITA NI MTOTO WA MAREHEMU BOMANI ANAITWA SMURT BOMANI(NDIO YULE ALIOA POMBE YOTE YA SHEREHEIKATOKA ULAYA)
CHINI KULIA MWENYE NGUO ZA JESHI NYEUPE NI MKUU WA WILAYA YA KINONDONI KWA SASA FABIEN MASSAWE,
KUTOKA KULIA KWENDA KUSHOTO MSTARI WA PILI TOKEA JUU NI DAVID MUSUGURI,MBOMA,BUKUKU. NIMEISHIA HAPO KAMA UTATAKA NITAENDELEA UKINIOMBA
Nimeweza kuwatambua wengi:
ReplyDeleteJuu mweupe Prof: Shao, Mangula, General Marwa, Mahita, Peter Kisumo, Mwanguku ( Commissioner wa Magereza Mstaafu) na chini yao mzee masifa Richard Kasesera
Hivi hawa nao ipo siku wataandamana kudai mafao yao?
ReplyDeleteKau Moses
Alhaji IGP Omari Mahita tu
ReplyDeleteOhhh sasa na wewe mkuu wa wilaya, yaani hao wastaafu si kila mtu anawafahamu. Uzuri wote baada ya kuifanyia serikali ya TZ wana jina moja, MAFISADI.
ReplyDeleteKuna watu wasiopenda hilo jina mtanisamehe, hata ndugu zangu wanaofanyia serikali nawaita mafisadi vilevile. Do I like to say that? NO. I am fed up
namkumbuka IGP Omari Mahita aka
ReplyDeleteBaba ashibae asiyeshiba mapenzi.
hahahahaha! Annon 1;43 umnifurahisha sana wewe! Na wewe annon 2:11 una nini!!? Na wewe mmoja wao nini?
ReplyDeleteUnaweza ukawa wewe taahira bila kujijua! Unadhani mataahira wanajijua? kama wewe hivi.
Namuona mshkaji wa karibu wa JK Richard Kasesela aka BIBO. Ila yeye si mstaafu, samahani ndo nayemjua pekee
ReplyDeleteHuyo aliyevaa "white za kijeshi" siyo Masawe aliyekuwa mkuu wa shule ya Jitegemee-Mgulani kweli? naona katulia tuliiii akiwa na wakubwa zake.
ReplyDeletempiga box naona umeji define mwenyewe vizuri sana. pole sana endelea na kupiga box lakini hala hala uwe unapata nafasi kwenda kuwaona wataalamu wa watu wenye taahira kama wewe
ReplyDeleteann. wa 1:43pm that was funny eti wanajulikana kama-------lol
ReplyDeleteJamani mimi naomba sana mwenzenu mnitajie jina la huyo mzee wa kwanza kulia, mstari wa tatu kutoka mbele.Yaani huyo mzee aliyevaa kofia kama ya Jaramongi Odinga, hiyo sura sio ngeni kabisa lakini jina silikumbuki tena. Sijui ndiye Jeneral Msuguli?Mwingine mie ninayemjua hapo ni Mahita tu.Na mtu wa katikati (wa pili kushoto kwa Mahita) nahisi ni Joseph Butiku huyo.Nao hao akina mama Mbona hamuwataji? Je hawapo kwenye chati au hakuna anayewajua?.Haaaahaaaa!!!
ReplyDeleteMdau Cardiff
Nadhani anayemfuatia IGP Mahita ni IGP wa zamani, Philemon Mgaya. Afande Mboma ni wa pili kutokea kulia, kwenye safu hiyo hiyo, nafikiri yupo katikati ya Gens. Msuguri na Sarakikya.
ReplyDeletengoja nimrushe my fellow mathematician - Prof. Leonard K. Shayo. (mstari wa nyuma - pembeni ya kina mama).
ReplyDeleteMBONA WENGI WAO NI WASHKAJI WANGU!
ReplyDeleteWA KWANZA KUTOKA KUSHOTO JUU NI WASTARA BALIBALI,SAID SWED SCUD, KIKUPILIKA NKOBA, UBWA MAKAME MZUNGU,KUSHUKA CHINI NI PETER OTIENO BASANGA ALIKUWA BALOZI WA KENYA TANZANIA PIA WAPO MAWAZIRI WA UGANDA KINA GEORGE SEMUGERERE, NA PAUL HASULE.KATIKATI WAPO KINA RASHID MANDANJE,ERIC SAGARA,NA CHARLES MGODO KIJIKO. WA PEMBENI KABISA NI KINA ITUTU KIGI,EPHRAIM KAYETA MBUNGE WA MBEYA NA PIA NAMWONA KIKUPILIKA NKOBA NA MKUU WA MKOA WA TABORA ENZI HIZO CHECHE KAIGIRE MAREHEMU SASA HIVI.PIA NAMWONA MKUU WA MKOA WA TANGA YASIN ABUU NAPILI NA MAYOR GODIAN MAPANGO, HUKO KULIA YUPO MUHIDINI CHEUPE NA GEORGE KULAGWA WAKINONG`ONEZANA NA SUNDAY JUMA PIKIPIKI! DOOH SIKU NYINGI WAMEBADILIKA KWELI LO! KWELI TUMEZEEKA!
hapo namkumbuka mstaafu richard kasesera. ha-hahaa!
ReplyDeleteAnayeongea na waya hapo ni IGP Mstaafu Mgaya...Mzee Kyato mwisho kushoto mwenye kapelo...na mheshimiwa raisi wa TBF ingawa bado hajaastaafu Bibo
ReplyDeletewa pili baada ya Mahita ni Major Jeneral Maneno...anakaa Tegeta
ReplyDeleteHapo kuna
ReplyDeleteOmar Mahita, Dr.Gama, Mangula, Gen Mboma, Gen Mwita Marwa, Kamishna Mwanguku, na mwingine ni mdau Kasesera
Duh!! Mangula anaonekana kachoka kabisa!yaani kukosa kibarua ameathirika kisaikolojia.JK mkumbuke hata ukuu wa wilaya.Mshiko upo ila kukosa kazi tu ndio kunako mwadhibu!!Ila MAKAMBA anachemsha sana.
ReplyDeletehii nchi na uungu-mtu???acha tu yan nikiwaona apo acha tuuu,watu wameshika nchi hii nobody dare to touch them,,,
ReplyDeleteubabe-ubabe
na ivi ni wajeshi basi ndo kaaaazi kweli
Sijui ni uzee wangu... namuona mzee wa jimbo la Ubungo hapo, Keenja, wa tatu toka kushoto. Kama ni wewe mzee jiandae vizuri mambo yasiwe magumu kama last time. Otherwise ...akina nanihii wanapiga jaramba hawako mbali.
ReplyDeleteMstari wa juu kabisa watatu kutoka kushoto ni Freeman Mbowe, anafuatiwa na Prof. Shayo
ReplyDeleteMstari wa pili kutoka juu, kutoka kushoto wa kwanza ni Mahita, wa nne ni mboma, na watano ni Msuguri
Mstari wa pili kutoka chini wa kwanza kulia ni Mangula
Waliobaki sina uhakika nao
(Mswahili mie)
ivi mangula kaoa???
ReplyDeleteafu uyo BIBO ndo wapi apoo mtuonyeshe mshkaji wa JK
teh teh teh
Peter Nalitolela umenikumbusha mbali sana kwa hayo majina.Hao walikua nguli halisi wa soka miaka hiyo.waliujua mpira kweli tatizo hapakua na kina manji wa kutosha.
ReplyDelete