Waziri Mkuu wa Msumbiji Mh. Luisa Diogo akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani Jijini Dar kwa ajili ya kumjulia hali.
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akimvisha zawadi ya nguo aina ya kikoi Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akimvisha zawadi ya nguo aina ya kikoi Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akibadilishana mawazo na Mama Maria Nyerere
I feel proud of her really. Great first lady. They ruled us without greedy. Mungu akulinde na aendelee kukupa maisha marefu. Wewe ni mfano mwema wa kuigwa na wanajamii wa Tanzania
ReplyDeletehalafu watu wakizeeka wanafafanana angalia Mama Nyerere anavyofanana na hayati Mwl. enzi zake
ReplyDeleteMungu akutunze Mama yetu, hamkutuibia, siyo kama akina Mama Siti, mara dhahabu mara hiki, Mama Che-Nkapa magorofa kibao, mumewe Kiwira, majumba kila kona ya nchi. Michuzi kama unaipenda Tanzania toa hii komenti.
ReplyDelete