Salaam mkuu wa wilaya ya nanihii na balozi wa Zain.Tunakushukuru kwa kutuhabarisha yanayoendelea huko nyumbani kwetu maana watufanya tusiwe mbali na matukio muhimu ya nchini kwetu.Wanasema MZALENDO HATUPI NCHI YAKE,na kama haitupi nadhani pia na habari zake hazitupi,so tunakushukuru kwa kutupa habari ili kutusaidia kuendeleza uzalendo
Katika upekuzi upekuzi wangu,nikakutana na huyu mnyama anaitwa ZORSE.
Ni mnyama mpya huyu ameanza kutengenezwa huku kwa wenzetu.wataalamu waliamua kumpandikiza pundamilia kwa farasi ali wapate half cast-ndio wakatoka na huyu mnyama.nadhani ukiamuanglia utaweza kumuona kwa jinsi alivyo na mvuto.
Nilivutiwa sana nikona si vibaya kama utaiweka katika blog yetu ya jamii ili wadau huko kwetu na duniani kwa ujumla wakapata kujua yanayoendelea hata kwa wanyama.
Mdau USA


So gorgeous
ReplyDeletehaya mambo ya kuclone wasije wakatuclone wengine tujawa nguva kikwelikweli
ReplyDeleteNakumbuka ile movie sijui ilikua inaitwaje chimp...au yule mtu waliyemclone na chimpazee ndio lilikua jina lake...long time but it was a very sad story
aaah,huyu si kama mheshimiwa fulani tu aliembwaga mc cain nae kachanganya kama hivi tu
ReplyDeletehii inawezekana kwa sababu punda, pundamilia na farasi wanatoka kwenye order inayojulikana kitaalam kama EQUINE/EQUIDAE na huyu mnyama Anajulikana kitaalam kama MULE madume yanauwezo wa kupanda kama kawaida ila huwa yako strile yaani hayawezi kuzalisha
ReplyDeleteNg'ombe na Nyati ndio ambao huwezi kuwa cross breed kwa sababu ng'ombe ki taalam anatoka kwenye specie BOS TAURUS/INDICUS wakati Nyati ni CYNCERUS CAFFER
PHOTOSHOP!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteuyu ni yule mnyama alipostiwa apa na michu
ReplyDeleteni afkasti bomba sana,,,
sera za kuclone ndo ziko DEMOCRAT PARTY YA OBAMA,,,WAIT AND SEE VITUKO VITAKAVYOTOKEA SASA,,,kazzzi kwel kweli