lango kuu la hill park
mtumbwi-meza vigoda vya mnazi
mandhari safi na mwanana
utamaduni unadumishwa kwa vigoda vya minazi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. SASA MBONA HAMJATUWEKEA NA BEI BASI TUKAJUA KAMA TUTAMUDU KUJA AU LA

    ReplyDelete
  2. Hapa si ndo kwa Bro Mafuru?? lkn kinachoniogopesha ni makaburini...isite tokea soo kama ile ya kinondoni, majambawazi yalijifanya wafu wamefufuka.
    Kaka Mafuru karibu kwenye ujasiliamali.

    ReplyDelete
  3. ndio mtumbwi meza na vigoda minazi, lakini mpangilio je?

    ReplyDelete
  4. Hata kama makaburini jamani he has made a big step in opening a wonderful place,very gud location n food too,plz chk it out whenever ur in bgmoyo.congrats ephraim aka balozi

    ReplyDelete
  5. Mie mlalahoi nikitaka kuchukua familia yangu hapo,bei nitaiweza?
    anasa tu!

    ReplyDelete
  6. kazi nzuri sana!! ongeza ubunifu, kwenye hivyo vigoda vya minazi weka kitako kinachozunguka na kiwe na kajitu kadogo ka kuegemeza mgongo. utaona wateja wanapigana vikumbo!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kaka Michuzi nina swali. Hivyo vigoda vya minazi haviumizi matako? Ujue wote hatuna sponge.
    Asante.

    ReplyDelete
  8. Hill park inamilikiwa na mkurugenzi wa masoko wa vodacom tanzania ltd ndugu E.Mafuru.Mafuru ni mjasiriamali pia kwahiyo mnaweza kuona ni namna gani alivyobobea katika upande huu wa pili pia

    ReplyDelete
  9. Oh ! Wonderful place! Can someone tell what me are the room rates and chakula? I would like to spend my few leave days there when I am in Dar for my leave in the coming few days.Will be flying to Dar on 22 Dec.Let me also know about the location.

    Mupozile
    Barrick Gold Tanzania

    ReplyDelete
  10. non. Dec 12, 9:41, Kama unataka ingia google uandike hiyo hotel unayoitaka utapata majibu ya maswala yako yote uliyouliza. Mimi nina cont. za Hotel MELLENNIUM sea Breeze Resort huko huko Bwagamoyo ni:- Tel: 023 2440201/3 fax 023 2440204, web site www.millennium.co.tz. Acomodation fee inategemea na vyumba vyenyewe,na wana offer ya lunch au dinner(mlo mmoja na chai ya asubuhi bure)nilikuwa huko mwezi Ramadhani kwa ajili ya kuwapeleka watoto kujiunga na shule mji huo. tulifurahia sana hasa upishi wao wa ftari tuliyoagiza kuandaliwa ilikuwa safi nno, na sehemu yenyewe pia nzuri iko ufukweni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...