darasa hilo lipo kila jumatatu na jumanne kuanzia saa kumi na moja jioni kwenye jumba la utamaduni la urusi, karibu na hospitali ya aga khan, dar.
Kwa kuanzia Sammy Cool mwezi huu wote anatoa mafunzo hayo bila malipo na anawakaribisha wote ambao wakienda kwenye kumbi za dansi wanaotaka wacheze mitindo hiyo vile inavyotakiwa.
Unaweza kuwasiliana na Sammy Cool kupitia namba +255 763 822 226
SHEMEJI
ReplyDeletedah za masiku najua hutanikumbuka bt ntakutafuta kupitia tht mobile uloibandika apo
kip it up shem langu,wasalimu wanao na mkeo
shukrani bwana Cool kwa kuanzisha darasa la salsa. mimi ni mpenzi wa latino dance. naomba kuuliza je ni aina gani ya viatu tunatakiwa kuja navyo kwa ajili ya mafunzo (mazoezi) ya hiyo dance. kuuliza si ujinga na aulizae ataka kujua.
ReplyDeleteNa ni shilingi ngapi? Kwa mwezi au kwa darasa?
ReplyDelete