Home
Unlabelled
msalaba wa kwanza bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hizo gharama za ujenzi analipia nani???manaake hiyo misalaba tena sementi babu kubwa halafu,je hii fitna na chokochoko za kidini zitakwisha lini?ya kizungu si zibaki kule kule kwa wabeba maboksi!!
ReplyDeletewee apo juu.....tutalipa sisi....kama dini si yako au wewe ni atheist kaaa kimya usianze mambo ya kitoto
ReplyDeletendo zenu msiokua na dini,unaona uchungu cement hiyo,nyi ndo mnatumalizia ma albino wetu kwa kupeleka vichwa kwa waganga.
ReplyDeleteKuuliikoni??? Ayu mambo ya ten mirambo hayoooo??? ah! sisi yetu macho na upande wa sikio.
ReplyDeleteinajengwa na wakatoliki na wakristo
ReplyDeletesasa nini???
kazi kukalia udini tuuu,,subiri waganda,wakenya,rwanda,burundi wajiunge ndo mtaelewa hasara za matabaka!!!
shindwaaa