Home
Unlabelled
masupa staa wa nje wazidi kumwagika bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What's behind all this? Are Tz becoming the hottest spot in the World?
ReplyDeleteI can believe this dyke in Dar or let me say in Tz.
Huyo ni Eve ndio yupi?
ReplyDeleteWatashuka wengi sana tu. Sasa maukumbi yao yakipikiwa na kila Ali kiba wao watakula wapi? Wanahitaji kula hao na uchumi mgumu sana siku hizi huku.
Jambo lingine kila kukicha wameibuka wengine wapya kwa hiyo kunabanana sana huku.
Hawa wakiingia bongo sasa hivi sio miaka minne ijayo sasa hivi kweli nitawapa hongera na kuona kweli bongo ni bongo.....miley cyrus, Taylor swift, Mariah carey, lil wayne, Kanye, Amy winehouse, Jonas brothers, Madonna, Rihanna, Maroon 5, Justin and Britney
safi sana, haya ndo maendeleo bwana. lazima masupa staa waje bongo.
ReplyDeleteHongera Kusaga kwa juhudi zako za kuorganise maswala haya.Unaipa chati nchi yetu.
ReplyDeleteSasa nyie mlio majuu mlie tu.Endeleeni kuwa masecurity na kubeba maboksi,bongo tambarare.
ReplyDeleteupo hapo!
jamani tuambieni ukweli hao wamekuja kufanya concert au kwenye masuala ya jamii maana tumechoka na clouds fulu kudakia wasanii wakiwa wamekuja kwenye masuala ya watoto.kelly rowland walimshindwa kujipenyeza kwake sasa fat joe na eve.kwenye website zao hakuna tour inayoonyesha kuna show wanafanya tanzania.ilikuwa ni ukweli kwa cent 50 kwani ilikuwa kwenye tour list yake.fat joe kwenye tour haionekani.eve e nae hakuna kwenye list.bongo kweli kuwe na concert jumatatu au jumanne kweli watu wako mbele.haya redio ya watu wambea clouds mko mbele kweli
ReplyDeletesiamini mtu ameandika hivi "safi sana, haya ndo maendeleo bwana. lazima masupa staa waje bongo." maendeleo? maendeleo gani hayo? kuja kwao kunamfunaisha nani? malala hoi? nop i don't think so.
ReplyDeletelabda wengine hatujui maana ya maendeleo, lakini kwa hali ilivyo tanzania sioni ujaji wa watu maarufu unaleta maendeleo yeyote kwa mtanzania wa kawaida. sio matibabu. barabara wala elimu zinazopata maendeleo. tena hao masupa staa hata hawaioni tanzania ya kweli, waleteni uswahilini waone tunavyoishi nawe unaesema maendeleo tembea kwa watanzania wa kawaida, walala hoi na uone maendeleo ya kweli
Anonym. wa 11.57 AM Xcschwiiiii...!!!!!!!!! Utabaki kusikia tu hao ma supa staa hata pesa ya kuingilia kuwaona huna. Ati wa sema kwa kubana pua "Mtabaki kubeba box" Xcschwii@@££$$$€€€€%%$%^%$££mbaffff!!
ReplyDeleteMa Goodwill ambassadors mnajidai mnawaleta nyie
ReplyDeleteAsante.Lakini jamani nashauri hotel with that Kempiski Standard ziongezwwe basi.ili wengine washukie huko..manake naona kila anayekuja ni hapo hapo. hamna kwingine..kushinda hapo?.wafungue kama Grand regency, sheraton irudi...itaongeza biashara ya utalii zaidi.wangine wanaweza kufikia.. huoo.. manake inaonekama kama tuna hotel moja tuu hapo.. Dar-es-salaam.. kumbe zipo nyingine.
ReplyDeletehao hawana deal tena huku kama wanaume kwel hao wa kina kusaga wamshushe kanye,li wayne .....wamechoka hao huku tunajiachia na kina wayne
ReplyDeletewe uliyesema mtabaki kubeba mabox ckujui tu ndo bahati yako,ningekuonyesha balaa ya hela ya box la mtoni tukirudigi bongo.ningeanza na sista mpaka bi mkubwa ikiwezekana ningeonga wote nafkr unajua nini kingetokea......?
ReplyDeletewewe!!!!
Mbona hao masuperstar wakienda bongo ni kimya kimya lakini wakienda south africa wataonyesha kwenye website zao au hata kwenye mtv.....
ReplyDeleteKila siku mnasema wako huko lakini hatuoni wala kusikia...au wanakuja kama UN ambassadors......
Na ujio wao unanufaisha nini kwenye economy? wangekua wanapublish habari zao kweli ningefurahi kuwa wanatangaza hata jina.....Hii kuja na kuondoka hivyo hamna cha mmbongo anachofaidika hapo....haa hao mafisadi ndio wanenda kuparty na wengine ni kutoa macho tu kubakia eve alikuja, joe alikuja.....ni wangapi wanahela za kuingia hapo kwenye hiyo hoteli......be honesty to yourself.....
B.W.I.M.B.W.I KWA SAAANA
ReplyDelete