KATIBU MKUU MSTAAFU GRAY MGONJA HATIMAYE AMEACHIWA BAADA YA KUTIMIZA MASHARTI NYA DHAMANA IKIWA NI PAMOJA NA KUWEKA BONDI LA SHILINGI BILIONI 5.9.
MGONJA AMEWEZA KUTOA HATI ZA NYUMBA NA VIWANJA KADHAA PAMOJA NA GODAUNI ZENYE THAMANI YA BILIONI 6.1 KAMA DHAMANA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA KISUTU IMERIDHIA HATI ZILIZOWASILISHWA NA KUMPA DHAMANA
IVI KAMA MGONJA AMBAE CHEO KIKUBWA ALICHOFIKIA SERIKALINI NI KATIBU WA WIZARA ANA MALI ZENYE THAMANI YA BILIONI 6 NA SIDHANI KAMA AMETUMIKIA MUDA MREFUU KIIVYO...VP KUHUSU MAWAZIRI, MANAIBU NA WENGINEO?? NI KWELI ANAMILIKI KIHALALI? INABIDI KAMATI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMA WAWACHUNGUZE HAWA JAMAA...SIYO BURE
ReplyDeleteHali inatisha jamani......watu kule kijijini mliko akina mwakitwange wanashindwa kumiriki hata bajaj lakini huyu jamaa an bilioni 6 zaidi ya kiwango ambacho mlikadiria kuwa atashindwa kulipa kama bond.Nawaachieni mawazo hayoooooo
ReplyDeletewizi mtupu!
ReplyDeleteThat's the difference between the have's and the haven't!
ReplyDeleteKwa kweli inasikitisha kwetu sisi wadanganyika. Kwangu mimi naona kuwa na kiwango hicho kama dhamana ni sababu tosha ya kuwatia hawa jamaa kwenye hatia.
ReplyDeleteKwa kweli sijui tunaelekea wapi. Kwa namna nyingine naona kama ni kampeni za uchaguzi wa 2010 ambazo zinaanza kwa kuwatikisa hawa vigogo lakini in reality ni danganya toto ili tuweze kurudia ufisadi mwaka 2010. Watanzania jamani tusidanganyike tena.
Hawa watu wote kuweza kumudu hizi dhamana maana yake ni kweli kwamba ni mafisadi. Mtanzania wa kawaida aliyeanza kuajiriwa akiwa hana hata kitanda, baada ya miaka 10 au ishirini kwenye ofisi ya serikali anakuwa na mali zenye dhamana ya Sh. Bilioni 5 au 10 maana yake ni nini?
ReplyDeletewhattttttt! this must be a jock? wanapatawapi hizi hela au ndo tunataifisha kiaina ? ila jamani kunakushindwa na kushida yale yale ya OJ SIMSON..... NO EVIDENCE TO EVICT HIM
ReplyDelete.....naungana wajumbe waliopita kwamba huu ni WIZI MTUPU....mfanyakazi wa serikali kuwa na mali zote hizo! kwa kipato gani alichokuwa nacho cha kumuwezesha mabilioni yote hayo. Kwanza inaonyesha anayo mabilioni zaidi ya hapo maana kama ameweza kutoa zaidi ya alivyoambiwa na mahakama....ama kweli hawa viongozi wetu wanatumaliza.....Huu ni mfano mmoja tu je hao wengine waliopo madarakani inakuwaje? au hata wale waliostaafu ni vipi? jamani nchi yetu inaliwa na watu wa wachache wanaojifanya wajanja.
ReplyDeleteUkisikia 10% hizo ndo zilizozalisha 6.1 billion aliyotoa dhamana.....RUSHWA MTUPU.....duuu kazi kweli kweli
pamoja na kutoka lakini cha moto amekiona. hiyo mipesa ametoa mpaka kupitiliza kweli EPA na misamaha ya madeni imewatajirisha. wapare walivyowabahili lakini wametoa hadi ziada hii kweli changa la macho. ngoja tusubiri hatima yao.
ReplyDeletemdau.
hizi ni mali za walala hoi kazikusanya toka kwa walala hoi muhimu ni ataifishwe mali zake zote wapewe maskini ala
ReplyDeleteHuyu washauri wake walimwambia kuwa asitoe dhamana haraka avute vute siku ili wananchi muone amepata tabu kuraise hizo funds mana angetoa mbio mbio mngesema kweli Fisadi so wakamwambia bora asote kidogo rumande ili kuua soo wakati alikuwa nazo tangu asubuhi ukizingatia madili yoote yalipitia kwake hivyo vi-10% vilikuwa kama kazi..!!! hahahah kiini macho tuu wanataka kufanya watu hazichaji ...na bado wabongo tutakoma mwaka huu .nasema na bado!!!
ReplyDeleteWell, sasa kweli ninaamini kuwa kuna tofauti kubwa sana ya hali ya maisha kati ya viongozi na viongozwa !
ReplyDeleteHii inaleta maana mpya kabisa katika uelewa wangu kuwa maisha ni magumu siku hizi Tanzania !!
Niombe nini tena kwa Mungu ? Anipe utajiri wa mumzidi nani?Thubutu !!
JAMANI HII KWAKWELI INATISHA YAANI MJAMAA AMEJIDHAMINI MWENYEWE. BILIONI 6! NA USHEEEEEEEEEE. ONA VILE WATU WANKULA NCHI, KESHATOKA KURUDI KUJIPANGA SASA NAMNA YA KUPANGA KESI ILI ASHINDE WAKATI MTU NI MWIZI. KATIKA HALI YA KWAIDA HUWEZI KUWA MFANYAKZAI WA SERIKALI THEN UWE NA UWEZO KAMA ALIONAO MJAMAA HUYU, JAMAA ANA HELA CHAFU WE ACHA TU. NADHANI KUNA HAJA YA HAWA WATU KUFILISIWA NA KURUDISHA PESA HIZI ILI WATU WENGINE WAFAIDI KUPITIA KUIMARIKA KWA UCHUMI.
ReplyDeleteMH! INTISHA KWAKWELI.
Jamani wadau mimi sielewi naomba ufafanuzi kidogo hivi hii pesa ya madafu ndio haina thamani kabisa ama la ?? Maana kwa kweli bilioni sio mchezo hilo neno currency ikifikia kuitwa bilioni ni nyingi mno , kwa mfanyo najua hazilingani thamani but hapa Ukerewe hata Queen mwenyewe thamani yake haijafikia bilioni ni matajiri wachache sana walio nazi hizo bilioni , sasa neno hilihili ukilichange kwenye pesa ya Madafu Shillingi yetu ndio inakuwa kiasi cha dhamana wanachotakiwa Mafisadi watoe kwenye kesi zao hii inakuwaje ?? Mimi sijawahi kuion aama kuishika hiyo bilioni ya TZ but I imagini ni pesa ya thamani kubwa sana sasa kwa Mahakama kuitoa hii amount kama dhamana ya kipesa au mali tena hasa kwa watu wa chini kama Katibu mkuu wa Wizara ambae ni mtumishi wa serikali anaelipwa mayb laki 3 kwa mwezi jamani ????????? Ina maana hawa watu kama ni wezi kweli basi wameifilisi BOngo sio mchezo ! Hii ni aibu iliyoje na kwa kweli if these people are guilty it is a Crime against humanity and our childrens children's generation.!
ReplyDeleteHalafu Feleshi aje aseme ati ushahidi haujakamilika kwa kesi hii! Nitamshangaa sana.
ReplyDeleteHiyo ni local property, sasa account za nje je?
Kama mimi jaji nikamwambia mtu (hususan mfanyakazi wa serikali) wa Bongo ile alete dhamana ya bilioni moja au zaidi na akaileta - ningemfunga (maisha) - amezipata wapi!!!
ReplyDeleteAmetoa dhamana ya mali ya bilioni sita? Hii i natakiwa kuongezwa kwenye maajabu ya dunia. Ndio maana watu wengine wana misemo kama vijisenti. Hakuna namna yoyote bwana Mgonja anaweza kuonyesha alipata vipi mali yote hiyo. Taasisi ya Tanzania kupambana na rushwa imekufa na ni jukumu sasa la serekali kufuatilia watu kibao kama hawa kutaifisha mali zao zote na kuwaweka jela. Mahali kama hapa ndio taifa linapomkumbuka mtu kama hayati Sokoine kwasababu ilitakiwa ni kampeni ya wahujumu uchumi.
ReplyDeleteduh!! most of Tanzanian are aware of embezzelment of public funds but most of us were not fully aware there is curruption of this kind of scale in our government..hii jamani inatisha na kuvunja moyo...hawa viongozi wanataka kutupeleka wapi??..yaani permanent secretary has more than 6 billions!!! uyu mtu alikuwa mfanya biashara?? kama sio then hizo hela kazipata wapi?? regarding this case, the war against corruption in our country has a long way to go..just imagine the guy was PS, wat about ministers !!??..sasa naanza kuamini kweli hii nchi imeuzwa n wenye nchi ni wachache..ila ngoja tuone maendeleo ya kesi yake..
ReplyDeletemdau
tanzanian
michuzi,
ReplyDeletekwanza tuangalie amedhaminiwa na nani. halafu twende kwenye hayo majumba, viwanja, na magodaun kujiridhisha na dhamani yake.
kuna jamaa anaitwa Mazala ni tajiri wa musoma. nyumba yake walisema ina thamani ya bilioni, ilipkuja kupigwa mnada ikauzwa kwa millioni 60.
Cheo ni dhamana, sitakitumia cheo changu, wala cha mtu mwingine kwa faida yangu
ReplyDeleteINAVYOONYESHA HATA DHAMANA WAKIAMBIWA BILIONI 20 HAWA HAZIWABABAISHI WAMESHABUNYA SANA KAMA HAWA.KUMBE BONGO WENYE MABILIONI BILIONI WAKO WENGI SANA KUMBE, SASA NDIO NAPATA PICHA HALISI KWANINI CHENGE ALISEMA ZILE BILIONI KADHAA NI VIJISENTI TU MAANAKE ANAJUA KUNA WATU WANA TRILIONI NA SIO WACHACHE WAKO WENGI KWELI BONGO WENYE HIZO BILIONI.MAWAZO YNG:KWANINI TUSIANZE KUWACHUKULIA SHERIA MIKONONI HAWA WANYONYAJI SISI WENYEWE SHERIA NAONA ZIMEWASHINDWA HAWA KWANI WANA SECURITY GANI YA KUTUSHINDA KAMA TUKIDHAMIRIA KWELI KWA DHATI...michuzi usibane ukibana hii utakuwa umejivunjia mnooooooooo hii ni blog ya jamiii na huu ni mtazamo wng tu
ReplyDeleteMafisadi kama wataachiwa huru kwa kutokuwa na hatia, mimi binafsi kuanzia siku hiyo sitokuwa na imani na majaji/mahakimu wetu wote, itabidi nao tuwachunguze ili kujiridhisha jinsi walivyoendesha kesi. Kwa mtanzania mfanyakazi wa serikali kumiliki mabilioni ya pesa inaonyesha alitumia vibaya madaraka yake, ametuibia walalahoi na watalaaniwa. Watanzania wenzangu hawa watu ni wa kuogopwa na kutengwa na jamii na si wa kusifiwa kwani mnakumbuka Mramba alivyotuambia tule nyasi ili ndege na rada zinunuliwe, nadhani alifanya hivyo kwa sababu alitaka apate 10%, Hii inatisha.
ReplyDeleteWhat???? mimi kupiga box basi tena. Narudi nyumbani. Naombeni deal nianzie wapi na mimi? Naona miaka yangu kumi huku ni upuuzi tu kama nitaweza kumake that money in 10 yrs bongo, why hassle here?????? Kweli bongo tambarare.
ReplyDeleteTatizo ni kuwa bongo
1. hamna kufile tax mwisho wa mwaka. Hivyo mshahara wa mtu ni million 5 kwa mwaka lakini yeye anatengeneza kiulaini billion moja na hamna anayemuuliza hizo zingine umezitoa wapi?
2. Hamna limitation ya kupokea zawadi kwa viongozi wowote Tanzania. Sasa kama zawadi iko kwenye form ya rushwa au shukurani hata ukipewa billion, hamna anayekuuliza wala hutakiwi kuideclare mahali popote ili ulipie gift tax.
3. Hela yetu inavyocirculate bongo hamna anayeelewa kabisa kwa vile haiingii bank kabisa. Big transactions zinapita chini kwa chini tu. Sijui hata bank kuu wanajua kuna hela ngapi mikononi mwa watu for sure. Once wanaprint hela zinakoishoa God knows
Ukweli ndio huu, watanzania wenzangu! mashujaa wa chadema walivyoanza kukemea maovu na ufisadi kwenye bunge la bajeti la 2006, tukaambiwa na chama tawala, "hao ni wachochezi, ... wanataka kuvuruga amani..." Baadhi ya waliokemea sasa hivi ni marehemu! Sasa tumeona viongozi watatu tu wakituonyesha at least billioni 15 kiurahisi kabisa ili kujitoa rumande. Marais, Katibu wakuu, mawaziri na maofisa kibao wa serikali na idara kama za upelelezi na TRA ni wameiba hela nyingi za kodi zetu.
ReplyDeleteInvestigative journalists tunao? Hawa watu wanaishi kwenye majumba ya thamani, maji wanayotumia kupikia, kuoga na kunywa yanakuwa filtered kabla hayajaingia ndani wakati mjini Dar hakuna maji bombani, yakitoka yana typhoid!
Huu ni wakati wa kuanza mkakati wa kubadilisha serikali na kuwafikisha wote si mahakamani tu, bali jela. Muhimu kuliko vyote ni kurudisha hizi mali kutoa huduma muhimu kwa wananchi.
HIYO INATOSHA KUMFUNGA NI MWIZI HIZI MALI ZA BILLIONI TANO AMEPATA WAPI? ZICHUKULIWE NA SERIKALI HATA KWA NGUVU ALIKUWA NA MSHAHARA GANI? EBU TUMPE MSHARA WA 6,000,000.00 KWA MWEZI NA TUMPE MIAKA40 ALIYOFANYA KAZI NI SAWA NA BEI GANI SI 2,880,000,000. SASA HIZI BILLIONI TANO KAPATA WAPI? NA NAJUWA ALIKUWA HAPATI 6,000,000.0 KWA MWEZI ENZI ALIZOANZA KAZI YEYE ALIKUWA HAFIKISHI HATA SHILINGI 1000 KWA MWEZI, MIMI TU NILIANZA KAZI 1986 BENKI NILIKUWA NIKIPARA 850. KWA MWEZI NA YEYE ALIANZA NYUMA YA HAPO TENA SERIKALINI.
ReplyDeleteNDUGU WADAU NAONA MMEONGEA MENGI SANA YAANI KAMA HUYU BWANA KIKWETE ANAFIKIRI WATANZANIA NI FOOL NI WALE WA MWAKA 47 INABIDI A THINK MARA MBILI KWA SABAB ALICHOKIANZA AKIMALIZE BEFORE UCHAGUZI KWA SABABU HII KESI TUNATAKA TUJUE MWISHO WAKE KABLA YA UCHANGUZI NA ISIJE IKAWA KAMA ILE YA WAKINA DITOPILE WANAUWA HALAFU WANAENDELEA KUDUNDA MTAANI HALAFU WANAFIKIRI TUMESAHAU SIO BIG BROTHER KIKWETE BUT NIWATANZANIA AMBAO ALWAYS TUNAPENDA PISI HATUTAKI MACHAFUKO SO WANATAKIWA WARESPECT THAT MALI YA BILION 6 KWA MTU MMOJA KWAKELI SIO FUN AT ALL HIO HELA INGEKUWEPO ELIKALINI WANAVYUO WETU WASINGEKUWA WANAPIMIWA VILE VIAILIMIA KAMA WANAVYO FANYA SASA SABABU ILE HELA YA MTU MMOJA INATOSHA KUTOA ZILE VURUGU ZOTE ZA VYUO VIKUU MH.MH..MH.SAMAHANI WADAU MACHOZI YALIKUA YANANITOKA KIDOGO
ReplyDeleteNafikiri kesi hii ikiisha kinachofuatia ni kumshtaki tena atuambie mali hizo alizitoa wapi akiwa ni mfanyakazi wa serikali???
ReplyDeleteJamani mnaposhangaa mtu kuachiwa dhamana nami pia nawashangaa sana. Kama sheria imeeleza kuwa kutakuwa na dhamana kwa washitakiwa wa aina hiyo basi tukubaliiane na maamuzi. Either awe mkulima kijijini au Katibu Mkuu kama Mgonja basi wote wako sawa mbele ya sheria. Tujitahidi sehemu zingine zilizo obvious tuwe tunakubaliana nazo. Maana tunapoishangaa mahakama kukubali dhamana sio sawa. Hakimu anaongozwa na sheria na kanuni za kimahakama zilizopo. Hongera sana Gray Mgonja. Kila jambo lina mwanzo na mwisho wake. Haya yote yatapita. Hata Mandela alikaa gerezani takribani miaka 20 na baadaye akawa Rais wa SA.
ReplyDeleteMdauzzzzz
We mdau hapo juu unayesema tunashangaa kwa nini Huyu mtu amepewa dhamana hukusoma vizuri maoni ya watu . watu hawapingi dhamana wanashangaa mfaynyakazi wa serikali katoa wapi hela zote hizo za kujiwekea dhamana? ni kiasi gani anacholipwa na maisha ya livyo magumu ameweza kuwa na vitu vyote ? Jamani Watanzania wenzangu tuamkeni muda wa mabidiliko umefika !!! Change for 2010!!
ReplyDeletemuda wa mabadiliko umefika jamani haiwezekani watu wakawa na mali kiasi hicho na wengine hata nyumba za kukaa ni shida wanakaa kwenye viota vya udongo. UCHAGUZI UNAOKUJA NI MUDA WA KUCHAGUA SERIKALI NYINGINE 2010.unabana sana ukiibania na hii poa ila ukweli ndo huo.
ReplyDeleteHIVI NDUGU ZANGU WA HUKO Tz katika KWENYE top 10 YA MATAJIRI WA BONGO BAKHRESA YUPO KWELI? SORRY,
ReplyDeleteMAY BE AM WRONG COZ NILIKUWA HUKO MUDA MREFU AND THAT IS PROPERTY HOW ABT HIS MONEY IN THE BANK?
HUKU MAMTONI HUYO MTU ANAHESHIMIKA...
MR MILLION $ MANIA MGONJA!
Old man J K Nyerere must be turning in his grave. God bless him
ReplyDelete