
JINA ABDULKARIM HAJI
UMRI MIAKA 11
SHULE GRACE PRIMARY SCHOOL (SINZA), DAR ES SALAAM
ALITOWEKA NYUMBANI MABIBO IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA, ALIKUWA AMEVAA TSHIRT NYEUPE IMEANDIKWA VODACOM MBELE NA NYUMA YA TSHIRT IMEANDIKWA VODA KID NA SURUALI YA RANGI NYEUSI INA MIFUKO PEMBENI.
NAOMBA ATAKAE MUONA AWASILIANE NAMI
ZAWADI BAHENGE
KWA NAMBA
0754710561
au
0784656676
ASANTENI KWA MSAADA WENU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...