msanii akionesha manjonjo yake hivi karibuni. siri ya mafanikio yake ni mazoezi na lishe muafaka


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. UNAFIKIRI WATU HATUJAENDA SHULE? GUYZ DONT TRY THIS AT HOME UNLESS YOU R DOUBLE JOINTED.

    ReplyDelete
  2. Michuzi...hiyo picha ya pili mhmm.....KAJALIWA!

    ReplyDelete
  3. Kweli hizi picha zinatisha. Huyu jamaa inaonekana ni mtu wa tizi sana.
    Haya bwana all the best

    ReplyDelete
  4. Aah haki ya nani hiyo comment ya pili mbavu sina,umenifurahisha mno eti kajaliwa.Anyway namtakia huyo jamaa all the best.

    ReplyDelete
  5. Ee bwana Michu naomba ntafutie contact za huyo jamaa, nafikiri alikuwa kwenye bantu group na wenzake kama wanne hivi. kikaputula@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...