Dear Brothers and Sisters,
I greet you all in the name of our almighty God, Hoping you are all breathing well under His wings.
Two days ago, I heard a rumor; I was told about the Tanzanians anger by one of my Tanzanian member of my church, and the anger was related to the sentiments made by one of our editors in Kenya, whose words went too far, and raised emotions in Tanzania.
Gitau Warigi, is a well known and respected journalist in our country, Kenya, and does not understand what transpired him to write what he wrote.
With little knowledge about the Internet, I had no idea how to get the story myself, but after several inquiries and assistance, I managed to read all of his words and your related response, and all I can say to you all is Apology.
Warigi's comments are uncalled for, and biased if not disrespectful to people of Tanzania.
I have been a preacher for 12, years in a small town called Kijabe, which is outside Nairobi, and my church services are being attended by people of all nationalities including Tanzania.
In 2007, when election in my country turned into violence, most of my church goers ran into Tanzania (Arusha) to seek refuge. I remained at the church to protect the weak who could not have made it to Tanzania, at the same time, being a member of another ethnic group, I was not safe either I remained to die.
Those who left went to a Lutheran church there, and members of the Church in Tanzania supported them like their own.
Tanzanian's you are great people, humble with big hearts.I also read a response from one of your own called Jona Mashacka, and all I can say to you is that, he is a true patriot, and a true son of Tanzania.
When I was a young man growing in Nandi District in Kenya I read of a Pan African leader, idealist and a visionary who got so much respect and envy from the British, and other world leaders. This was nobody other than Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, of Tanzania.
Nyerere, was an eloquent little man, a visionary and a thinker who had the ears of kings and queens.
Mashacka's response to Warigi's rage has reminded me of my role model, and that is Ndugu Mwalimu Nyerere, a thinker and a visionary.Once again, on behalf of other Kenyans I am truly expressing my remorse as a citizen and a man of God, and may he bless you.
We truly respect Tanzanians
Rev. Francis Ole-Saitun Sinkoio
St. Luke Lutheran Church
Kijabe,
Kenya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. shukrani mchungaji. ubarikiwe tena imekuja siku y jumapili. hii imetulia sana. ila wakenya wakabi na EA communty yao ardhi yetu hawapati

    ReplyDelete
  2. Rev
    Only if we had more people like you in our beloved Kenya .
    We would have been far ahead now.
    Keep up the good work and may God bless you

    ReplyDelete
  3. Ninawaomba ndugu zetu nyote, mnaotukashifu au kutusifu, ninawaomba muelewe kuwa WaTanzania tunajielewa na tunaelewa ubinadamu ni nini. Si kukashifiwa wala kusifiwa ambavyo ni vyenye kutiliwa maanani au umuhimu kwetu. Dira yetu ni haki, ubinadamu na uungwana wa hali ya juu. Athari ya kuingizwa miongoni mwetu virusi visivyokuwa na maadili haya, inatufanya tuwe na tahadhari. Kauli za baadhi yenu za hivi karibuni zinazipa uzito athari hizo. ORN

    ReplyDelete
  4. Sina kidhibiti.. lakini bado nahisi Mashaka anatafuta njia ya kujifagilia mwenyewe. Nimesoma maoni mengi, lakini yote naona yana mlengo fulani. Mfano, kwa nini huyu Pastor akosee jina ambalo amesoma?
    Haiingii akilini.
    Kuna mtu anataka kujifagilia njia.

    ReplyDelete
  5. Mimi namuuliza maswali huyu Mchungaji.Ameomba msamaha kwa niaba ya wakenya?.Je yeye ni msemaji wa serikali ya Kenya katika maswala ya nje?.Je,Mwandishi (Wagiri) anajutia hilo kosa?
    Sisi watanzania tunawajua sana wakenya na haya maneno ni uthibitisho tu wa tabia zenu.Provoking will not force us to hurry joinging what you call Jumuiya ya Afrika Mashariki. We got independent since 1961,earlier than you (Kenya), thereby we konw how to rule ourselves (we are more experienced).Kama kenya ni ndogo na hamuenei jaribu kujiunga na Somali ambapo kuna dungu zao Kenya. Uropokaji wenu ndo unatufungua macho zaidi jinsi mulivyo.Mungu bariki Tanzania bila Jumuiya ya Afrika Mashariki.
    Kahama

    ReplyDelete
  6. iwe kusifiwa, kutukashifu au kutuomba msamaha jirani zetu wa kenya naomba muelewe mambo machache, watanzania hatutaki muungano wa east africa kwa sababu tumejifunza katika muungano wa mwanzo pale ulipovunjika. Mbali ya kuwa kenya ilinufaika zaidi kwa kila hali east africa ilipovunjika lakini kejeli na chuki zilizofuata zilipita kiasi.

    kuna msemo wa kwetu unaokwenda kama hivi atafunwae na nyoka akiona jani huruka. Naam mlituumiza sana na hatutasahau.

    Tunao muungano wetu baina ya zanzibar na tanganyika, na sisemi kama hauna kasoro lakini tunavumiliana, tunahulka zilizofanana na tunaaminiana,, na pale tunaposema tuna udugu udugu wetu ni ule wa kuwa hatuendekezi ukabila, mtanzania ni mtanzania iwe anatoka moshi, morogoro, pemba au unguja. Watanzania wanapokutana popote duniani na kujuwa kama wote ni watanzania jambo la mwanzo wanaloulizana ni habari, wakenya wanaulizana "wewe kabila gani"

    kwa ufupi hatutaki kuungana nanyi tena kwa sababu tumeshawajuwa mlivyo hamna uungwana wa kweli, mnabadilika badilika.

    ReplyDelete
  7. Mchungaji

    You have done well to apologise to our in-laws and neighbours, the people of the great land of Tanzania.

    But, I insist that in as much as we love our neighbours as we love ourselves, let them not delay us in our kasi mpya na ari mpya as we head towards EAC and an East African Federation. Let the politely remove themselves from the community instead of pushing us down with their commitment to their own nationalist aspirations and xenophobia. Watuwache sisi tuendeleze jumuiya na shirikisho na pindi watakapokuwa tayari basi watatutaarifu na tutajadili nao wakati huo vile wanaweza kuungana na sisi.

    Say the truth and the truth shall set you free. Tanzanians will never believe it when you tell them that Kenyans love Tanzanians more than they love any other Africans. Watasema tuu kwamba tuko na plan nyuma ya this love for them ya kuwafanyia maovu.

    True love between Kenya and Tanzania can only come when we both respect each other and shed our oedipal fears.

    Tanzanian resources are too much for Tanzanians alone to benefit from. Is it not fair that when a child of a neighbour has too much he/she should share with the people next door jamani?

    Paulo Kamau
    Mkenya Mzalendo
    Nakuru

    ReplyDelete
  8. Amen, Rev.
    What you have said is right. It is good to apologise and my fellow Tanzanian let us not throw stones at each other, but plan a better way forward. Just like what others have suggested. iF WE DO NOT LIME EAC it is ok BUT. We have to personaly Work hard! & Deliver!
    USIULIZE TANZANIA ITANIFANYIA NINI? BALI MIMI NITAIFANYIA NINI TANZANIA? (AIDHA NDANI AU NJE YA MUUNGANO)
    For those who believe in God like me let us pray for tanzania. We need God in this matter.
    Mungu ibariki Tanzania
    Mungu ibariki Afrika
    Mungu akubariki na wewe msomaji!

    ReplyDelete
  9. We, Tanzanians still command a lot of respect in the international arena due to our kindness, hospitality, peace, unity and tranquility which continue to be an envy of many of our neighbours.

    Despite the 'internal shockwaves' we always manage to come-out unified and strong with the common sense of purpose.

    Let me remind Mr. Warigi and others who might not be happy with the pace we are going in East Africa; The Great Britain (one of the best economies in the world) are using their sterling pound(£)contrary to other big economies in EU for the reasons which are still sound to majority of British people after the then Chancelor of the Exchequer Gordon Brown argued that for Britain to join the Euro currency there must be 5 Economic tests to be passed (i leave it to you as a home work).

    Accordingly, for us to accept the land reforms proposal in EA cautions must be taken before we end-up as loosers rather than winners. There must be 'a win-win situations' before we can jump into that sea of uncertainty.

    God bless Africa
    God bless East Africa
    God bless Tanzania

    Undoubtedly, Mr. Warigi's comment do not reflect the view of majority of Kenyans whom suffered during the recent bloodshed which followed after the election and we saw how the 'Tanzania Government' and its people worked tirelessly to help them out.

    Whilst, I do not have any problem on accepting Reverend's appology and I am sure is the case for many Tanzania's, we sometimes have to learn to agree to disagree if we want a strong EAC.

    The credit goes to Mr. Mashaka and others who were able to quickly respond to the insults raised without loosing their coolness. You have made us proud and this should serve as a warning that we will not tolerate the insults of our intelligence and brilliance neither to our Government leaders nor to the people of Tanzania at large.

    ReplyDelete
  10. ahsante sana kwa wote mliotoa maoni yenu juu ya maneno ya ndugu warigi sijuwi, Nikiazia kwa huyo mchungaji namsifu sana.Huyo ni mmoja wa watu wachache wa kenya ambao wanaelewa utu na ubinadamu ninini. Nadhani nikwasababu ni mtu anayempenda MUNGU.Ukimjuwa Mungu utakuwa na hekima.Wakenya jirani zetu na ndugu zetu, wamekosa UTU na ubinadamu.Ni watu ambao hata ungewatendea mema makubwa kiasi gani, bado watageuka na kukuchoma kisu mgongoni.Wamependa PESA mstari wa mbele kuliko kumpenda Mungu wakashtukia utu na ubinadamu umewatoka.Wakenya mnachohitaji ninyi ndugu zetu, ukiangalia hata maisha ya kibinafsi na kiroho mbaya tena iliyojaa kutu, mliyonayo, UKWELI dawa yenu ni kumgeukia MUNGU tu. Mungu awasafishe hizo roho zetu za kujipenda zaidikuliko kumpenda mwezako.NI majirani zetu tu lakini mmhhhh! siri mnajuwa wenyewe.Achani kuishi maisha ya kizamani, tuko ulimwengu wakisasa wakupendana bila kujali kabila dini wala masikini au tajiri.Kama mnataka umoja nasisi wa TZ. ni lazima mshike adamu na kuwa waungwana, wa utu na ubinadamu, vinginevyo hatutaki hata kuwasikia msituletee mbegu mbaya kwetu sisi.Kwa maana mtu yeyote hata akienda kusoma kenya hasa watoto wadogo, wakirudi wamebadilika na kuwa wakali wakali, wachoyo na ubinafsi, hakuna heshima, puuu! sitaki kusikia.Tunawapenda sana wakenya lakini hatupendi hizo tabia zenu za kinyama.

    ReplyDelete
  11. Rev, I kindly appriciate for your great apology, however I can still instist it is high time for Kenyans to learn from Tanzanian to live and govern in democratic and respected society. I will be much appriciated if you Kenyan can ask Tanzanian in any way which we can help before go for federation!!!

    ReplyDelete
  12. Mr. Gitau Wagiri,

    Which federation and what government and follow up to election do you wish for Tanzanians? A bloodshed in our land! And if we aloow ourselves to be driven into that situation and be a party, whence will they come to redeme us. Thank God that we were Tanzania and we managed the parties to stop bloodshed.
    Let us remain what we are to help evade your bloodshed when it comes again.

    You are quick at forgetting, unfortunately. We are not; that is how slow we are - for your own good! May the Almighty cleanse you, may He guide you to see the light.

    ReplyDelete
  13. Apology accept pastor but who is Jona Mashaka you are talking about? Don't try to bring scarcity of genuine apology. You might have a good intention but to some it seems as if you just want to divide us....We are all here as Tanzanians for this issue and not as so and so. We might have different opinions and expressions but count me on this we Tanzanians are bonded together like glue....and this too shall pass.

    ReplyDelete
  14. Why should Warigi insult us anyway? We Tanzanians need to know if the Kenyan Government is behind this and Gitau Warigi is just the mouthpiece? We demand to know if the Nairobi capital is with,or against Warigi's COMMENT! The Sinful Warigi needs to go to the media and APOLOGIZE not the Pastor! We are analysing and assessing the products of The Nation Media Group especially the papers to be boycotted by Tanzanians around the globe, until Gitau Warigi stand in public and apologize! He has published his essays hence he should withdraw his essay in public mind! It's serious,and it'll remain serious until JUSTICE is done! We need justice and justice will take its course this time! Warigi is infecting us Tanzanians with AIDS virus of negative Identity while knowing there is no CURE! Warigi the grandson of Kenyatta,Tanzanians needs the vaccine for your irrational comment! We can't take it anymore.You are insulting and demeaning our motherland with impunity.For this,Tanzanians needs justice from WARIGI himself not the Priest! Hata Mbinguni kila mtu atabeba mzigo wake.
    Chakubanga

    ReplyDelete
  15. HIi mambo ya umoja wa East africa kwa nini mnaung'ang'a nia sananinyi wakenya? Ndugu wa Tanzania,Msije mkarogwa mkakosea kukubali huu umoja.Jaribuni kukumbuka historia tulikotoka baada ya kuvunjika hikihiki kitu kinachoitwa muungano wa K, T, na U.
    Hawa manyang'au kenya walituibia, baada ya kuona wamepata walichotaka wakatangaza kuvunja jumuia nasi wakatuachia matatizo makubwa ambayo mpaka sasa watu wengi hasa babu zetu na baba zetu hawajalipwa chochote, na wanalia lia mpaka leo, na wengine wamekufa wakiwa wamepoteza haki zao hivihivi.Je TZ hamjifunzi?
    Kwanza, Lengo lilikuwa ni jema kabisa kwamba, Mwalimu hayati Nyerere baba yetu mpendwa wa taifa Mungu amweke salama, alitoa maoni kwa Kenyatta hivi" baba kenyata, tuungane ili ninyi wakenya muondoe hizo tofauti mlizonazo za makabila hayo.Ili mkipata tatizo mtajiita sisi ni kenya, mbaya wetu tukamtafute Uganda au Tanzania. Lakini mtakuwa mnajiita SISI WA KENYA". au Uganda wakipata tatizo nao ni hivyohivyo watajiita sisi waganda mbaya wetu yuko either Kenya au Tanzania.kwakufanya hivyo, hakutakuwa na kujiita SISI ni wakikuyu na hao ni wajaluo, au hao ni wakamba.Mtajiita sisi ni wakenya.Mzee kenyatta akasema we mtoto julius wewe unaniambia nini, wewe endelea na siasa yako ya ujamaa.mimi na siasa ya MEN eat men.baadaye baada ya kenyatta kufikiria zaidi akakubali mwungano. Lakini si mwungano wa kufuta ukabila hapana bali ni baada ya kupiga mahesabu na watu wake kwamba tukiungana tutapata kitu fulani pale.Wakakubali kuungana.Wakakomba ndege, na pesa zoooote za jumuia,baada ya hapo kenyatta akasema sasa jamani kila mtu aendelee kivyake na nchi yake.Mwungano ukavunjika tii.Ulivunjika ukiacha watu hasa wa Tanzania wakilia machozi ambayo yanaendelea mpaka LEO hii.Ninachotaka kusema ni hivi, Hawa ndugu zetu wa KENYA kama hawatamrudia MUNGU, ni vigumu kabisa kwendana na sisi wa TANZANIA au hata Afrika nzima.Kwasababu ni watu ambao ni wanafiki.Hawana ukweli wowote ndani yao.Unapoongea nao jambo utadhani mnaelewana na kukubaliana, kumbe yeye anaagenda zake moyoni ambazo wewe huzijuwi na huzioni. Kuziona kwake ni MAUMIVU utakayoyapata baada ya kukubaliana naye.Mkenya yeyote japo si wote lakini wengi wao, ukitoa wazo lolote lile, kama nilakufaidi nyote, hayuko tayari kukubaliana na wewe, lakini kama akiona kuna namna atapindisha pindisha ili yeye anufaike kuliko wewe, basi atakubaliana na wewe.Mkenya anapokuwa na urafiki na wewe ujuwe kuna namna unayoliwa wewe bila kujitambua, utajitambua wakati unateketea zaidi.Ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wanahitaji TOBA, WAMGEUKIE MUNGU ambaye atabadirisha nyoyo zao, KWANI wamekuwa ni afadhari kukutana na simba kuliko kuweka urafiki na hawa ndugu.Inasikitisha sana ndugu zetu wa kenya tulivyojirani namna hii ukweli mngejaribu mkae mjitafakari na kuona hivi dunia inawaangaliaje na hayo matendo yenu mliyo nayo ya kufanyiana unyama ninyi kwa ninyi? Mlidhurumu mali ya Africa mashariki, Mwalimu na watu wake wakalia, Na kilio kikafika mbinguni.Hatimae chuki yenu ya ndani kwa ndani ya kikabila imejitokeza hadharani mbele ya dunia mzima.Ni aibu kubwa kabisa kumwaga damu ya nduguyo ndani ya nchi yenu kwa kigezo tu cha ETI huyu ni mjaruo, au huyu ni mkikuyu. Jamani mnaishi ulimwengu wa wapi ninyi? huyu ni mkikuyu na huyu ni mjarua mnabaguana ndani ya nchi yenu kweli jamani? Na halafu mnadai eti umoja wa EAST africa wakati ninyi wenyewe hamko na umoja? kwa sababu ya ambayo yalishatokea mwanzo, mimi nadhani mheshimiane ninyi kwanza ndani ya nchi yenu ya kenya, ondoeni tofauti mlizonazo kwanza, mjiite sisi ni kenya,hapo ndipo tutaelewana.Mkiaza kufayiana mema ninyi kwa ninyi ndani ya KENYA basi tutasema sasa karibuni ndugu zetu.Kwasababu unyama mnaofanyiana mjaruo na mkikuyu halafu tukiungana nasisi, unyama huohuo mtauendeleza ndani ya jumwuia.Hivi hata mkitafakari hamwoni ni sifa nzuri ya kupendana, kuheshimiana, kujariana na kusaidiana ninyikwa ninyi mkijiita jamani sisi ni wakenya.Eh, siyo sifa hiyo jamani.Mnabaguana kwasababu hata zisizo na msingi.Eti hawa hawatahiri, Jamani mungu mwenyewe ameumba watu hivyo wewe ni nani unaye mbagua mwezio eti hajatahiri, Hivi ni swala la maana sana hilo la kumbagua mwanadamu mkenya mwezio eti kwa kutahiri au kutokutahiri.Huo ni USHAMBA wa miaka ya nenda kweusi huko nyumma kabisa.TUISHI katika ulimwengu wa kisasa jamani, Unajuwa ushamba mwingine huwezi kuujuwa kuwa ni ushamba bali matendo yako ndiyo yatajurisha kwa watu kuwa huo ni ushamba.Nani amekwambia kuwa kutahiri kwako ndio kuwa mwanadamu zaidi kuliko ambaye hayatahiri? Hebu tujari UTU, Ubinadamu, UUngwana, na kuwa sisi sote ni viumbe vya mungu.mkikuyu si bora kuliko mjaruo, na wala mjaruo si bora kuliko mikikuyu sisi sote ni wakenya.Tunawaombea sana ndugu zetu wa kenya haya maoni msiyatupe kampuni, yana maana kubwa sana kwenu hasa ikiwa ninyi ni watu mnaomwamini mungu na mnakwenda KANISANI au msikitini, mnahitaji utakaso wa hali ya juu.Ingekuwa hata mnapokutana kanisani ombeeni undugu kati yenu kama WAKENYA siyo kama wajaruo au wakikuyu.Mwisho ni hivi, kwa sasa hivi mnamambo mengi yakujirekebisha si rahisi kuungana na sis wa TANZANIA ambao tumejaa utu na ubinadamu na uungwana.kwani hata maisha yakawaida tu tunapochangamana na wakenya huwa hatuelewani, ukiona kunauelewano ujuwe mtanzania anafyonzwa bila kujijuwa.Roho mbaya,wanafiki, manyang'au. Eh! DAWA ni MGEUKIENI MUNGU, mkifanya hivyo NAIMANI mnaweza kubadilika hata tofauti zenu hizi zitakuwa ni historia tu.

    ReplyDelete
  16. Jukwaa lisitume indirectly kumnyanyua mtu hapa.

    Sifa ziwaendee Watanzania na Wakenya wote waliorespond siku nyingi sana (sio katika thread ya kumjibu Gitau tu)kwa hekima juu ya jambo hili na sio John Mashaka pekee.

    Hatuna haja ya kushambuliana na maneno ya chuki. Kuna mazuri na mabaya kwa Watz na kwa wakenya pia sawia, afterall hii mipaka ilichorwa na wanadamu kutugawa na kujigawia walichotaka.

    Hata hivyo kwa kufuatana na hali ya sasa watu wanahitaji muda wa kutosha na hatua mbalimbali zifikiwe pasipo kulazimisha au kuharakisha shirikisho la aina yeyote kisisasa na kiuchumi.

    In the actual fact I think we Tzs, need to hasten our moves to resolve our internal state of the Union (Tz bara & Zanzibar) kuliko kukimbilia EAC due to the urgency of the matter.

    Mchungaji nawe ubalikiwe!

    ReplyDelete
  17. nakubaliana na ndugu Obwatasyo, people we need to go to work now, kaka michu inawezekana tukapata siku ya kuliombea taifa letu TZ angalau 5min, na viongozi wetu, jamani huku Rwanda jana watu wamemaliza siku 40 za kufunga na kuomba kwa mambo yao na nchi yao,
    na tujitaidi kufanya kazi na tuache malumbano,vile vile si vyema kuwashambulia ndugu zetu, kama amekose amekosea, lets not make a big deal out of it, kitu muhimu kwa wabongo ni kuchapa kazi, kusoma na kujiendeleza while ndugu zetu are busying themselves na ujanja ujanja by the time wanashtuka tushawapiga gap.
    Mungu ibariki Africa
    Mugu ibariki East Africa
    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  18. So Mr.Paulo Kamau,it seems like you have no clue of what you are saying here.
    First you declared your unconditional love for us Tanzanians and yet you note that Tanzania has too much resources for Tanzanians alone to benefit from and that it is fair for Kenyans to get a share.
    Without any doubt,this means you admit that Kenyans are after Tanzanian resources under EAC umbrella.
    Secondly,if you think that Tanzania is delaying your "kasi mpya ari mpya",why don't you convince your fellow countrymen to move on with EAC without Tanzania because I think it will be much easier than persuading Tanzania to join the federation without any assurance of benefits.Your comments sounded like Tanzania is the one pushing to join the EAC.
    Thirdly,we Tanzanians are not xenophobics as you say,we just don't want other countries,like Kenya, to take advantage of us.
    And lastly,we may have too much resources but whether to share or not is exclusively our decision, and don't even let me start talking about fairness because you know I will touch the Mt.Kilimanjaro issue.
    Endeleeni na mambo yenu,tukiamua kujiunga tuwajulisha,na tusipoamua msitushupalie namna hiyo.
    Oh bye the way,I have a bunch of Kenyans associates who always brag about how their country is better than Tanzania.
    Sam
    Mtanzania asilia.

    ReplyDelete
  19. Ahsante sana huu bado ni mwendelezo tu wa maoni ambayo nimekwisha ya toa tayari.Ni hivi,bado nasisitiza kwamba,sisi wa Tanzania, kwanza napenda kumpongeza Kaka yetu mpendwa Rais Wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa kazi nzuri,bora na ngumu anayoifanya ya kuongoza Taifa Letu, na ninachomeka kawazo kwake anapopata nafasi ya kusoma hii blog kwamba, "KATU USIJE UKATHUBUTU KUSEMA Unakubali mkataba wa kuungana na hawa manyang'au KENYA, KATU kaka KIKWETE,KATU mjomba usithubutu.Wewe mwenyewe umekuwa kiongozi wetu imara wa siku nyingi tangu ujana wako umelitumikia taifa hili, wewe ni mmoja wawatoto wa Baba wa Taifa kisiasa, umeona alivyopurukushana na wakenya baba wa taifa, na hata ilifika wakati walitaka kudai kwamba sehemu fulani ya Ardhi ni yao, mara oh, mlima kilimanjaro ni wao,Usithubutu, SIMAMA IMARA usiyumbishwe na mtu yeyote, tena wewe ndiye bosi wa AFRICA sasa hivi kwa hiyo unasauti KUBWA. hayo ni mawosia kwa Raisi wetu" sasa hawa jamaa mnapoona wameng'ang'na hivi ujuwe kuna kitu wanakitaka hapa si bure.Wamekwisha fanya dhambi ya ubaguzi huko kwao wamechinjana, sasa wanataka kuja kutuletea dhambi hiyo kwetu tuchinjane huku, WA tanzania msithubutu.Hawa watu wana agenda kubwa ambayo ni siri yao kwani hawawezi kuionyesha hadharani kwanza mpaka wapate kibali ndipo mtaipata cha moto.Si kwamba tunawaogopa hapana, hata Mungu anaposema wanangu msikubali shetani haina maana anamwogopa no bali hataki mwambukizwe na maovu yake.Angalieni mfano mwingine wa juzi juzi tu hapa ili mwelewe undani na umhimu wa maoni yangu.
    Ulipoanza sakata la mfumo wa vyama vingi, Mzee mmoja kenya akasema jamani tumechoka na rushwa ya humu ndani na unyanyasaji kwa wananchi wadogo wasiyo na sauti, sasa kwakutumia Democrasia hii tuliyoletewa na wazungu wetu hawa, hebu tufanye mabadiliko tuondoe chama hiki kilichoshikilia maovu tuweke kingine tulete mabadiliko. Huyu mzee akasema hebu tuungane jamani vyama vyooote tumwondoe hiki chama.Na wewe ndugu kibaki utnakuweka uwe Rais tutakupigia kampeni motomoto.Lakini makubaliano ni haya,utashika kipindi kimoja na tutafanya mabadiliko haya haya na haya kwa manufaa ya Taifa LETU.Huyu mzee akapiga Campain nchi nzima, mpaka yule kibaki akaugua sijuwi ni ajali akapelekwa hospital Ulaya.Anatibiwa huko, huku kampeni zinaendelea.Anarudi anaambiwa ee bwana Urais huu bwana ingia mtamboni turekebishe utawala kwa manufaa ya taifa letu na wananchi bwana.Haya, ile anaingia tu kibaki anakabidhiwa shoka, yeye akashika MPINI na akamgeuka mwezie na akajaza kwenye cabinet watu wa kabila lake tu.Akamsaliti mwezie Raila.Ikaendaa, uchaguzi ukafika, akatangaza kugombea tena kinyume cha makubaliano yao ya mwanzo.Tena inasemekana hata Nauli Ya kwenda kutibiwa ni Raila alitoa kwaajili ya KIBAKI.Anyway,Raila naye akasema wananchi wananitaka hebu nitumie democrasia hii kwaajiri ya ridhaa ya wananchi wa kenya. Campein zimeendeshwa, siku ya uchaguzi ikafika, Watu wakaenda kwa utaratibu na amani kupiga kura na wakapiga.Matokeo yakawa yanaendelea kutangazwa kidogokidogo, Raila anaongoza majimbo sita kati ya nane waliyonayo.Oh mara Wakamwapisha Kibaki haraka haraka tena kwa kificho.Matokeo yake ndugu wa Tanzania mliyaona hata sitaki kwendelea zaidi. Na tena walivyo na kiburi hawa watu ujuwe, Eoropean Union wamekwenda kusuluhisha patupu, UN. patupu, AU, patupu, Katibu wote waili wa Umoja wa mataifa wa sasa na wazamani wamekwenda kusuluhisha ikawa patupu, U.S nao bila kuwa nyuma wamekwenda patupu.Kama siyo Jakaya KIKWETE kwenda huko, Leo hii ndugu zetu ingekuwa majivu nchi nzima."MAJIRANI ZETU JAMANI" yote hiyo kisa PESA. PESA imeondoa UTU wa MTU.SITAKI KUTOKA KWASABABU YA PESA.ILI atakaye ingia tena pesa itumike kwa kumuweka aliye TAHIRI.PESA ndugu zanguni,PESA. Hata KIKWETE sijuwi alitumia LUGHA gani kupatanisha hawa watu kwa kweli MUNGU ambariki kikwete.Hawa watu ni wanyama ni vichwa ngumu mbele ya pesa hawaelewi kitu, hawajali damu ya mtu kumwagika ili mradi ikimwagika italeta pesa they do not care, PESA. Sasa, ndugu zangu wa Tanzania, Hebu twendelee na umoja wetu, umoja wetu una nguvu kwa sisi kwa sisi, na wezetu wengine kutuiga, lakini si kuungana nao hapana.Tunapata shida sana na hawa watu, watajitetea hivi na vile, lakini msije mkatekwa, hawa watu ni kuona kuwa wamemgeukia MUNGU TU, hapo tutanena. Hatuwezi kuambatana nazo hizo tofauti walizonazo.Kwa maana ukiwa rafiki wa mkikkuyu, na yeye akajuwa unaurafiki na mjaruo bali wewe si rafiki labda aone kunakitu atafaidi kwako.Hebu tujifunze na Wa marekani. Bila shaka kuna watu wazungu waliosema ni vigumu kwa mweusi kuwa Rais katika nchi hii,Lakini amekuwa.Na aliposhinda tu huyu ndugu mweusi, ikawa ambaye hamtaki au anamtaka ni shauri yake Democrasia tunaiheshimu huyu ndiye Rais wetu sasa.Kwa jinsi tofauti za Kenya zilivyo, huu uchaguzi wa Marekani ulivyokuwa laiti ingekuwa ni KENYA saa hii ingekuwa ni mauaji mengine tena, kwasababu amekuwa mtu ambaye hakubaliki na kabila letu, hata kama amechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi. Mnaona jamani Wakenya, Rafiki na ndugu na jirani zetu nyieee, ondoeni ushamba huo.huo ni ushagoo, Kuweni wa staarabu.Hivi mnahubiri nini kanisani kama mnabaguana kimakabila namna hii? Hebu toeni sababu ya msingi kabisaaa ya kututeka sisi wa Tanzania tuwakubalie kwenye umoja wetu je mnayo? hamna oh NO big NO! Kwenye uchaguzi wenu mngesema Jamani kiutamaduni wetu wa kikuyu hatumtaki mjaruo Lakini ameshinda hatuna namna huyu ndiye RAIS wetu, kama walivyofanya Wamarekani. Hii ndiyo Democrasia. Unless muitangazie Dunia kuwa ninyi Democrasia hauitaki ndipo Dunia ielewe.Kama mnataka umoja jaribuni mwungane na SOMALIA ili muijenge SOMALIA kwani sasa Somalia haina Serikali na Ardhi ni kubwa saaana kwani ninyi uroho wenu wa pesa yenu yoote huwa ni kwa sababu ya uroho wa Ardhi, kimbieni mchaka mchaka muwahi kuna ardhi ya bureee SOMALIA. sisi tuko tayari kuungana na Rwanda, Burundi, Uganda MALAWI,MOZAMBIQUE kwa sababu hawa angalau wana ka utu kidogo na wanatuelewa na wanakubali kwenda na sisi kwa namna fulani. Lakini kenya mna madharau kujiona ninyi ni bora kuliko waafrica wengine, mnaita wa Tanzania Washamba, Jamani kweli Nyani haoni KUNDU LAKE huona la MWEZIE.HUKO kubaguana kwenu ndiko USHAMBA wa HALI YA JUU, ndiyo maana nasema ni vigumu sisi kwendana na ninyi, kwa sababu ninyi mkifanyiwa wema na mtu mnageuza kama ni udhaifu.Kwasababu ninyi wema na heshima ni vitu viwili tofauti ni DICTIONARY kweny.Nasisitiza UTU jamani Let you be have a SENSE of HUMOR.
    Ndugu MICHUZI hata nitakupigia simu nikushukuru bwana kwani hoja zangu zote hukutupa kapuni umeziweka zote na ninaimani zimesomwa na zitaleta changamoto kubwa katika jamii yetu ya TZ kwa hali ya sasa inavyokwenda.
    Ahsante saana na Inshalah!

    ReplyDelete
  20. halafu we Kamau kila siku kusema kuhusu sisi tuna wa delay si mtuondoe kwenye huo umoja wenu, kama mnaona tuna wa delay? aaa!!
    Aman

    ReplyDelete
  21. Ndugu zangu watanzania,ninaimani kuwa mwandishiGitau Wagiri na Paul Kamau ni wakikuyu wakikuyu ndo waliosababisha jumuia iakavunjika kwa kiburi na jeuri waliyonayo,Ni watu wasio na utu kikuyu haheshimu mtu yeyote ambaye siyo mkikuyu ndiyo kwa maana hata Raila aliposhinda kikutu Kibaki alimwibia ushindi yote hiyo ni shauri ya dharau,Wajaluo,wanandi.wakaleinjini, wakamba n.k wamezoea hiyo arrongance hawajui watanzania tulifundishwa na Mwalimu umasikini jeuri.Hatuna shida na Kenya kwani hatuna tunachokipata au kukifaidi kutoka kwaowao ndo zaidi wanashida na sisi wanatumia Kilimanjaro kwa utalii, Mbuga za wanyama ziko Tanzania wamekuwawakizitumia kama vivutio kwa watalii tulipo weka masharti mtalii anayeingia Tanzania kutokea Kenya iliwaumbua maana watalii wengi walikuwa wanaambiwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya sasa wakifika mpakani wanatakiwa kulipia Visa ya tanzania ikawaumbua uongo wao ukajulikana.Kwa hiyo hao ni manyang'au tu hawajabadilika sasa wanataka na ardhi achilia mbali madini ya kama vile tanzanite ambayo wameshidwa kubadili jina la sivyo wangedai ni mali yao kama ambavyo baadhi yao mbumbumbu bado wanaelewa.Huyu Rev aliyeandika kuomba msamaha ni miongoni mwa yale makabila machache yenye ustaarabu huko Kenya,Kwa nini watanzania tunataka kujitumbukiza kwenye makabila yenye matatizo kama vile watusti wa Rwanda na Burundi ambao ni wabaguzi kama wakikuyu? tunashida gani ya kushurutishwa Muungano/au shirikisho kabla hatujatatua hayo matatizo ya kiasili.
    Watanzania tuwe macho shinikizo hilo linatoka kwa kikuyu na banyamulenge ambao wote wanatabia zilizofanana,ikumbukwe kuwa kabila linaloongoza kwa ujambazi ni kikuyu huko kenya sasa ebu tulegeze masharti tutakuja kujutia uamuzi wetu hapo baadaye maana (MAJUTO NI MJUKUU).

    ReplyDelete
  22. Huyu Paulo Kamau na kina Wairigi wapozidai rasilimali za Tanzania kwa nguvu hata kabla ya shirikisho wananikumbusha namna Amini alivyodai kwamba Kagera ni sehemu ya Uganda

    ReplyDelete
  23. JAMANI:

    PAULO KAMAU ndiye WARIGI Mwenyewe, aliambiwa basi akaja huku kujitetea, shenzi zake.

    WARIGI Ondoka humu, hii siyo site ya wakenya. Nendeni Somalia mkaungane nao, ili msaidie mataifa mengine dhidi ya maharamia. au Nendeni Sudani mkawasaidie majanjaweed

    ReplyDelete
  24. Wakenya lini mtafyekana tena mapanga shingoni? I can guess, in 4 years mtakapokua na uchaguzi mwingine. Poleni in advance!ila msichinje watoto tafadhali, chinjaneni watu wazima tu.
    Msuluhishi.

    ReplyDelete
  25. Pastor,

    Mungu akubariki kwa kutuomba msamaha na kuonyesha ubinadam...ukoo juu pastor, kati ya wakenya wote, mi naona wewe una damu ya kitanzania kiasi flan.

    Na wewe Wariki pamoja na Kamau, nyinyi ni MANYANG'AU kama baba yetu wa taifa alivyowaita, hakukosea kabsaaaa...na kama mnaisoma hii na mmekasirika, nitafuteni Nairobi Westlands, mtanikuta tu nakula bia, piteni kwenye kila pub mkimuulizia mtu anaitwa MBONDO, mtanikuta...nyie lazima niwashikie bakora niwacharaze...Nyambaf!!!

    Tanzania...Pamoja Daima!

    by MBONDO NGUMIJIWE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...