katuni mvumilivu hula maumivu. Kwa hawa wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki nadhani kwao ile methali ya mvumilivu hula mbivu sasa inakuwa mvumilivu hula maumivu! Katuni zaidi wadau karibuni www.nathankatuni.wordpress.com
nathan mpangala akiwa oslo. anauliza sanamu kama hizi zingekuwa manzese ingekuwaje?
lugha bungeni



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Je na sisi wenyewe ukilinganisha tabia zetu- zinabadilika tunapokuwa ughaibuni na tunpokuwa Manzese?

    ReplyDelete
  2. manzese wala hawaitaji hiyo wanahitaji bomba za maji

    ReplyDelete
  3. Wewe Nathan,
    Mbona unatukandia sisi wakazi wa Manzese? Kwa taarifa yako hayo masanamu sisi hatuyamind kabisa tena kama ya chuma tungeyauza vyuma chakavu ASAP! Vipaumbele vyetu si masanamu ila ni ajira tupate japo msosi mmoja wa kueleweka kwa siku, maji safi na salama ya bomba, zahanati zenye dawa na wauguzi wasio na matusi, mitaro ya maji taka, eneo la kutupa taka, viwanja vya michezo ili watoto wetu wasivute bangi...

    ReplyDelete
  4. Kaka Mpangala hawa jamaa waingereza nadhani kwao maadili F kabisaa maana hata masanamu kama haya yamezagaa karibu UK nzima hadi Library. tena ziko uchi kabisa

    ReplyDelete
  5. weee chizi nini???ulotoa sura yako apo

    yan ushawaona wezio wa manzese ndo wanataka huo ujinga wa mipicha yenu ua uropa tena unapiga picha apo kuonyesha nyie wabeba box kazi mnazofanya uko ~~'''@@**'###zako sana,,,
    yan ukienda nje baaaaasi wajiona umefiiiiika,,watu twaenda km sokoni tuuu na bado tunawathamini tulikotoka,,
    annon ulomjibu apo nini manzese twaitaji SAAAAAFI SAAAAANAAA
    dont bring here this crap ever again

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...