usiku kuamkia leo nimefarijika na kufurahi sana kukutana na mdau wa EU (samahani sio uturuki) dk. ze marco polo (shoto) ambaye kaja vekesheni ya krisimasi bongo na mdau katika kulisakata ngwasuma la nguvu pale kijiji cha makumbusho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. aaah why so quite? miss u .Sharon-Houston,Tx.USA

    ReplyDelete
  2. ze marco polo uko Uturuki hatuambiani hehehe.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. oyaa balozi michuzi naomba urekebishe kidogo hiyo caption, mkuu zemarcopolo sio mdau wa uturuki...huyo ni mzee wa mtoni hapa EU. Nadhani mwenyewe alikueleza kwa usahihi(...nadhani ulichanganya tu baada ya ngwasuma kukolea...huyo ndo mzee wa mtoni original...yeye ndo aloanzisha "kayetanka"...si unajua tena...
    mzee wa mtoni endelea ku-make sure...
    "emergencypoison".

    ReplyDelete
  4. mbona hafanani na marco polo?

    ReplyDelete
  5. michuzi, je ni kweli prof leonard shayo amefariki? kama ni kweli mbona hakuna habari juu ya kifo chake kwenye vyombo vingine vya habari zaidi ya jamiiforum na blog chache?

    ReplyDelete
  6. Mzee wa Mtoni,zemarcopolo,naona umeona mara mbaya kwa mwaka si moja kujirusha ndani ya bongo.Jitahidi "kushea" na wabongo habari za hapa mtoni ili nao wajue yanayojiri ughaibuni.
    the son of Africa.

    ReplyDelete
  7. kaka zemarcopolo....pitia leicester ukirudi..nadhani ushanijua ni nani...hahaha mzee wa mzee wa leicester niliyetoswa viza ya US..HAHAHAHA..mpe hi baraka na wote huko

    ReplyDelete
  8. semeni tui ni czech republic.tetete sio kuzunguka

    ReplyDelete
  9. Ha ha hah aaaaaaaaaa! kumbe Imani Kondo ndo Ze Marcopolo! Aisee... I didn't know kabisa! Karibu bongo mazee!(tulikamua wote Ilboru huyo)
    Mdau

    ReplyDelete
  10. huyo ze marco Pole...BONGE LA MSHENZIIII HAFAI KABISAAAAAA

    ReplyDelete
  11. ZE MARCO UPOOOOO...UMEPOTEA KABISA... HUJATULIAA WEEEEE MTOTO WA KUWADANGANYA MABINTI NA KUWACHEZEA...DAR IPO HATARINI SASA

    ReplyDelete
  12. ZE MARCO UPOOOOO...UMEPOTEA KABISA... HUJATULIAA WEEEEE MTOTO WA KUWADANGANYA MABINTI NA KUWACHEZEA...DAR IPO HATARINI SASA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...