hii ndiyo klabu ya daraja la kwanza ya African Lyon FC (zamani mbagala market) ambayo inaendeshwa kisasa na tayari wana tovuti yao tofauti na karibu vilabu vyote ukiondoa Azam FC na Mtibwa.
kuona tovuti yao
Intavyuu ya prezidaa wa klabu hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. inapendeza laikini inachukiza, mie nipo ughaibuni lakin sitegemei tovuti hiyo itasomwa kwa sana wageni,nikimaanisha wasomaji wakubwa ni wachezaji wenyewe na watanzania washabiki wa mpira ambao kwa kiasi kikubwa hawajui kiingereza, sasa hiyo ya kuwa na tovuti ya kiingereza kwa sababu tu wadhamini ni wahindi, nafikiri hapo wamechemsha ,na liwe fundisho kwa hao wengine waliombioni kufungua. Mkuu wa wilaya, angalia hata blog zenye kizungu, hatuzipitii sana kama hii yako, simple.
    TANZANIA TUACHE ILIMBUKENI.

    ReplyDelete
  2. kuwa na tovuti pekee bado hamjaendesha timu kisasa kuna mambo mengi ya kufanya japo kwahili mnastahili pongezi kidogo ila kama alivyochangia mdau hapo juu tovuti na iwe ya kiswahili ili wachezaji wenu vihiyo nao waweze kuisoma na kuielewa,vilabu vingi vya tz havina viwanja vyao vya mazoezi mfano simba sports club je nyinyi mno uwanja wa mazoezi?na coach wenu anavyo vyeti vya ukocha ambavyo TFF wanahitaji kila coach awe na hadhi ya élimu hio ya soka na aonyeshe cheti,je wachezaji wenu wanayo mikataba,bima?inabidi wachezaji muwe mnawapeleka semina za soka wajue mwili unatakiwa utunzweje wa mwanamichezo,mambo ni mengi sana kwakweli jitahidini mtafika tu.

    ReplyDelete
  3. WE MZUSHI ACHA KUPITWA NA WAKATI.TUTAUZA VIPI WACHEZAJI WETU KAMA TUTAANDIKA KISWAHILI KAMA HUJUI KIINGEREZA TAFUTA MKALIMANI KWANZA WEWE SIO AGENT WA KUTUUZIA WACHEZAJI WETU.TUNAENDA NA WAKATI INABIDI USUPPORT SIO UCRUSH.
    MDAU WA PHILLY

    ReplyDelete
  4. Mithupu,

    Hebu weka msimamo wa Ligi ya Uingereza, naona mambo yameanza kunoga.

    ReplyDelete
  5. Hivi tovuti inasaidiaje kuinua kiwango cha mpira kwenye klabu? Nadhani tungekazania vitu vya msingi kuliko kudakia vitu ambavyo have nothing to do na mpira wetu ambao bado una changamoto nyingi sana. Achana na tovuti, internet connection zenyewe bongo matatizo. Wachezaji hoi hata email address hawana leo wanadakia tovuti?? Jamani mbona tunapoteza muda sana kwa vitu visivyo na umuhimu? Tuangalie vipau mbele. Hii ni sawa na wakati fulani wafadhili toka ulaya walipeleka computer na wireless internet connection kwa wanakijiji wa kijiji fulani Morogoro ili wawe wanawasiliana na wakulima walio Ulaya pamoja na kutafuta masoko ya mazao yao. Je was that the solution to their problems? Kwanza wananjaa, pili kijiji kizima standard seven halafu usefulness yake? Basi ndiyo hizi timu zetu kwanza zenyewe ziko hoi, pili hazina direction yeyote then leo tunaambiwa wana tovuti! Then so what!!!,
    Mdau

    ReplyDelete
  6. African Lyon asanteni kwa webu iliyo na taarifa zilizo jitosheleza kabisa, ambazo hatuwezi kuzipata ktk magazeti, TV au Radio.

    NawatakieniAfrican Lyon, Mtibwa na Azam muendelee na mikakati ya karne ya 21, maana wazee wazima Simba na Yanga yamewashinda.

    Mdau
    London.

    ReplyDelete
  7. nyinyi wadau munaochangia kama tofuli sio ya kiswhili,na munataka maandeleo ya kisoka ni lazima wachezaji wetu wakienda nje waongee hio english,munakazania kila wiki mara kuangalia English Primier league je pale panaongelewa kiswahli?wacheni ulimbukeni,munaweza tu kusema hawa wahusika wa African Lyon waongeze kuisanifu web yaokwa kuweka pia kiswahili,sio kukazania maneno ya uzushi,waambie kwanza hao yanga na simba wawe na tovuli japo ya lugha yoyote ndio muanze kujiongelea maneno yenu ya kizushi,na huyu mdau anae ongelea kuwa kuandika ktk website sio matendo,kama wameweza kuandika na kuwawacha watu duniani waone kukote walipo ni kuwa wapo na hili lengo la kufanya,na huwezi kafanya kitu bila malengo,sio malengo ya simba na yanga kwenye mdomo tu,na kuweka siri kwa viongozi ambao huwa mafisadi,Afikan lyon inaonekana kuona mbali ndio wameweka tovuli kwa English kwa vile leno lao lipo kimataifa,ila tu tunawaomba waipambe zaidi page yao kwa kuweka kiswahili ili wale maemuna nao waelewe, na wachezaji wetu maemuna wanaotaka kuja kucheza huku abroad inabidi wajifundishe kabisa english,hingera sana African lyon kazeni sana buti na naamini mutaweza kuchangia kiasi kikubwa mabadiliko sa soka la bongo,
    mdau-europer

    ReplyDelete
  8. Wow hii timu kweli ni mfano wa kuigwa, very well organized, average age ya timu nadhani ni 19 au 20 years na unaona timu ina mipango ni mikakati ya muda mrefu. I wish kipenzi change Simba ingekuwa kama hawa aisee. Goodluck Africa Lyon, naombewa muwe promoted ili kubwa nchini ziweze kujifunza kutoka kwenu!

    Mdau mpenzi wa soka la kibongo.

    ReplyDelete
  9. Liverpool will not win the Premier League title this season for one reason only - Rafael Benitez.

    The Spaniard appeared to have steered the Reds into a strong position for a serious challenge to champions Manchester United's throne following a ruthless 5-1 demolition of Newcastle at St James' Park in December.

    But then came 'Factgate', which saw Benitez launch a staggering attack on Sir Alex Ferguson, accusing the Red Devils gaffer of getting away with murder when it came to criticising officials.

    Opinion was divided on the Reds chief's outburst, with some claiming it needed to be said, but it's fair to say everyone was baffled by the timing of his blast - and it clearly stumped the Liverpool players, who had previously been receiving plaudits aplenty for their marauding, goal-laden football.

    Benitez's rant came ahead of a showdown with battling Stoke at the Britannia Stadium, and a team who had put three past Bolton and five past the Magpies suddenly looked a shadow of themselves and were held to a dour 0-0 draw.

    Liverpool have recently been boosted by the return to full fitness of Fernando Torres, but that has barely got a mention as the spotlight has remained firmly on Benitez following his shambolic handling of £20million signing Robbie Keane since his arrival on Merseyside.

    Liverpool fans must have been licking their lips at the prospect of Keane and Torres terrorising top-flight defences with their pace, verve and skill.

    But Irish star Keane, a proven Premier League goal-poacher who thrives on confidence, has had all his belief drained from him by his new boss.

    The Reds could arguably have their own 'Fantastic Four' under an attack-minded manager, who would surely try to integrate Gerrard, Riera, Keane and Torres into the same team - much in the way Ferguson fields the likes of Rooney, Tevez, Berbatov and Ronaldo if he has them all fully fit.

    With two of the best holding midfielders in world football on the club's books in Javier Mascherano and Xabi Alonso, this is not an outlandish proposal.

    But on Wednesday night, Torres played as a lone frontman with Keane once again twiddling his thumbs on the bench.

    This defensive tactic ultimately came home to roost as Steve Bruce's Latics earned a late penalty, which was coolly converted by Mido.

    That led to the frantic introduction of Keane, for Gerrard of all people, with six minutes left but it was too little, too late - and I'm sure a nice bottle of red wine was winging its way up to the JJB Stadium from Old Trafford.

    Liverpool have lost their way at exactly the wrong time, drawing their last three league games at a time when United have clicked into top gear and recorded six wins on the trot.

    Benitez will argue they're still serious contenders, especially if they beat second-placed Chelsea at Anfield this weekend.

    But until the Spaniard lets Keane off the leash and realises attack is the best form of defence in this division, he will never be crowned King of England.

    Table - January 28 2009

    Pos Team P W D Pts
    1 Manchester United 22 9 1 50
    2 Chelsea 23 6 4 48
    3 Liverpool 23 6 5 48
    4 Aston Villa 23 5 5 47
    5 Arsenal 23 7 2 42
    6 Everton 23 3 5 37
    7 Wigan Athletic 23 6 3 32
    8 West Ham United 23 6 1 32
    9 Manchester City 22 7 0 28
    10 Hull City 23 3 2 27
    11 Fulham 21 6 3 26
    12 Sunderland 23 4 2 26
    13 Tottenham Hotspur23 4 4 24
    14 Bolton Wanderers 23 3 2 24
    15 Portsmouth 22 4 2 24
    16 Newcastle United 23 4 4 23
    17 Blackburn Rovers 22 3 4 22
    18 Middlesbrough 23 3 4 21
    19 Stoke City 23 5 3 21
    20 West Bromwich Al 23 5 2 21

    ReplyDelete
  10. Liverpool will not win the Premier League title this season for one reason only - Rafael Benitez.

  11. ni mfano a kuingwa na vilabu vingi vya Bongo,

    nadhani hapo hawa jamaa wa african lyon wameweka wazi discussition forum, kwahio kwa wale wenye maoni yao hapo ndio kwa kutuma na ndipo ambapo wahusika watakuwa wanaelewa ni nini wapenzi wa maendeleo wanatak wafanyiwe,na ndio kuonyesha hawa jamaa wapo ktk modern na mabo yao,nawatakia kla la kheri african lyon f.c,
    mpenda mabadiliko ya soka-spain

    ReplyDelete
  12. khaa ivi nyie na iyo mipira ya liverpoor sijui nyooo zote,ivi mna nini??
    soka bongo safi sana chandimu weee afu basi
    na khabari ndo iyo
    hongereni sana vijana na team yenu,mbagala nakujua sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...