Since I am in the US to Document and witness the historic occasion of obama's JOURNEY TO PRESIDENCY,I would like to use this opportunities to meet the Tanzania Community in Washington.
I would like to talk to them about some many things including what this moment mean to them.
Do you guys in Washington have a Jumuiya ya watanzania?

Please Kindly get in Touch with me at
swahilidiaries@yahoo.co.uk
or tel no.
3018906952
Thank you
Ayoub mzee
www.ayoubmzee.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. ayub mzee,angalia lugha ya watu,ikiwezekana rudi ENGLISH refresher course

    ReplyDelete
  2. ungeanza na ubalozini kwanza

    ReplyDelete
  3. Mbona Kiingereza Kibovu .Kwa yeyote aliyeandika kwanini asitumie Kiswahili tu,kama ujumbe huo wamekusudiwa Watanzania ?

    ReplyDelete
  4. Sikutegemea "mwandishi maarufu" kama wewe usiwe na majibu ya maswali unayoyauliza bloguni humu.

    Welcome to DC!!!!

    ReplyDelete
  5. Huo ukisikia umbea ndo huo, we mambo ya obama yanawahusu nini jumuiya ya watanzania hapo, we endelea na shughuli zako na uwaulize wamarekani, sio sisi. Kama unajisikia upo bored na kuwa alone muda mwingi we sema unatafuta watanzania upate kupiga stori sio kuleta Obama, du siasa hadi kwnye nchi za watu.

    ReplyDelete
  6. Tatizo lako Ayoub ni moja, aghalabu unapenda kuwa story kuliko story unayoifanyia kazi au kuifuatilia.

    Kwa maana nyingine ni kwamba unafikiria zaidi kuhusu personality yako kabla ya habari au taarifa.

    Ninachokusifu ni kwamba una bidii ya kazi, na hiyo hakuna atakayekupokonya - muhimu punguza mbwembwe zisizokuwa na added value kwa pieces zako.Keep it up, though.

    ReplyDelete
  7. Ndugu zanguni Watanzania ambao pengine hamjatembelea Bongo miaka ya karibuni au mmeitembelea lakini mnapita mitaani harakaharaka, mtapigwa na bumbuazi kuona majina ya mitaa ya Dar ambayo yalikuwa yameandikwa kwa Kiswahili kv MT. MAKUGANYA, yamebadilishwa yote na kuandikwa kwa Kiinglish MAKUNGANYA STREET!!!! Mtaweza kuelewa kwa nini ndugu yetu Ayoub amejikuta akitafuta Watanzania waishio DC kwa kutumia Kiinglish. Hapo ndipo tulipofikia!!!! Maadui wetu wakubwa tulioibuka nao wakati wa uhuru: ujinga, maradhi, na umaskini, yameogezeka mara mia!!!!

    ReplyDelete
  8. Unaongea bushisim au? Hicho king'eng'e mwe!!!! Kiswahili kingekufaa sana hapa ila hiyo topic yenyewe unayotaka kuzungumza na watanzania mhhhhhhhhh!!!!!!

    ReplyDelete
  9. You still have a lot of days left jaribu kuwasiliana na Mwenyeketi wa jumuiya ya watanzania DC kuweza ku-organize such an event. It might be something new to a lot of people kwani watu wamezoea celebrities kutoka TZ either musicians or DJs ambao wanakuja kuburudisha watu. Also I think there is no such freedom of speach watu watakuwa wanaogopa kuzungumza hivyo watu hawataki kujulikana hivyo inapokuja to politics.

    ReplyDelete
  10. Ayoub, hao wanaotoa comments ndio Watanzania wetu bloguni. Kama hujawahi kuwa sehemu ya hii blog, utashangaa sana. Hakuna asiyejua kuwa unapoandika barua pepe (email) au tangazo kwenye blog, ni informal communication (mawasiliano yasiyo rasmi). Hivyo , hata uwezekano wa kusahihisha huwa mdogo. Na wepesi wa uelewa wa tofauti zilizopo kati ya media 2 (written & spoken) haiwapi shida wanaposoma ujumbe. Nasema hivi sababu hata mimi nimekosea mara nyingi tu. Na si kwasababu ya kutokijua Kiingereza, la! Ninafundisha communication skills katika lugha hiyo hiyo wanayoisemea wadau.

    Halafu kumbuka, si wengi wa Watanzania hupenda sana mtu afanye kitu fulani kizuri (kwa ajili yake au kwa wengine). Watanzania tuishio nje tuna mielekeo tofauti mno! Nimelijua hilo baada ya kuishi nao ughaibuni.

    ReplyDelete
  11. Wow! this is incredible, what English is that?

    ReplyDelete
  12. Michuzi,
    Wadau wako wanachomjadili huyu jamaa ni cha ujinga. Hapa USA kuna wazawa wa hapa badala ya kusema kwa mfano "he does not like" wanasema "he do not like". Na hao ni wamarekani humu humu ndani. Mbona wabongo waishio humu hawajawahi kuwasahihisha?

    Kitu wanacholalamikia Kiingereza cha Ayoub, hakina hata maana. Mimi nionavyo, amekosea sehemu moja tu "this opportunities" badala ya "this opportunity". Kitu ambacho inaonekana ni mtelezo wa kalamu. Kiingereza chake kinaonyesha wazi kabisa kuwa yuko fit. Tubishane kwa hoja. Anayejua kosa zaidi ya hilo aliweke mezani tulichambue. Wabongo bwana, wivu tu!

    Watu wa DC kama hawataki kumpa ushirikiano si mseme tu badala ya kujishaua. Yeye kaomba kuonana, nyie mnasema mara haiwahusu! Yeye alifikiri (kwa mawazo yangu) kuwa kabla hajapata maoni ya Wamarekani, pia anaweza kupata maelezo ya wabongo kuona mtazamo wao kama watu wa kuja. Michuzi una kazi sana kusoma hizi habari. Ungekuwa mwalimu ni kuchapa tu mitoto mitukutu kama hii!

    ReplyDelete
  13. Kwanza Ayubu Mzee ni nani? Ni mbunge wa TZ au journalist? Kama ni journalist unataka ku-document event ya kuapishwa Obama je umealikwa au umezamia? Kama amealikwa kwa nini uje mapema kiasi hicho? Hizo gharama za kukaa US kipindi hicho chote nani anazilipa? Au unataka ukutane na wa TZ wakusaidie kupata hifadhi kwa huo muda? Au unataka ukutane na watanzania waishio DC for what? Watu wako bussy huku na sio tu kuitisha kikao every time. Kama kila MTZ anayekuja US anaitisha kikao cha wa Tanzania si tutachoka? Nadhani wewe endelea tu na yaliyokuleta halafu timua zako rudi bongo. Mambo ya huku tuachie sisi.
    Mdau

    ReplyDelete
  14. mwandishi Ayoub,kama kuandika Kiingereza ungeandika hivi.
    As a journalist by professional,I have been here(in USA}since November 20 to reports and witnesses one of the crucial events in the modern African's and world's History where by minority Barack Obama was elected to be first-ever USA's president.
    Still im in DC and I know that there are tremendeous/plenty of Tanzanians in Dc surbubs.Please,if possible I want to meet with them to discuss some important issues regarding the potentialities of Obama's presidency and his legacies to Tanzania as well as what would be the benefit of tanzania as a counrty from that historic triumph.
    your passionate is highly appreciated and kindly I welcomes any ideas especially on how I would meet DC's tanzanians. My Email or my phone number is (unataja hapo?
    thanks and might sir God bless yaa all
    Nahisi ungeandika kifupi hivi kaka Ayoub tungekuelewa zaidi,ama andika tu kiswahili siku nyingine ambayo ni lugha etu

    ReplyDelete
  15. ha ha ha. Mdau wa 12:27 hii comedy au uko serious? Yaani umeanza na "As a journalist by professional" nikaona kuna kazi leo. It is supposed to be "As a journalist by profession". Your whole suggestion on what Ayoub should write is full of grammatical errors throughout and injection of words that do not flow if used in the piece. Tukikaa hapa kukusahisha itakua aibu, we might want to rewrite it all afresh. Lakini hili ndio tatizo kubwa sana kwa sisi wabongo, ujuaji. Tunadhani tunajua sana vitu lakini in all reality ni ubishi tu without any substance.

    ReplyDelete
  16. Watanzania ndivyo mlivyo mkikosolewa mnasema wivu kama raisi wenu mkapa au mnarusha ngumi kama Ole sendeka. Kwa mudau unayesema kiingerza hicho kina kosa moja tu ngoja nikupe mengine mawili ya haraka haraka,"...some many things...", "to meet the tanzania community" lugha sahihi hapa utasema tanzania community members, vinginevyo hawezi kukutana na community ambayo siyo halisi. Mbali ya lile kosa ulilosema la kiingereza cha daraa la pili tense ni tatizo kwake. "what this moment mean?!"
    halafu hii yakusema eti wazawa wanakosea kiingereza unahalalisha ujinga. Nyie ndio mnaosema ati TZ sio maskini kwa kujilinganisha na Burundi.
    Na kwako mdau unayesema eti huna muda wakuedit unaonyesha ulivyo mlipuaji wa mambo na kazi zako. utashindwa vipi kuedit mistari miwili au mitatu?

    ReplyDelete
  17. Wewe - January 12, 2009 12:27 PM: Anonymous

    Jamani, uliyejifanya kumsahihisha Ayoub, mbona umechemka zaidi? Kwanza hujaonyesha makosa yake. Mimi mwanzo nilionyesha kosa moja tu lake. Nalo ni 'this opportunities' badala ya 'this opportunity'. Sasa ngoja nikuoneshe mchemko wako uliyemsahihisha. Mie ni moderator ambaye nakubali makosa ya binadamu maeneo kama ya blog au email:

    1) As a journalist by professional = As a journalist by profession au, As a professional journalist.

    2) "to reports and witnesses" = to report and witness.

    3) 'modern African's and world's History' = modern African, and world history.

    4) "....... minority Barack Obama was elected to be first-ever USA's president"
    Una uhakika? He's only first ever president among the minority/black, but there have been presidents and, he's very peripheral on the list!

    5) "...... Tanzanians in DC surbubs". Huo ni uwongo. Wabongo wako katikati ya DC na pembeni mwa jiji pia.

    6) ".......benefit of tanzania as a counrty .......". = benefit to Tanzania as a country.

    7) "I welcomes any ideas...." = I welcome any ideas.

    UNATUONYESHA JINSI MNAVYOTOA KIBANZI WAKATI UNA BORITI JICHONI NA HUJIONI.

    Mdau - States.

    ReplyDelete
  18. Ayoub ni mwandishi wa kituo cha televisheni kinachorusha habari za watu wenye asili ya kiafrika kiitwacho BEN TV jijini London.

    Ayoub kituo chake cha kazi ni jijini London na mara nyingi tumemwona ktk TV akiwahoji watu toka kona zote za ulimwengu.

    Na hapa jijini London huwa tunagongana naye akiwa na zana zote za uandishi wa televisheni ktn maeneo Westminster Abbey, StAnn&StAgnes, ktk maonyesho ya zana za kisasa za eletroniki n.k n.k na ktk kazi yake lugha kuu na rasmi ni kiingereza.

    ReplyDelete
  19. hahaha! anony wa jan 12,12:27 unatoa kali! me nlifikiri unamsahihisha bwana Ayoub unajua kiingereza kumbe wewe ndo potelea mbali,cheki huu mstali "I have been here since nov 20 to REPORTS and WITNESSES one of the...,na unaposema "minority Barack Obama was elected to be first ever USA's president" unamaanisha nini!? me binafsi umenichefua sana manake umeonyesha ni jinsi gani ulivyo mtu wa kukurupuka!! Asante!!!

    ReplyDelete
  20. JUMUIYA YA WATZ DC IMEKUFA, RAIS WAKE KATIMUA BONGO FOR GOOD NA KATIBU ANAUGULIA ALITAKA KUJI DEDISHA DECEMBER 08

    ReplyDelete
  21. Watanzania sisi ni wajinga sana, kazi kupondeana tu. Ndiyo maana Mashaka siku hizi haandiki.

    ReplyDelete
  22. Ayoub nimeangalia blog yako hapa http://ayoubmzee.blogspot.com/ mbona ni picha nyingi bila maelezo, as a journalist you should write caption to every pix. Huwa tunapenda maendeleo ya mwenzetu lakini qualifications na experience are also important. Your blog and your stories need to be interesting ili uwavutie wasomaji. Obama alisema 'change' and 'hope' you will adjust for the better. John Kijiko

    ReplyDelete
  23. Huyo anony wa 12th Jan 2009@ 12:27 PM, ana aina ya uandikaji wa Kiingereza kama mdau mmoja hivi, na kwa hakika huyo ni Bibi Umeme.

    ReplyDelete
  24. DU wabeba mabox mna hasira..ok siyo kosa lenu unajua ukishabeba sana box afu ukakutana na mavi ya kizee basi balaa mbona...Jamaa yupo right tu tatizo hasira zenu za kukosa usingizi ndo mnaamshia kwa mshikaji...WADAU WA UGHAIBUNI VIPI NYIE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...