Wadau wa Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi ya Makumira Arusha wanaungana na waombolezaji wote kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki na wafiwa wote wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Ndugu Fanueli Sedika ambaye leo Maelfu ya wakazi wa mji wa Arusha wamejitojitokeza kuuaga mwili wake.
Hakika Sedekia alikuwa mtu wa watu.
Hakika Sedekia alikuwa mtu wa watu.
MOLA AIWEKE ROHO YAKE PAHALA PEMA PEPONI
AMINA
--
Picha kwa hisani ya Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
Faculty of Humanities and social science
+255 713 486 636
ARUSHA
TANZANIA
www.meshackmaganga.t4.com
http://www.makumira.ac.tz
meshackmaganga@gmail.com
--
Picha kwa hisani ya Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
Faculty of Humanities and social science
+255 713 486 636
ARUSHA
TANZANIA
www.meshackmaganga.t4.com
http://www.makumira.ac.tz
meshackmaganga@gmail.com
RIP my dear Fanuel!!!
ReplyDeleteThat's all i can say!! the rest God knows....!!!
RIP Fanuel, ntakukosa. Nimebarikiwa kupitia nimbo zako.
ReplyDeleteHakika Mungu apokee sifa na utukufu wote kwa jinsi ambavyo amelitukuza Jina lake kwenye mazishi ya mtumishi wake Fanuel Sedekia.
ReplyDeleteBwana Yesu azidi kuifariji familia ya marehemu,amina.
Mungu awape faraja kubwa wote hasa familia ya Fanuel Sedekia na wote ambao Mungu amekuwa akiwabariki kwa nyimbo za marehemu Fanuel.
ReplyDeleteFor about 10 years I have been always inspired by his annointed songs and forever I will.
RIP Fanuel. Loo kama ndoto.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la bwana libarikiwe.
(asante kwa picha ndugu wa Makumira)
Mdau, NL
Ndugu Sedekia alipendwa na watu sana ,uwanja ulijaa watu amabao sijauona kwa miaka ya karibuni hasa hapa Arusha kweli ameacha Historia ambayo inaishi.Mungu ametwaa jina lake libarikiwe.
ReplyDeleteMeshack Maganga
Tumaini ARUSHA
Hakika Sedekia alikuwa ni mtumishi wa Mungu kila kona ya Tanzania ilipata habari ila kwetu sisi ni somo je kesho utakuwa wapo na umefanya ninikatika kazi ya Bwana Bwana alito na bwana alitwaa Jina lake libarikiwe
ReplyDeleteTunamshukuru Mungu kwa maisha yako Fanuel,mwisho wako umetudhihirishia wazi kuwa kweli ulikuwa mtumishi wa Mungu aliye hai. Umetuachia pengo kubwa sana ambalo kamwe halitazibika. Japo umetuacha lakini Sauti yako ingali ikahubiri pamoja nasi. Tunaumia sana ila najua Bwana atafanya njia, HAKUNA JARIBU LISILO NA MLANGO WA KUTOKEA.
ReplyDeleteBWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE. AMEEN!
Tutakukumbuka daima kwani tunakumbuka jinsi gani tulivyoianza kazi ya uimbaji na galaton lako pale Mazengo Sec Dodoma,
Unakumbukwa sana na Kimaro, Baraka, Nehemia, Tina, Tuli, Flora na Bite,
Tunakaza Mwendo ili nasi tufike huko uliko tuendeleze ile Fellowship yetu.
R.I.P Fanuel
Kweli pengo ulilotuachia aliwezi kuzibika.Tutakukumbuka daima,nyimbo zako zinatufundisha na kutufariji sana
ReplyDeletePOLE KWA WANAFAMILIA WOTE NA WATANZANIA KWA UJUMLA,
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LITUKUZWE,
REST IN PEACE.
Ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu amelala, lakini Fauel Sedekia bado anahubiri! Jina la Bwana Lihimidiwe!
ReplyDeleteNi zaidi ya miaka 12 sasa lakini bado ni kama ndoto kuamini kwamba Fanuel hatuko naye tena. nyimbo zako zimeendelea kunibariki siku baada ya nyengine na nakuombea upumzike kwa amani mtumishi.
ReplyDelete