mkurugenzi wa club billicanas dk. lillian mbowe akiongea na waandishi wakati wa ufunguzi rasmi wa club billicanas usiku wa kuamkia leo. listi ya wadau waliofurika humo ilikuwa ni ya nani-ni-nani bongo na wengi walitoka wameridhika kwamba hatimaye bongo kuna klabu baabkubwa
mwansiti na tht walikuwepo kutumbuiza
marlaw naye alikuwepo kutoa vituzzz laivu



Mkuu umekuaje siku hizi? Huyo ni Ali Kiba kweli mkuu, nadhani ni Marlaw, au niko wrong wadau?
ReplyDeletembona wazee tu naona hapo,sioni watoto wa nguvu partyholics wa bongo
ReplyDeleteVyumba, vyumba Kaka!
ReplyDeleteInfomeshen ya vyumba na akomodeshen Kaka.
vyumba vyumba vyumba mmesikia hoteli hiyo,rudini nyumbani kwa wake zenu waasherati wakubwa nyie..kuendekeza ngono tu.kajilipue uwanja wa fisi,gesti za kumwaga usituletee shombo hapa mxii
ReplyDeleteamina yusuf
aka gal power
we annon wa January 08, 2009 9:39 AM kachukue miwani yako ya mbao haraka umeona wapi balozi akiandika alikiba uoni marlaw ebo
ReplyDeleteMpiga tumba ni wewe MICHUZI nini? Naona uko ndani ya Ze Fulanaz mpya. Mama Mbowe bado yumo kwelikweli. Ukumbi poa, hongera Mbowe. Ila ukiweza jenga gorofa hapo maana kuna nafasi juu kubwa tu inabaki wasi. Mdau, Sikonge.
ReplyDeletesio MWANSITI ni MWASITI mr michuzi vp ndugu. alaf club bilz watoto wanajaa sana inabidi waangalie hilo watu wazima tunahsindwa kula burudani kwa raha yetu
ReplyDeleteHamna kitu nachukia kama kwenda Club na kukumbana na hao watu wazima humo..!! Humo ilitakiwa kuwemo tunaochipukia..!! Na nyie wazee si mkalale na wake zenu jamani, mlikuwa wapi hizo 80s na early 90s? Humo ni kwa ajili ya wale waliozaliwa 80s to early 90s..
ReplyDeleteAnd another thing Michu..!! Is there age limit ya kuingia humo or do they check for IDs ama Ni kiwango chako tu cha pesa?
Libeneke la wazee sio humo jamani wafunguliwe zile Bar zao zenye Jukebox kwa wingi..
naona teenagers wanaona haya kucheza muziki na wakubwa wao. wapeni mature people sehemu zao ili na wao wajiburudishe. this is 21st century everyone wants to have fun.
ReplyDeletewewe unayesema waliozaliwa 80's na ealy 90's ndio waingie hiyo club ...hahahha...afadhali ungesema waliozaliwa 90's and up ndio walalamike...
ReplyDeletekama ulizaliwa miaka ya 80 wewe sio mtoto tena the youngest of our generation are soon to be 20 yrs so you can tell the rest of us are above 21 yrs old ..Usijifanye mdogo tena kua bwana au kwa vile uko bongo? Huku hatujihesabu sisi watoto tena.
website website website klabu kubwa kama hiyo inabidi ijiweke katika level ya kimataifa, hivyo basi inabidi ifahamike na kivi[i itafahamika inabaidi iwe na website izi watu wawe wanasafu na kujua nini kinajiri, bila ya web ni sawa sawa na hamna klabu inayoitwa Billicanas nchini Tanzania
ReplyDelete