


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inaonekana Club imependeza sasa na hadhi itarudi. Big up Free!
ReplyDeleteLaanatullah...Mwenyezi mungu tunakuomba toba...tafadhali utuhifadhi na hiyo laana ya kiibilisi!!!
ReplyDeleteWow! Ndani kumekua kuzuri lakini nje sijakupenda.
ReplyDeleteanasa ya mafisadi,wala hayatamnufaisha mlalahoi,'well said wewe anony wa 1:03 AM
ReplyDeleteBy the time natua bongo hii club itakua chakari manake sisi wabongo tuna desturi ya tumia mpaka chakari....bt am looking forward to a girls night out for one night only nikirudi,would love to see those changes its bn a while.
ReplyDeleteMdau
US.
hivi jamani ni mimi au nimezoea tu club zetu za huku da U S OF A mbona sioni lolote la kushtua or anything fantastic. kumbi ndio umefungwa mwaka mzima huu? tanzanians you have a long way to go nawaonea huruma,ngoja narudi kuwapostia link ya club 40/40 ya shawn carter aka jay-z ndio mshangae club club bwana
ReplyDeletefrom shkopa, NEW YORK CITY,NY
Looking gr8! Ni lazima nikitembelee nikirudi kwetu kwa mapumziko fulani. Yanikumbusha enzi hizo Bills ilikua ni moto mkali.Naona hata F2 ya jirani zetu haiingii hapa.
ReplyDeletewewe unayelaani i am sure unatenda madhambi mengi tu. kama wewe unaona clubs ni mahali pa shetani basi usiende huko. tuachie watu wenye kupenda raha tujiburudishe. hiyo club ni nzuri sanaaaaaa. HONGERA kwa watu wenye hiyo club.
ReplyDeleteSasa hii hotel vyumba vyake ni shilingi ngapi? na je kuna sehemu ya gymu? basi mimi nitaanza kuwa nakuja kupata walau break fast hapo naona pamependeza inaelekea itakuwa ni sehemu ya wazungu tu na mimi napendelea kujichanganya siku hizi
ReplyDeleteHichi ndicho tunachohitaji Tanzania, Watu Makini kwenye biashara wanazozijulia sio ubabaishaji ili mradi "Inalipa"...Well Done Freeman & Co.
ReplyDeleteTutakuja kuzitumia humo kwa kwenda mbele....
Huyu mwislamu mwenzangu hapo juu (1:03) naona ana siasa kali au anadhani Tanzania ni nchi ya Kiislamu. Hamna mtu anaemlazimisha aende Club na hana haki yoyote ya kuwalaani wanaopenda kwenda huko. Kama hapendi starehe ya Club au pombe, kuna nchi nyingi duniani anaweza kwenda kuishi kama Sudan na Saudi Arabia ambako hamna pombe wala mademu. Asituletee mambo ya Talibani nyumbani. Kila mmoja na Mungu wake.
ReplyDeleteUpuuzi mtupu kutangaza laana hiyo.
ReplyDeleteLooking good...inanitamanisha nikumbushie enzi zile wakat Much More was the place to meet
ReplyDeleteMmiliki wa Club hiyo ndiyo mnataka mpe nchi awe Rais?Si atahamisha danguro Ikulu!Rais wa nchi amiliki night club?Hahahaaa!sitoi kura yangu kwake!
ReplyDeleteKaka hapo wamesahau kitu kimoja tu nacho ni sehemu ya Strippers, mi huku club isiyokuwa na strippers siendi... Ze management hebu fanyia kazi maoni yangu haya na kabla ya Feb nikija huko nikute Strippers, ushauri wa bureeee kabisa
ReplyDeleteAcha ujinga anony 9:20 AM, huu ndo ujinga wa uswahili nani kakwambia rahisi haruhusiwi kwenda au kumiliki disco kama unafuatilia mambo ya kisiasa ulimwengu huu ikumbukwe kuliwahi tokea raisi wa Sychelles alikuwa kijana anayependa kwenda disco na at the same time uchumu ulikuwa una-skyrocket! upumbavu wa waislamu wenye itikadi kali wakampindua kwa kuleta mambo yao ya kidini! guess wat uchumi ukaporomoka! niambieni nchi moja yenye mrengo wa itikadi kali hapa duniani yenye maendeleo look at UAE hawa jamaa wameona madhara ya dini angalia walipo na mda unavyokwenda restrictions zitazidi kupungua sasa Dubai kuna kila kitu kuanzia bia mpk madanguro so is Bahrain and Oman at distance! Angalia Saudi Arabia na utajiri wote kuna sehemu hauruhusiwi kupiga picha kwa vile hali ya watu ni maskini wa kutupa! tuacheni itikadi hapa na mpango wa hawa ndugu zetu kuandamana kila siku kusiko na mpango hapo Dar sidhani kama ni kitu kizuri unakuza extremism naomba serikali iangalie kuna mambo ya maana ya kuandamana sio tu eti OIC watu wanaandamana hii nchi si ya waislamu pekee watu wapeleke majumbani kwaoi itikadi zao! Waache watu wale raha vaa hijabu zako unavyotaka babu na waache wa-Billicanas wale raha zao wanavyotaka!
ReplyDeleteBrother Michuzi eee,
ReplyDeleteNaungana na Mdau mmoja hapo juu aliyeulizia kuhusu VYUMBA hapo.
Vipi pana vyumba hapo? Na ni Bei gani per ningt?
Akitaka atengeneze Supa Profiti hapo AWEKE VYUMBA.
Si unajua hivi vitu vinaendana endana?
Kama vile ukitaja chai lazima utaje na sukari, Mboga na chumvi nk.
Nadhani Wadau wenzangu mmenielewa.
Tupe RATES mwanangu!
They gotta lose that eyesore bright orange on the outside, the inside is nice but lacks originality and creativity, hardly the work of a full years time.
ReplyDeletewe mdau wa US TO THE A HIYO 40/40 IM SURE UNAIONA KWENYE PICHA TU HUJAWAHI HATA KUNUSA BOX UBEBE SANGAPI MPAKA UENDE 40/40
ReplyDeleteHivi wewe Anony wa 3:09, mbona unaonyesha udhaifu mkubwa kwa kuikandia nchi yako na kujifanya mmarekani mweusi, eti unasema club zenu sema club za wamarekani. umeni let down sana naomba wasomaji wasije wakatuchukulia watu wote tulio hapa kwa watu tuna tabia kama zako hapa tumekuja kusoma na kutafuta vibarua na home tutarudi. Nahisi mwenzangu hufikirii kurudi nyumbani
ReplyDeleteMdau Texas
Fire exits zipo?
ReplyDeletehaha we mdau wa us of uzushi na ulimbukeni mbona unashindwa kuelewa tofauti kati ya usa na africa kuna mtu hapa kakueleza kua Bills ni kali kuliko club zote ulimwenguni au unajishebedua tu huna lakusema kutokana na hali halisi na nchi yako tz kuwa na club kama Bills usipime wewe upo us ukirudi Bongo jaribu kakaa Dar japo siku moja nenda kaione Bills utakubali nyie mkirudi bongo mnatimua vijijini kwenu hata Dar hamuijui ndo tatizo lenu kila kitu unajua ni us tu acha ulimbukeni ijue nchi yako kwa mazuri na ma baya sawa mie nipo mamtono na ninakata viwanja kila kona na nimeingia club nyingi mno lakini nikirudi Dar Bills naikubali ipo ktk internatinal standard ya Nite Club kataa au kubali kivako
ReplyDeleteMICH, the pix could look a little bit brighter and better kama ungeongeza mwanga kwa kutumia kifaauroro[software].
ReplyDeleteOtherwise, shukran kwa kutuonyesha klabu bora zaidi ya maraha ndani ya Bongo.
Anony wa jan 7,3:09a.m acha sifa za kijinga! hiyo club haina tofauti yoyote na club za huku US,tuambie nini kipo 40/40 hapo hakipo!? kama ukubwa umeshaingia billz mpya ukaiona ukubwa wake? we cha kufanya jitahidi ubebe mabox sana+ulinzi upate nauli ya kuja kuburudika nyumbani(TZ),na tunasubiri hizo picha zako wadau wajiionee,yawezekana hata kuingia hiyo club haujawahi,wahi ukauze duka bana!!! Asante!!!
ReplyDeleteBongo finally has a real niteclub!! huu uwe mfano kwa wengine..hapa ata elfu 50 entrance tutakuja tuu!!!!
ReplyDeleteTo the person Anonymous 3:09 who is compering US and TZ clubs has obviously got a lot to learn..dear Tanzania is in the third world category and for what there doing its a pretty big improvement and lets hope more to come with important public sectors. Club 40/40 is run by a person who has more money per year,than all the rich people of Tanzanians put together. STOP POSTING STUPID COMMENTS. Stop hating on the progress of Tanzania.I dont usually post comments put yours pissed me off and had to comment..Your not patriotic, lets hope they dont deport your *** back to TZ.You wont make it with that type of thinking.
ReplyDeleteREMEMBER WHERE YOU CAME FROM.
Mdau UK.
watu kwa kukatisha tamaa wenzao bana,ati wanafananisha club za bongo na US,
ReplyDeleteUshamba tuuu
big up to the owners
bongo tambarareeeeeeeeeeeeeee
This is tight man..!! Huyu jamaa aliyesema hata kiingilio kikiwa 50 bucks ataenda namsapoti and F%^& that mshamba wa reli who isn't patriotic..!! That's Tanzania, a 3rd world country,USA a 1st world country...! He can't even tell the difference of the two..!! 40/40 is owned by Jay Z (The Richest Rapper), somebody who sells 1 million copy a week when he's 40 yrs old kama ulikuwa hujui and Club Bills is under a Local successful guy who in order to reach Jay Z's height it'll take his business more than 20 years to do so..!! Sasa bloggers wenzangu kama huyu jamaa kashindwa kuona hilo unadhani huko USA anafanya kazi inayoleta any LOGIC to YOU? Maana huyu hata boksi habebi bali anatawaza vizee na machizi..!! SO MWACHENI KAMA ALIVYO SABABU UKIHANG NA MACHIZI NA WEWE UTAKUWA CHIZI NDIO YANAYOMKUMBA JAMAA HUYO>>!! Be patriotic wewe sio unapumbazwa na urefu wa magorofa ya New York..!!
ReplyDeleteMichuzi Usiitose hii comment please..!!
Huyo mdau aneyataka kufananisha club billicanas na club 40/40 ya jay-z inaonekana ni mshamba sana.Jay-z ana uwezo wakufadhil hata campaign za urais za vyama vyote vya siasa bongo hadi C.C.M.Kwanza inaonekana ata hamna lolote la maana analofanya huku kiwanja bora arudi bongo tu. Kwanza hata huku kiwanja kuna club kibao ambazo ni za kawaida tu ambazo billicanaz inazipiga bao. Kusema za kweli Mbowe kajitahidi sana kwanza ndo club ya kwanza bongo kufunguliwaga yenye hadhi ya kimataifa. Hii inatakiwa iwe mfano kwa matajiri wenye ela bongo wafanye mambo makubwa k.m hayo sio kuficha ela zao Bank. Big Up Freeman. lazima nitie maguu hapo nikirudi kabla wabongo hawajapachakaza.
ReplyDeletewewe mdau wa 01/07 5.33pm
ReplyDeletemost of rich people in tz have got turnover of more than $100m. Correct your Statement. JZ fame is going down so as is earning
hivi kwnini mtu akiponda anasa na pombe mnadhani ni muislamu tuuuuuu!!!!!!
ReplyDeletekwani huyo alieponda akiona kama mahovu ni muislamu? mbona kaandika kwa kiswahili au kaandika quran ?kitu gani kinachowafanya mdhani ni muislamu ndo aliepinga hapo juu?
kwani dini ya kikristo inaruhusu pombe au anasa? au dini zingine zinaunga mkono mambo ya ufirahoon?
na kuhusu owner hafai kuwa rahisi kisa ana club ni upumbavu kwani JK sio mtu wa kujichanganya au kujirusha?
nipeni jibu.
kama ni dini ya kislamu tu ndo inapinga mahovo kama pombe na clubing.na kama ndo hiyo tu! basi ninasilimu kuwa muislam sasa hivi,mana ndo itakuwa dini ya hakhi na ya kweli pekeeeeeeeee!!!!!!!!
we mdau wa Tarehe January 08, 2009 2:17 AM, kajifunze tena biashara, turn over sio faida.. sawa... jay-z ana hela kuliko matajiri wengi sana africa nzima sio bongo tu, jamaa soon anakuwa bilionea kama mamaa opra sawa... usimfananishe kabisa Rapper yule na washirikina wa bongo wenye kupata hela kwa kuua ndugu na jamaa na kuiba serekalini, hawalipi hata kodi, na wanaachiwa... EBO! hebu cheki forbes uone takwimu za msela yule...JIGGER aka HOVA aka YOUNG aka jay-z, aka King B....
ReplyDeleteWatu mnafagilia maclub badala ya kumuomba mbowe ajenge hospitali ya kulipa yenye vifaa vya kisasa na kuwalipa madr mishahara mizuri ili alifae taifa??! ama kweli tembea uone. HALAF KUNA MAFALA WANAZUNGUMZIA DINI YA MUNGU, Michuzi acha kupost comment zinazojenga chuki.
Klabu nyingine za usiku Singapore, Indonesia Jakarta zimejengwa kwa makuti na ni nzuri sana. Club zinategemea na mahali uliko. Si lazima ufananishe klabu za NYC; TX; au LA na zile za Moshi, Marangu au Dar. Hali ya hewa, watu n.k. vitatofuatisha ujenzi. Jamani tuheshimu tulikotoka - nyumbani ni nyumbani hata kukiwa na nyumba ya makuti ni nyumbani tuu hata kukiwa karibu na choo cha "kuchimba madawa" ni nyumbani tu.
ReplyDeleteJamani Kaka Michuzi Katupa kitu kinatwa ( kwa taarifa )FYI , We Mdau wa USA na 40/40 ndo maana ulifeli mtihani ukatimkia USA.Wapi MIchuzi kasema fafanua au linganisha ? SEMA kama mimi HAPA MAHALI NI PAZURI MNO .WAPENDA STAREHE KAZI KWENU
ReplyDelete@ 3:09 unayejifanya Huku US hivi na vile na 40/40 yako pumbafu kabisa. Nyie ndio nyie mlikuja juzi tu. Ungekua umeishi hapa muda mrefu ungejua kuapreciate your mother land...Mtumwa wa akili tu wewe.
ReplyDeleteSi ajabu hata NY city unaisikia tu. Njoo uishi hapa ndio utaona clubs zote sio usome hizo chache tu kwenye news.
Inanikumbusha tiger tiger ya cape town.Mdau wa US of A umechemka.....mwacha asili ni mtumwa.
ReplyDeleteSo far sooo good,hands down for freeman.
Proudly Tanzanian
Mdau wa US of A kachokoza nyuki.
ReplyDeleteBut really this guy must be the biggest idiot ever.Anaongea na nafsi ya kama yeye ni mmarekani....such a dummy hata hao wamarekani weusi they know where they do come from.
Huyu atakua wale wa kujilipua marekani he doesnt think outside the box....jamani waliofika US kwa kuzamia meli akili zao matope.
Atakua anafanya kazi za kusafisha metro kwa hiyo akili yake imekua kama gabagge.
wenzio wote tunafurahishwa na maendeleo ya nyumbani wewe tu unatuaibisha.
Moto ukiwaka watu watatoka vipi, kuna exit plan in case of fire?
ReplyDeleteparking lot ni ndogo sana. amejenga gereji ya kuweza kukidhi haja?
Sasa hivi issue kubwa kuhusu club ni namna gani watu watatoka speed ukitokea moto, jengo litalipwa na kampuni ya insurance, watu je?
Siendi club ovyo tna zile zenye crowds nazikwepa. Tha's me T.I.Waaahtever you like me gonna chase THEM papers ehe ehe wwwtever you like.
wabongo bwana..mimi ndio anony wa 3:09 KUBALINI KUKOSOLEWA nyinyi mnataka tusifie tu hata hamna cha kusifiwa.Ukweli unabaki pale pale, club hii nothing fantastic, kwa kweli sijaona kitu kilichonishtua.ni mawazo yangu na naomba yaheshimiwe. i am very patriotic na ndio maana ninakuja michuzi,kwani ningeweza kwenda hiphopworld au BET websites
ReplyDeletefrom shkopa,NEW YORK CITY,NY
lounge area: http://lv.the4040club.com/files/IGITP00017/272.jpg
ReplyDeletehttp://lv.the4040club.com/files/IGITP00017/270.jpg
http://z.about.com/d/hotels/1/0/T/G/2/jayz_bar.jpg
tv screen: http://z.about.com/d/hotels/1/0/S/G/2/jayz_screen.jpg
SASA CHEKINI HALAFU ACHENI UBISHI
http://www.thursdayclub.com/Pictures/4040club1.jpg
ReplyDeletehttp://www.dkimages.com/discover/previews/1250/10566077.JPG
chekini clubs za nje wapuuzi nyie,kabla ya kuanza kutukana tukana
Mpuuzi ni wewe,ina maana bills hujaona any changes unachoona wewe ni kucriticize tu of all the renovations made.Dont be silly,kubali kosa wewe.
ReplyDeleteNi mimi mdau toka Vegas.
Technology in Action. thats what I'm talking about.
ReplyDelete