Baada ya kuchengua wapenzi wa OLD SKUL huko ughaibuni, DJ Mkongwe BONNY LUV ameamua kuhamishia joint hiyo hapa hapa Dar katika kiota cha maraha cha Rainbow sehemu za Mbezi Beach karibu na hoteli ya Mediteraneo.


Hii imetokana na maombi na kiu ya wapenzi wengi wa OLD SKUL waliokuwa wakiserebuka pale La Tavern na kukosa pa kwenda baada ya huduma hiyo kusimama


Theme: ni OLD SKUL ("mambo ya maiko jekson njoo, siiitaaki, kama hutaki nenda.....")

Muda: Kuanzia saa Tatu usiku mpaka chwee,

Siku: Jumamosi hii na kila Jumamosi ijayo
Mchango: Bei poa 5,000/- tu umeingia
Maswali: Piga +255 713 255 401

DJ BONNY LUV anasema: "Just Come And Dance The Night Away"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hi Bonny Love

    Wow ...at the Rainbow in Mbezi Beach !!!.Thank you for doing this, so close to home. You have made it so simple for me. I will just need to crawl home afterwards. I will be a pious attendee. This is not a bunch of huis.. guys. I mean it.

    I am a lifetime fan of yours, from the days at Motel Agip. This is not a bean bag, Bonny Love music is serious stuff.

    Speaking of Motel Agip. Yeyote ajuae anaweza kunieleza kuna kisa gani pale? Mbona pamefungwa siku zote

    ReplyDelete
  2. Thanx Bonnie for bringing back music in DSM. I hope u still have same flavour!!!!!! can't wait to c saturday dancing

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...