Habari za kazi wanamtandao wenzangu.
Leo napenda kuwaarifu wasomaji wa website na blog zetu kwamba maswali yaliyokuwa yakiulizwa kwa waziri mkuu ya papo kwa hapo toka kwa wabunge na majibu yake leo yanapatikana katika website yetu
Wasomaji wanaweza kusikiliza kwa utulivu zaidi.
Dullonet Daima.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...