Habari Wakuu;
Nimeanzisha blog yenye nia ya kusaidia kiushauri, mawazo, au zaidi (kadri ya uwezo) kwa wenye kuhitaji msaada wa kisaikolojia/kimawazo. Lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika.
Nimeanzisha blog yenye nia ya kusaidia kiushauri, mawazo, au zaidi (kadri ya uwezo) kwa wenye kuhitaji msaada wa kisaikolojia/kimawazo. Lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika.
Natoa mchango wangu mdogo kwa wananchi kwani hatuna professional counselors wa kutosha Tanzania. In turn, napata experience ya field ninayosomea katika mazingira ya watu wangu, na kupata uhalisi na utofauti wa matatizo kati ya watu wa west na wa nyumbani ili niweze kuwatumikia kiufasaha baada ya masomo mwakani.
Natumai majibu na maoni ya maswali kutoka kwangu, na watoa maoni tofauti yatasaidia wengi zaidi ya wanaohusika moja kwa moja.
Natumai pia awareness ya mental health nchini tanzania, na interest na recognition ya field ya saikolojia itakua miongoni mwa wananchi na viongozi wa nchi.
We do have enough Educational psychologists in our colleges, but it is a wide spectrum field, my focus is on counseling people of all walks of life...not just students.
Asanteni.
Dr.Wannabe
Your questions to:-
wannabe.dr@gmail.com
web at
Asanteni.
Dr.Wannabe
Your questions to:-
wannabe.dr@gmail.com
web at
Kaka Michuzi hii ni habari njema mimi nampongeza sana ndugu yetu huyu kwani huu ni msaada ambao mimi binafsi nimekuwa nikiuhitaji sana na imekuwa taabu kuupata. Watanzania wengi sana tunaishi na msongo wa mawazo ambao unahitaji msaada wa kisaikolojia kuutibu, nafikiri hii ni tiba muafaka. Nimewahi kumpata dada mmoja Bahati ambaye sasa anafanya kipindi cha fema talk show, nilikuwa na matatizo dada huyu alinisaidia sana lkn nilipoteza simu yake na imekuwa ngumu sana kumpata hata nilipojaribu kumwandikia email sikuweza kupata majibu. Kweli namshukuru sana ndugu huyu aliekuja na idea hii itatuokoa baadhi yetu tutakao itumia vizuri.
ReplyDeleteHONGERA SANA.
Mdau
Asante mdau,umekuja na wazo zuri sana.Hope utasaidia watu wengi.Ngoja tuchungulie hizo link zako na tusambaze habari
ReplyDeletehongera sana mdau tena sana sana kupita kiasi.unakuja na kitu kinachokusaidia wewe na jamii.Mungu akubariki.
ReplyDelete