halloo brother michuzi,

kwanza nikupongeza kwa shughuli makini ya kutuhabarisha kwa habari za kitaifa na kimataifa.


Pili, kwa kupitia blog yako tukufu naomba unipeperushie blog yangu kwa wadau popote pale walipo, ili wapate vitu moto moto kwa kubonyeza
www.jbnetgrouptz.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. sasa wewe blog yako ni kwa ajili ya Obama tuu!!habari zote eleozimetawala Obama Obama!!!!nini wewe na blog yako ya upendeleo

    ReplyDelete
  2. kumbe obama mfupi ee

    ReplyDelete
  3. wewe unayesema obama ni mfupi unaona vizuri. for your information obama is six feet plus. obama is sleender tall and handsome. wengine mnapenda kupeleka comments za kufanya watu wabishane tu. i am sure unajua fika kuwa obama ni mrefu. wewe una urefu gani.

    ReplyDelete
  4. JAMANI JE KUNA MTU ANAYEJUA WHERE ABOUT YA RACHAEL TEMU

    ReplyDelete
  5. mr bakunda, nakutafuta sana kumbe uko moscow! du mkuu nimekukubali, nakumbuka tumesota wote kuanzia katubuka shule ya msingi, kigoma sec school na baadae kwiro high school(morogoro) kabla ya kwenda UDSM.nadhani umenikumbuka!
    kimsingi nimefurahi sana, kwani kupitia Blogu ya kaka michuzi , nimeweza kujua uko wapi.
    pili hongera sana kwa kutufungulia blog, ambayo ina kila kitu, breaking news za huko western and eastern europe, bila kusahau USA. na maswala yote ya schollarship ana vyuo pamoja na matukio ya moscow, kwani tunasikia tu kwenye habari kuhusu sakata la madent wa kibongo wanavyoendesha migomo dhidi ya ubalozi, nadhani sasa utatupa michapo tofauti kuhusu madenti na maisha ya kila siku huko moscow,
    mwisho, Mr chriss BAKUNDA. nakutakia maisha mema na masomo , na mungu Akubaliki, kwani inavyoelekea utakuwa Mkombozi wa Watanzania. karibu sana Tanzania,

    email yangu yohana@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  6. ni kweli kuna mijitu mishakunaku kweeeli kazi kuchokoa wadau tutukane humu bloguni afu michu abinye sms zetu,,,
    duh uyo baby girl kadogo ako mboni keusi vile afu mafuta vipi???kweli ana watoto wajaluo aswaaaaaaaaa bt uyo binti mkubwa aonekana "juu"uzungu-uzungu ata katika newz za luninga she s treated differently n she is different,,,
    obama is 6+tall,slender body,handsome?????umelala nae wee annon??
    michu pliz just kufahamu tu
    leo kaniacha HOIIII bin taabani

    ReplyDelete
  7. hata wewe unayejidai kumcheka mwenzio aliyesema kwamba obama ni mrefu mbona comments zako juu ya watoto wa obama ni very shallow. unaonekana elimu yako ni ya chini sana. pengine kazi za ABC zimekuzidi au mabox yamekwisha affect your brain.

    ReplyDelete
  8. watoto wa obama:
    uyo binti mkubwa hafanani na wamatumbi,binti mdogo mmatumbi aswaaa
    wewe sina kazi za mabox ntfute uone kazi yangu na skuli langu yan nakununua wewe na familia yako to the 2nd generation yako.
    jaman obama asipotuinua wa-East africa tunae tuuu

    ReplyDelete
  9. I am surprised that someone say he/she can buy people. People who have a lot of money do not brag. People like Bill Gates who earn more money in a year than our entire nation do not brag instead they spend a lot of money helping disadvantaged people. You say that you attend very good school, sorry your good school does not do good to you otherwise you would not spend so much time on trivia things. Smart poeple have no time for petty things. Grow up. Get a life.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...