TIMU YA TAIFA YA BARA KILIMANJARO STARS IMESHAPIGWA BAO 2-0 KABLA YA MAPUMIKO NA TIMU YA TAIFA YA KENYA HARAMBE STARS KATIKA NUSU FAINALI YA KWANZA YA KOMBE LA CHALENJI UWANJA WA NELSON MANDELA, KAMPALA.
HIVI SASA NI DAKIKA YA 43 NA KILI STARS WANASHAMBULIWA SANA
GOLI LA KWANZA LIMEFUNGWA DAKIKA YA 17 NA MCHEZAJI FRANCIS OUMA (ANAKUJA KUCHEZEA AZAM FC YA BONGO) BAADA YA KUMPIGA KANZU KIPA WA KILI STARS SHABANI DIHILE.
LA PILI LIMEFUNGWA DAKIKA TATU BAADAYA NA MIKE BARASA KWA KILICHOELEZWA KUWA UDHAIFU WA UKUTA NA MAKOSA YA KIPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...