40ft x 100ft Marquee with Decorations
Jungle Fever - Jump Jump


Circus - Colourful Bouncy Castle
Je, unahitaji Mahema, Viti, meza, bouncy castles, red carpet n.k kwa shughuli yako ama kufurahisha watoto? Basi usikonde. Watoa huduma hiyo tupo Dar es Salaam, Tanzania.

Mahema yetu ndio yanaongoza kwa uzuri na ubora; kama yalivyoonekana kwenye shows za Mbiliabeli, Fat Joe, Joe Thomas, Bongo Fiesta; na list inaendelea. Tena basi kwa bei poa na huduma nzuri.
Wasiliana nasi kupitia
Simu Namba:
+255 788 90 5001
+255 717 05 5071
Au ingia kwenye tovuti yetu
www.houseofglamourtz.com
House of Glamour means business
And we always Deliver!!
Or your money back!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wadau wa HoG,

    Itakuwa vema mkiweka bei basi kwenye hiyo website yenu.

    Najua mnaweza kusema "inategemea na shughuli yako" lakini at least estimates zinasaidia kumshawishi mtu awapigie simu.

    ReplyDelete
  2. Bei zote mbona zipo bobu, wewe umwekwenda website gani?? bofya kwenye offers and prices. Wana bei poa sana hawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...