Mwanamasumbwi Japhet Kasseba akionesha namna atakavyomfua hasimu wake De gregorio Cosimo kutoka nchini Italy. Pambano hilo la Kick boxing la kimataifa litafanyika neshno ya kale March 1, 2009. Mtanange huo utakuwa ni wa round 3

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mbese. Tunategemea ushindi mwingine.

    ReplyDelete
  2. NGUMI SIO 6PAC UMEJIKAKAMUA UJE UNYE BURE

    ReplyDelete
  3. Mbese hongera..make us proud..mshikaji wako wa Zanaki Dojo..long time

    ReplyDelete
  4. mbese,mbese,mbese kaka!!,hogera keep on doin what you doin best my bro,LOOOOONG TIME MZEE SENEGAL STREET -UPANGA!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. anza kufikiria na vitu vingine umri umeanza kwenda,usipoangalia utapigana mpaka uzeeni.Kwani sio nzuri kiafya kaka.
    Mdogo wako wa Upanga.

    ReplyDelete
  6. tafuta kitu mbadala pia,if u dont hv any ukifikia kikomo watakuacha solemba,,annon apo kasema,,,
    ngumi ni utumwa baadae,ingawa kazi ni kazi ilmradi ni halali kwa mwenyezi na sheria

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...