Salaam,
Tunakukaribisha
ambapo tovuti zote zinazohusuTANZANIA zinaandikishwa bure.
Wako,
Uongozi,
--------------------------------------------------------------
Dear Sir/Madam,We sincerely welcome you to
where websites concerningTANZANIA are listed and you can list yours for free.
Kindest Regards,
Team,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh ebwana Big up sana kwa kazi nzuri, mimi ni mtengeneza site kama nyinyi, nimeikubali idea yenu, site uko so user friendly, LOGO imeniacha hoi, utadhani ya lacal council yangu hapa... ebwana narudia tena...
    Kazi nzuri sanaa, Manaake Margins zimetulia, color coordination zimesimama, borders ziko sawa sawa,lakini nakukumbusheni tu kuna link moja haijaisha (latest articles) na pages zote za kwenye categories hazijaisha , namaanisha chini ya header kuna link margins tupu, na kwakweli haipendezi, najua mambo taratibu lakini do your homework vizuri mzee, wazo la bure, logo imekatishwa na header, na border ya logo inaonekana so ungeweka logo juu ya menu header hapo ungekuwa umemaliza kazi mtu wangu.... Another good Tz site kwa creativity na kazi ilioisha ni mwanakijiji.com..All the best and a very good idea. keep up the good work.
    One.


    Mdau UK

    NB: Should you need any help/support do not hasitate contacting me via Our "blog ya jamii", just post your interest under my comment.

    ReplyDelete
  2. Mzee tunashukuru sana kwanza kwa moyo uliotupa na pili kwa mawazo mazuri sana tuliyopata toka kwako, we really appreciate that.

    Logo tutaifanyia kazi na kwa suala la pages ambazo umesema hazijaisha, ndio kwanza tumemalizia imlementation and now we are starting debugging and re-design, so, tukiongeza contents everything will be ok.
    JAMBO LA MUHIMU NI KUA, YEYOTE ANAWEZA KUONGEZA CONTENT KWA KUSUBMIT WEBSITE LINK YAKE.... AU KU-SUBMIT ARTICLE (Hope bro michuzi utakua wa kwanza)PROVIDED THEY ARE CONCERNED ABOUT TANZANIA.

    ReplyDelete
  3. Webmaster wa Tanzania Yetu Site,
    Kwanza nakupa hongera sana kwa kufikiria kuanzia site yenye mambo ya msingi na muhimu sana khs Tanzania Yetu.

    Kwa kuanzia kaka, site ni bomba sana.Nakubaliana na Mdau wa UK kwa ushauri wake, na ninashukuru kwa uungwana wako wa kuupokea kwa mikono miwili.Naamini wapo wataalam wengi baadaye watatoa comments zao ni jinsi gani uweze kuiboresha website hiyo, ambyo kwakweli ni msaada mkubwa kwa watanzania.

    Mimi nimefungua site yako, nimejisajiri, lakini nimejaribu kutuma link ktk masuala la scholarship inagoma, sasa sijui mambo bado hajakamilika au la.Pia nimefungua pale ktk CONTACT nikakuandikia e-mail lakini nayo pia inagoma kwenda, sasa sijajua tatizo ni nini mkuu.Naomba uiangalie hilo, then tuanze kutuma links zaidi zenye msaada kwa watanzania wenzetu, na pia kuku-contact wewe moja kwa moja kupitia contact ktk site yako.

    Mchango wangu ktk site yako.
    Binafsi ninaomba uniruhusu kupitia blog webiste yako, upande wa elimu nimeona sehemu ya SCHOLARSHIPS. Mimi binafsi naamini scholarships ni njia rahisi ya kuweza kutufanya kuwa na elimu bora na ya juu kabisa bila wasiwasi, ukizingatia suala la elimu ya juu si kipaumbele kwa serikali yetu.Hivyo inabidi tuangalie vyanzo vya kuweza kusaidiana kupitia information mbalimbali za scholarship opportunties.Kama utaona inafaa, pitia blog site yangu www.makulilo.blogspot.com na pia uiweke ktk sehemu ya Education (SCHOLARSHIPS) kwani site yangu ni special kwa masuala hayo ya scholarships kwa watu wa dunia ya tatu/nchi zinazoendelea.Pia ingekuwa vizuri uwasiliane na DADA SUBI, blogger pia, www.nukta77.blogspot.com naye pia blog yake ni nzuri sana ktk masuala ya scholarships na ajira za kimataifa.E-mail yake inapatikana ktk blog yake pia, jitahidi uwasiliane naye, atakuwa ni wa msaada sana.

    Unweza wasiliana nami kwa anuani hizi
    E-Mails:
    ernest_makulilo@yahoo.com
    makulilo@marshall.edu
    Cellphone +1 304 633 0978

    Naamini utapata msaada zaidi kwa wadau wote wa blog ya jamii kuzidi kuiboresha website ya Tanzania Yetu kwa manufaa ya Taifa Letu la Tanzania.

    Salute kaka
    MAKULILO Jr,

    ReplyDelete
  4. Makulilo Jr,
    Kwanza nakupongeza kwa kazi yako nzuri sana unayoifanya, binafsi sikuwa nikiifahamu blog yako... Mzee naomba niseme ipo tite tena sns na ina mambo ambayo ni bora kwa watanzania na ulimwengu wa pili kwa ujumla. Hata mimi mwenyewe nimefaidika tayari kwa kupanua wigo wangu wa mawazo toka kwenye blog yako.

    Nashukuru kwa ushauri na nimeshawasiliana na DADA SUBI tayari.
    Link yako ilikua kwenye pending status na tayari nimeipitia na nimei-activate. Nadhani hapa umenielewa kwanini unapitia kwanza kwenye pending status.... Hii ni kwa sababu tunahitaji kuzuia mambo kama wtu kusubmit website za ngono na website zisizohusu tanzania! This brings the need of manual verifications of the submited links

    Ninalifanyia kazi suala la link ya CONTACT. meanwhile, napatikana kwenye contactus@tanzaniayetu.com au welcome@tanzaniayetu.com

    Wazo langu kuu ni kuiandaa tanzania kwa internet by the time cable ya baharini inafika bongo... I am really eager to see how tanzania will be as far as internet and communication is concerned wakati cable itafika bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...