Manchester United turned up the heat on Premier League leaders Liverpool and manager Rafael Benitez as they closed the gap at the top of the table with a convincing win against Chelsea at Old Trafford.
Read more from BBC Sport here



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. all man utd have to do is win their home games which includes arsenal,liverpool,spurs,porthmouth,man city,aston villa..etc
    we are now entering a very crusial time in PL..anyone can win it even aston villa!!(yeah i said it)..

    Ps-i'm a man utd fan

    ReplyDelete
  2. Mabingwa wa dunia, kwa ufupi Manutd ni mabingwa kweli na wanajua kushinda. Michu bwawa la maini hawatachukua ubingwa mwaka huu kombe lina wenyewe!

    ReplyDelete
  3. haya mdau ndio tunaanza ligi,kaeni mkao wa kula holaaa! mutd.

    ReplyDelete
  4. HIVI HUYU NI CHIZI GANI ANASEMA KIPOFU KAONA MWEZI???
    INGAWA MIMI SI MPENZI WA SOKA LAKINI NAJUA MAN UTD NI MABINGWA WA DUNIA KWA UPANDE WA KLABU. KWA HIYO NAOMBA UONDOE USHABIKI WAKO NA UBADILISHE KICHWA CHA HABARI HAPO, USITUDANGANYE NA SISI HUWA TUNAFUATILIA.

    ReplyDelete
  5. Pole sana anonymous wa 7:52am kwa kudanganywa na kichwa cha habari lakini huyo ndio michuzi maana ingekuwa ni LiverFOOL nadhani angeweka kicha cha habari kizuuuuuuuuri mno.
    ok,ukweli ni kwamba jana Chelsea alizidiwa kila idara,na mpira ni akili maana alijaza midfielder 4 za uhakika,Mikel,Deco,Ballack na Lampard lakini walishindwa kuwasumbua Mkongwe Giggs na dogo Fletcher ambao kwa hakika unaweza kusema ni combination mbovu ya miedfielder ya Man u.kosa hilo pia linamkumba sana Benitez kuacha mastriker wazuri bench kama Keane na Torres na kujaza mido matokeo yanakuwa droo,na sasa moto lazima uwawakie maana man u akishinda game zake za mkononi yuko juu,utampata na unajua zake asipoona mtu juu yake anazoom KOMBE tuuu hadi mwisho???

    ReplyDelete
  6. Mdau unayeuliza kuhusu kichwa cha habari,hiyo ni Kazi ya Michuzi,si unajua tena ushabiki wake?
    Huwa hatusemi mengi,mwenzenu kishanyolewa hivyo,....YOU KNOW WHAT TO DO!...

    ReplyDelete
  7. head line ilitakiwa isomwe mabingwa wadunia waigaragaza chelsii.na bado. benitez asingeongea. week end nzima mzee ferg ili cheza pele kilagazeti redio walikuwa wanaongelea benitezi na bwawa la maini wakasahau kuna united. hivo presha ikawa kwa pool istead ya united. mzee kiboko. na bado hajasema squick bam tight. akisema hivyo ndo kwa heri tutaonana mwezi wa tano

    ReplyDelete
  8. kaka michu a.k.a mkuu wa wilaya ya nanihii, najua wazi wewe ni mkereketwa wa bwawa la maini ila tupe respect yetu sio kutusanifu kuwa kipofu kaona mwezi wakati unalijua wazi kikombe kipo kwetu (UEFA & PL)na litabaki kwetu Tu!
    Sasa nani Kipofu, sisi (MAN U) au Nyie Liverpool washika Bendera Kileleni?

    Tubadilishie Kichwa cha habari

    ReplyDelete
  9. semeni yote lakini mdau wa kwanza kabisa kabla hujaanza kujinadi na ung'eng'e wako feki nenda kwanza kajifunze lugha ya wenyewe halafu ndio uendele na ushabiki wa mpira "crusial" haindikwi hivyo lbda hicho ni kigunya au kisegeju

    ReplyDelete
  10. BADILISHA TAFADHALI TUNA HAKI.....

    ReplyDelete
  11. haya mwenzenu ashanyolewa, bwawa la maini tieni nywele maji!

    ReplyDelete
  12. With MU you are always happy!!! teh teh teh, kaka B upo?, hii tunaita compasator of....

    ReplyDelete
  13. Quite frankly, what Rafa Benitez hoped to achieve with his list of facts on Friday is unclear. Maybe he thought that it would pressure match officials into giving 50-50 decisions against Manchester United for fear of looking like they were favouring the champions. Maybe he just thought that he had to say what everyone already knew - that Sir Alex Ferguson has too much power and influence in the game - but if that was the case, he certainly chose the worst possible time to air his grievances, and there's only one fact that matters for him now.
    That is that Manchester United have the opportunity to go top of the league - on level games - by the time Liverpool take to the field against neighbours Everton on Monday night. If, deep down, Benitez does regret anything that he said, it will probably be this part of his post-match interview at Stoke: "He is talking too much about Liverpool. He has to think about his own team, the problems they have and all the things they are doing." After failing to score against the Potters for the second time this season, perhaps the Liverpool manager should think about his own team, the problems they have and all the things they are doing, rather than talking about Manchester United?

    ReplyDelete
  14. Benitez naona sasa anajisikia kwenda Uwani maana mambo yameshaharibika

    ReplyDelete
  15. we michuzi tutaandamana sisi, hebu badilisha hiyo heading. Haiwezekani watu wanapiga soka la kufa mtu wewe unasema kipofu kaona mwezi. Hebu angalia ratings hapo

    Man Utd 3 Chelsea 0

    STAR MAN: Jonny Evans (Man Utd)

    MAN UTD: Van der Sar 6, Neville 8, Vidic 8, Evans 9, Evra 8 (O’Shea 7), Ronaldo 7, Fletcher 7, Giggs 8 (Carrick 6), Park 8, Berbatov 7, Rooney 8. Subs not used: Kuszczak, Anderson, Scholes, Welbeck, Tevez. Booked: Ronaldo, Rooney, Park.

    CHELSEA: Cech 5, Bosingwa 5 (Belletti 5), Carvalho 5, Terry 5, A Cole 5, Mikel 5, J Cole 5 (Di Santo 5), Lampard 6, Ballack 6, Deco 5 (Anelka 5), Drogba 4. Subs not used: Cudicini, Ivanovic, Ferreira, Kalou. Booked: Lampard, Bosingwa, Carvalho, Terry, Belletti.

    By Belas

    ReplyDelete
  16. Man u 4 life, acheni maneno machafu kipofu kauona mwezi ndo nini? kwani mbona mambo ya kawaida kwa man u au?

    ReplyDelete
  17. Michuzi acha unafiki,Kataa au kubali Man U wanatisha,yaani ha ha ha ha ha ha habari ndio hiyo,baba ataendelea kua baba tu.Wadau wa Man U tuendelee kufarahi,Cheerz.

    ReplyDelete
  18. hivi huyu evans na fletcha ndo nani? duh manuu kiboko

    ReplyDelete
  19. Watanzania bwana ndo maana hatutaendelea..kuna ubaya gani na English ya huyo mtoa maoni wa kwanza??..wewe Anon Jan 12th 1:07 ka unajua English si ungemjibu kwa English iyo iyo sio unaandika kiswahili af unajidai oooh umekosea..
    na unabahati ningeandika hii comment kwa ngeli sema naona hutaelewa saana ka nkiandika kwa kiswahili..
    mwenzako anazidi kuendelea wewe unabaki kukosoa tu..utabaki hivo hivo tu shauri yako na kingereza chako cha 'how are you?i'm fine'

    ReplyDelete
  20. Agekuwa joti angesema laiiniiiiiiiiiii kawa wananawa vile but maji sio ole maana yenu vijana wa sikuhizi man u juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...