Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu Ki-mouse ananimaliza mno!
    Eti mzee mzima anadai vipi?
    Hii kali.

    ReplyDelete
  2. Kp au jina kamili Ali Masoud wewe ni muislam acha kuupakazia uislam na mashehe kua kazi yao ni kurogea hawa vigogo. uislam unakemea uchawi wa aina yeyeote na wewe unatakiwa ujue hilo na kulikemea.

    ReplyDelete
  3. KP ANANIKUMBUSHA WAKATI VIONGOZI WA DINI WALIPOKUWA WAKIWALAANI WALIOFICHUA UFISADI KWA MADAI KUWA ETI NENO UFISADI NI TUSI! LEO HII NA WANALITAMKA! SADAKA KWELI HUONDOA HAKI, UKIIPOKEA BASI LAZIMA UMLINDE ALIYEKUPA.

    ReplyDelete
  4. anonymous

    mngekuwa mnafuatilia ungeelewa kp anazungumzia nn? Sio suala la udini mtaalamu fulani wa nyota alimtabiria ndg yetu huyo kuwa atapata nafasi kubwa itakayo kuza jina lake kwa mwaka huu. Sasa ndg huyo ndio anadai hajapata huo ujumbe mtaalam arudie tena.

    ReplyDelete
  5. Ila Still Huyo anayemsema angesema kwan jia nyengine sababu si sheikh mkuu unayesema anatabiri nyota kaka. we sema tu ni Sheikh Yahya na si sheikh mkuu na si sheikh sababu anatabiri zambi si suala la kidini ila kashaweka udini tayari kusema sheikh mkuu. yule Yahya anayoyafanya nikinyume na dini zambi. Kipanya kuwamwangalifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...