mdau fundi ramadhani anapiga konozzz katika kutambulisha globu yake akiwa newala. ujumbe wake ni kama ifuatavyo:Kaka Michuzi,
Nami nimetinga kwenye mambo ya blogu karibu mwezi wa tatu sasa. Tangazia jamii watembelee:
Akhsante!!
---------------------------------------
Mdau karibu sana kwenye libeneke.
Hii inatia moyo maana wanalibeneke tukiwa wengi na libeneke litanoga. natoa wito kwa wadau zaidi wajitokeze kunzisha libeneke ili tupate kila aina ya vituzzz na majambozzz
-michuzi


Sijui nikupe hongera au nikuonee huruma..blog yako nimeitembelea na ningependa kukushauri yafuatayo..
ReplyDelete1. Pangilia vizuri mtukio na picha, maelezo hayajitoshelezi.
2. Blogging ni kazi kubwa kuliko tunavyodhani, so umejiandaaje? utadumu kwa muda gani? (waswahili walisema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi)
3. Sina uhakika na rangi uliyotumia kwani mimi binafsi haijanivutia, iko so sharp.... nadhani ungetumia rangi nyepesi kwa background ingekuwa safi zaidi.
4. Una muda unaozidi miezi miwili nadhani na sijaona hata mtu mmoja amecomment.. usikate tamaa kama ni kitu unachopenda... do it for yourself na sio kwa wasomaji japo angalia usiwaathiri kwa kuwa mmimi na mwenye kujiangalia wewe zaidi..
5. Blog yako haina mpangilio, pichas, videos, rangis, kifupi tazama za wenzio ujirekebishe..
Ni hayo tu.
Kila la kheri.
NB: kabla sijasahau na lazima niseme kwani ndio ukweli, SIO KILA MTU NI MICHUZI. sasa wanablogu wote jiulizeni inakuwaje anapata hits more than you guys.. nadhani hits za michuzi ni sawa na idadi ya hits za blog zote za kibongo.
u stil have to work hard,because ur blog is borin at the moment,but congrats
ReplyDeleteUncle Fundi,well done,bravisimo,muito ben.watakiwa watu kama wewe for our country bongoland,heri ya mwaka mpya bro
ReplyDeleteDuh-wabongo mungu ametujalia. sasa unaliona hilo tabasamu la huyo mama. wazungu wanaonekana kichekesho. Mzee nitatembelea blog yako lakini vitu vizuri kula na ndugu zako kama huyo shemeji.nipe namba yake tafadhali.
ReplyDeletebro michuzi ,sio kila mmea ni chakula, comentary ya kwanza ni nzuri sana,kama mwenye glob anamasikio na asikie.RAMADHAN FUNDI, HAINA haja ya kuingiza mambo ya dini na unazi wako ktk glob unayotaka iwe ya wote, maajabu 7 ya wakristu. upuuzi mtupu.
ReplyDeletekuwa jamaica au marekani sio kujua kila kitu,nakushauri uachane na glob hiyo,jiunge nasi kusoma za waliojiandaa. kama ni glob ya kutangaza familia yako ,endelea.
KAKA MICHUZI WEWE SASA HIVI NI THE FATHER OF BLOGS IN TANZANIA . I DONT LIKE BLOG BUT NOW ADAYS MY BLACKBERRRY IS JUST MICHU WATCH . HIZO COMPETITION ZIKARIBISHE HII NI GIFT MUNGU AMEKUPA BLOG YAKO SIO MCHEZO ILA SISI TULIOPO HUKU MAREKANI TUONYESHE MAMBO YA KWELI MAISHA HUKO . OTHERWISE YOU THE TANZANIAN TMZ .
ReplyDeleteMTOTO WA FISADI
Wewe mtoto wa fisadi sa ndio nini kujisifia. Au unadhani sifa kuwa MWIZI wa fedha za WAVUJA JASHO.
ReplyDeleteKoma kujisifu ulitakiwa ku-comment tu. Pambaf
Mh.Balozi
ReplyDeleteTunashukuru issamichuzi.blogspot. com kwa kazi nzuri 'kuhabarisha' yale ya Tanzania ambayo hayapati nafasi ktk vyombo rasmi vilivyo zoeleka Bongo kama Radio/magazeti na TV.
Kuhusu muungwana FundirKombo.blogu ushauri wa nyongeza baada ya wadau kutoa maoni yao hapo juu, yangu ni:
* Fundirkombo Blogu kuwa blogu ya kutuhabarisha yale ambayo hayapo ktk CNN/NBC n.k kama vile suala linalokuja la Raisi Mteule Obama kuapishwa, tupe yale ambayo hayapo ktk vyombo rasmi nilivyovitaja hapo juu.
* kuwahoji na kuwafuatilia wasanii wa TZ waliopo huko USA kama Innocent Galinoma, Babu Jaju Kajumulo n.k,wasomi wanaoishi huko kama Prof.Mbele,Watu wa afrika mashariki walioanzisha biashara/ makampuni huko USA na n.k n.k. kwa hakika hao pia hawapati nafasi ktk VOA.com/CNN/NBC/newsweek/times
Mdau
Rocky
London
Maajabu saba ya ukristu?
ReplyDeletePlease ongezea unaweza watukana na wanakaa tu kimya badala ya kukuwekea fatwa ya kifo.
blog haina hata wiki tayari anarusha vijembe vya UDINI.
ReplyDeleteLingine ukiwapiga kofi shavu la kushoto wanakupa shavu la kuria umalizie
ReplyDeleteWanajenga mashule na mahospitali kwa jasho lao wenyewe wala halii lii hali kwa serikarikali wala nini, halafu serikali inanyang'anya kuzifanya za umma, lakini wakristu wapo kimya wala haandamani wala nini, wanamwachia yote Mungu.
ReplyDeleteOoops! Dead on Arrival!
ReplyDeleteNimepitia kwenye Blogu ya huyo ndugu yetu na kuona upuuuuuuzi! anaingiza udini..Maajabu saba ya wakristu?? Pia imejaa mambo ya familia yake.. Ajifunze toka kwa Bwana Michuzi mtu wa watu..Namuunga mkono mdau aliyesema bahati ya mtu usilalie mlango nje....
ReplyDeletekaka michu muongo wewe. unavunga unampigia debe huku kimoyomoyo unaona anakuletea kiwingu. hata hivyo hawa mablogist wengine njaa kali.
ReplyDeleteana-win attention na kutuwekea picha alizopiga na wazungu hehehe tumuogope sijui?huyu atakuwa akituwekea habari za familia yake tu sijui anataka ubunge huyu?
ReplyDeletejamani,
ReplyDeleteunajua watu wanaupenda sana hii dini ni basi tu wanashidnwa watawaambia nini ndugu zzzao,bt karibuni jaman msiwe na hofu yan mtakua watu wapoleeee no kisasi yan unasamehe saba mara sabini.poa tu uyu jamaa aweke udini mana hana jipya bado.
afu wee michu acha uchochezi oooohooooo
umetuangusha mzee ongea kila kitu lakini mchezo na dini achananao!!!
ReplyDeletefundi kombo mbona unaweka picha bila idhini yetu? naona umejiwekea tu picha na unajua kabisa these days nobody anataka aonekane kwenye blods since kuna hayo mambo ya kuiba picha na kuchafuliana. Tafadhaili sana nakuomba utoe picha zote ulizoweka bila ya kuwaomba wahusika. its not fair.
ReplyDeleteyou can not just use other people's faces like that.
please put your own pictures otherwise waombe watu wakutumie kwa idhini yao wenyewe.
tabia ya kwenda kwenye events and take pictures halafu uzibandike si nzuri.
im sorry, but pleaseeeee take the pictures za watu usiowajua kwenye your blog.
asante
huyu kaka kaniweka kwenye one of the pictures without my consent. wahst up with that? kama hujui watu kindly remove their pictures asap.
ReplyDeleteHebu acheni ushamba ninyi Watindiga... Jamaa (Fundi Kombo) keshaomba msamaha yaliyopita si ndwele tugange yajayo sasa mnataka nini, roho yake? Halafu mnataka muombwe ruhusa, mbona picha poa tu hizo au mnajiona muhimu sana? Hebu acheni kuleta za kuleta Mshirika ndio anaanza mpeni muda hata mtoto huanza na kutambaa. BTW, simjui jamaa lakini naona washikaji mtaua mkiendelea hivyo..
ReplyDeleteKheri ya Mwaka Mpya kwa wadau wa Globu ya jamii.
Mdau, Boston, US.