MMILIKI WA KIWANDA CHA TOYOTA JAPANI WATANABE NA MAI WAIFU WAKE WAKIOTESHA MTI WAKATI WA SIKU KUPANDA MITI DUNIANI HUKO A-TAUN MAJUZI MD KIPEPEO TOURS NA MD TOYOTA JAPAN HIROYUKI WATANABE

PICHA YA PAMOJA TIMU YA WAKUU WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MAGARI YA TOYOTA TOKA JAPAN WAKIWA NA MD WA KIPEPEO TOURS WA KWANZA KULIA WAKIWA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA. WAKUU HAO WALISHANGAA SANA KUONA MAGARI YAO YA TOYOTA KUTAWALA MBUGA NZIMA HUKU WAKIJIPONGEZA KWA KAZI NZURI



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. asante kwa habari hii.......
    lakini sio mmiliki, ni rais na mkurugenzi mkuu wa Toyota.......Toyota is not owned by a single person! its a public owned company.........with a lot people having shares and stuffs like that.

    ReplyDelete
  2. DU JAMAA LA KIPEPEO UNATESA TU KIJANA NAONA HAPO UMEOGOPA HATA KUMSHIKA MKONO MD WA TOYOTA JINSI ROHO INADUNDA KUWA NA WATU WAZITO HAHAHA, BALLY HONGERA SANA BRO WAZAWA MSIJALI MTATOKA TU KAZA BUTI BABA.

    MPEN...
    LONG BEACH-CALIFORNIA

    ReplyDelete
  3. Haya mfurukutwa kwenye net hapa tumesearch Toyota sio kampuni ya umma kama vile ilivyokuwa kampuni ya mabasi ya kamata au uda huko bongo enzi hizo,huyo bwana jamaa yuko nae ndio mkuu mwenyewe aliyoanzisha hiyo kampuni akawauzia share wengine ila yeye ndio mwenyewe mwenye mbwa leo kazi kwenu, ila kama kuosha jamaa kaosha tukubalini jamani wadau.

    Stive- c

    ReplyDelete
  4. Nimegundua kwa nini waswahili wengi waliopo ugaibuni wanaishia kubeba maboksi na kuchambisha wazee. Uvivu wa kufikiri na kufanya uchunguzi. Nenda google Kiichiro Toyoda ndio mwanzilishi wa Toyota. Huyo Watanabe ni mmoja kati ya maafisa wa ngazi za juu kwenye kampuni. Toyota ni kampuni inayouza hisa zake zinauzwa Tokyo stock Exchange na NY stock exchange. Mfanye uchunguzi kabla ya kuandika utumbo wenu.
    Samahani kwa lugha lakini hii ndio hali halisi.

    ReplyDelete
  5. MICHUZI WATU WAELEWE HASA WALIO HUKO NYUMBANI KWAMBA PUBLIC OWNED COMPANY HAINA MAANA YA UMMA KAMA WADAU WALIVYOMCHARURA JAMAA WA JUU KABISA AMBAYE YUKO SAHIHI.

    KWA WALE WALIOSOMA NONDOZZ ZA FINANCE, BANKING, BUSINESS LAW, SECURITIES AND INVESTMENT WATAELEWE KAMWE HAINA MAANA YA UMMA KAMA TANZANIA TULIVYOZOEA.

    PUBLIC OWNED COMPANY NI KAMPUNI AMBAYO IMEKUWA LISTED KWENYE STOCK/CAPITAL MARKET NA WATU WANARUHUSIWA KUNUNUA HISA HUKO NA IKISHAFIKIA HIVYO HATA KAMA HIYO KAMPUNI ULIANZISHA WEWE SI YAKO TENA NI YA PUBLIC WEWE UTAKUWA MWENYE HISA/MBIA KAMA WALIVYO WENYE HISA WENGINE, KWA MANTIKI HIYO HUYU BWANA SI KAMPUNI YAKE NI MMOJA WA WAMILIKI KAMA WALE WENGINE WALIO NA HISA, HIVYO MDAU WA HAPO JUU KABISA NAMBA MOJA YUKO SAHIHI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA KUSEMA HUYU BWANA SI KAMPUNI YAKE TENA HATA KAMA ALIANZISHA YEYE.

    KWANZA KATI YA ZA KU-LIST KAMPUNI KWENYE STOCK/CAPITAL MARKET INATAKIWA IWE YA PUBLIC SI YA MTU NA FAMILIA YAKE HAIRUHUSIWI , KAMA VILE MENGI HAPO NYUMBANI HARUHUSIWI KUI-FLOAT KAMPUNI YAKE KWENYE SOKO LA HISA MPAKA AIBADILISHE IWE YA WANAHISA WENGI/PUBLIC, NA KUNA KIWANGO CHAKE CHA MTAJI UKIFIKIA HAPO NDO UNARUHUSIWA KUI-LIST KAMPUNI KWENYE STOCK EXCHANGE.

    JAMANI MTUMIENI VIZURI HUYU PREFESSOR GOOGLE.COM SI KAMA HIVYO MNAVYOMTUMIA, HATA MICROSOFT SI YA BILL GATE PAMOJA NA KUWA NI MWANZILISHI IT IS A PUBLIC COMPANY SEMA YEYE ANAWEZA KUWA NA HISA KUBWA KULIKO WENGINE KWA VILE INAWEZEKANA WAKATI ANA-GO PUBLIC ANAWEZA AKAWA ALIPELEKA SOKONI 50% YA SHARES NA 50% AKABAKI NAZO YEYE, THAT IS HOW IT WORKS.

    TOYOTA YENYEWE IMEFUNGWA KWA SIKU KUMI NA MOJA KUTAFAKARI WORLD CREDIT CRUNCH, VIWANDA VYOTE VYA TOYOTA JAPANI VIMEFUNGWA KWA 11 DAYS FROM YESTERDAY, VIKO 250, HALI NI MBAYA WATU HAWANUNUWI MAGARI KAMA CHAKULA TENA,

    MWISHO HATA HIVYO UDA NA KAMATA HAZIKUWA PUBLIC COMPANY ZILIKUWA PARASTATAL FIRMS, WATU WALI-COIN PUBLIC FIRMS KWA VILE ZILIKUWA ZA SERIKALI, NA WAPI SERIKALI INAPATA PESA SI KUTOKA KODI TUNAZOLIPA BASI WATU WAKASEMA NI KAMPUNI ZETU TUNA SHARES KWA VILE TUNALIPA KODI, BUT THEY WERE NOT PUBLIC COMPANIES PERSE.

    ReplyDelete
  6. LaMbegu WEWE NDO KIHIYO KABISA NA MVIVU WA KUFIKIRI NA UTAENDELEA KUSAGA LAMI HUKO BONGO HADI SOLE ZA VIATU VYAKO VITOBOKE NA VIROBOTO VIKISHAMBULIE, HUJUWI LOLOTE JUU YA MASWALA YA KAMPUNI NA HISA KWENYE MASOKO YA MTAJI, HUWEZI KU-LIST KAMPUNI BINAFSI KWENYE SOKO LA HIZA HADI IWE YA PUBLIC NA PUBLIC MAANA YAKE SI UMMA KAMA TULIVYOZOEA TANZANIA KUITA UDA, KAMATA NA NYINGINEZO PUBLIC COMPANY SI SAHIHI NA WALA HAZIKUWA PUBLIC COMPANY, ZILIKUWA PARASTATAL FIRMS, PUBLIC NI KAMPUNI ILIYOJIORODHESHA KWENYE SOKO LA HISA NA INATAKIWA IMILIKIWE NA WATU WENGI SI FAMILIA TU WALE WENYE NONDOZZ ZA BUSINESS LAW, BANKING, FINANCE, SECURITIES AND INVESTMENT WATAUNGANA NAMI NI SOMO REFU NA KUBWA KWA LEONAISHIA HAPO, KAMA KITU HUJUWI USIKIMBILIE KUMUULIZA PREFESSOR GOOGLE.COM UKASOMA MSTARI MMOJA TU NA KU-CONCULUDE. SHAME ON YOU NA HASHIFA ZAKO

    ReplyDelete
  7. Balthazar is a hardworking young man and very humble. The recipe of success. Hapo ni mwanzo utaenda mbali. Hongera sana.

    ReplyDelete
  8. I should repeat what I've previously said. Toyota is a public owned company. Public company offers their shares in the stock market. The dispute was Toyota isnt a family business and I had made it clear. Again no wonder most of TZ abroad does manual labor because they lack thinking ability. FYI I've been living abrouad for the past 20yrs. I know what public company means you moron. I'm doubting if you even graduated from Form IV. You need to not only read but also understand what was written you idiot.

    ReplyDelete
  9. Nyie nyote mnaojifanya mnajua, nyote hakuna kitu mnajua as long kwamba huyu jamaa anamiliki more than 50% of the share na pia ni among the family walioanzisha Toyota jamaa ana haki ya kusema ni mmiliki wa kampuni ya Toyota kwa hio msituletee ujuaji wenu eti kwa sababu tu mpo marekani basi mnajua kila kitu nendeni huko mkabebe boksi

    ReplyDelete
  10. Hata kama ni public company mwenye controlling (read majority) shares (more than 51%) ndie anaechukuliwa kama owner. Kama tunavyomwita Bill Gates kama owner wa microsoft

    ReplyDelete
  11. kuwa na 51% huwezi kusema kampuni ni yako, ulichokuwa nacho ni uwezo mkubwa wa kura katika maswala ya kampuni inapofikia kupiga kura, ili, ili kampuni iwe yako unatakiwa uwe na hisa zaidi ya aslimia 80% na unaweza kununua hisa zilizobaki kwa nguvu na kuitoa kampuni from the market, hiyo inakubalika kisheria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...