Mwili wa aliyekuwa Mhariri wa HabariLeo, Cassian Malima (44), utaagwa leo na kusafirishwa kesho kwa mazishi mkoani Mara, imefahamika.
Kwa mujibu wa mdogo wa marehemu, Emmanuel Malima, Cassian, ambaye alifariki dunia juzi katika hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam, ataagwa nyumbani kwake Savannah, Tabata Mawenzi, kesho kuanzia saa 5 asubuhi.
Alisema baada ya shughuli hizo, mwili huo utapelekwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kusafirishwa Jumanne kwenda Musoma, ambako atazikwa Jumatano.
Rest IN Peace. Amen
ReplyDeleteSteveD.
Bwana ametoa, bwana amechukua, tunakuombea upumzike kwa amani,- Mate wako wa Urusi.
ReplyDeleteRest in peace my friend, I will truly miss you.
ReplyDeleteAmen