Boss wa masoko wa kampuni ya bia TBL kupitia kinywaji cha Kilimanjaro Premeum Lager George Kavishe akimkabidhi mshindi wa kwanza Vivian Stephen mkwanja taslim 1600,000,hukuwa muwakilishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)Bw.Omari Mayanja,Mratibu Mkurugenzi wa shindano hilo Bw.Justin Jones pamoja na muwakilishi kutoka Golden Touch Hair&Beauty Bi.Dora Bananuka wakishuhudia live
Washiriki wa shindano la malikia wa Sebene Ngwasuma wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja leo asubuhi kwenye ukumbi wa Meeda Bar mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao kutoka kwa mdhamini mkuu wa shindano hilo kampuni ya bia TBL kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro premium lager. Shindano hilo liliandaliwa na kampuni ya Tanvisions Ltd.Katika shindano hilo jumla ya washiriki walikuwa kumi ambapo mshindi wa kwanza mpaka wa tano alipewa fedha taslim kama muonavyo pichani,wengine watano kila mmoja alipewa laki nne taslim.

Kwa picha zaidi na habari
BOFYA HAPA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mkuu wa wilaya nanihii, globu inabia kidogo, hebu let's Yale mijadala mashaka kwa maana yanatia fora kweli. Yaanatutoa uchovu baada ya boxi ngumu mtu wangu

    ReplyDelete
  2. Hivi haya mashindano ... mara malkia wa Sebene, malkia wa ngwasuma nk ... mbona hakuna mashindano ya kina baba? Kwani wakina baba hawajui kukata nyonga? Mimi nataka kushauri hawa wadhamini waache kuwa wabaguzi, muda sasa umefika kwa wakina baba nao kushindanishwa kujua ni yupi anaweza kata nyonga zaidi au kutikisa makalio.
    Mheshimiwa Balozi wa nanii naomba uwafikishie ujumbe huu wahusika wa mashindano hayo!

    ReplyDelete
  3. nendeni shule..ngwasuma ngwasuma mwisho wake nini haswa...sasa 1.6M then what's next??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...