wabogojo akila tizi
Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (wa pili kulia) akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Dar

Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Dar

Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Vuai Zahoro, Dar es Salaam jana. Maonyesho hayo ya sarakasi ya Zain yanahamishiwa viwanja vya Biafra, Kinondoni mwishoni mwa mwezi huu.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ujanja wa bure kumbe hawajui hata kuogelea mwee kazi ipo tehetehe

    ReplyDelete
  2. heeeeeeeee awa wanaume mboni wako uchi??
    ivi ukimwi utaisha kweli?hii ni hatari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...