

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Swali: Hivi mabalozi wote Tanzania ni wanaume ambao wake zao wapo hapa? Je, kwa wale mabalozi wanawake waume zao wangealikwa hapa???????
ReplyDeleteGreat, Mama K.
ReplyDeleteMwakani kwenye uzima, idadi ya vitenge na malemba si ajabu ikaongezeka.
Penyewe hapo kwenye glasi ni Coca au Pepsi?
halafu mbona wenyeji[mrs.sitta,mrs.nagu,mrs.pinda,mrs.shein,] ndiyo wametawala hiyo safu ya mbele ktk picha?
ReplyDeletewake wa Mabalozi wazungu walisusia nini?
ReplyDeleteWasioe angalia elimu za watoto wa tanzania wanakazi ya kutumia pesa ovyo. Watoto wanakaa chini shuleni hakuna madawati, mabasi ya wanafunzi mzozo...shida kila kona wao ndo kwanza wanandaa party.......
ReplyDeleteKaka Michuzi najua unaweza bana comment yangu lkn kaka ukweli ndo huu. JK itabidi aendeleze nchi, na ndio maana wazungu wanasema "Children Are The Future". But nchi yetu ndo kwanza rais azidi neemesha famly yake tuu la mzingi afanyalo sijaliona.
Brother Mithupu, tunafurahi kwa picha hii ya close up ya Mama Salma.Ukiitazama tu unafurahi na moyo unapoa.
ReplyDeleteSi uongo Ikulu yetu imependezeshwa!
mwanamke lemba bibi!!!mwanamke almasi sijui,dhahabu,nakshi-nakshi
ReplyDeletemjijuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
wee annon wa kwanza na swali lako vipiiiiiiiiiiiiii?tukueleweje?
umebanwa na musuli nini???
FAFANUA