Wadau,
Nimekuta hii bango kwenye Mtaa wa Zanaki, kwenye mabati ya Telephone House. Goldstar wanauza hata Masuruali Siku hizi?
MohammedulBaqir N Kalimi

Dar es Salaam,
Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hayo ndio matokeo ya kuogopa lugha za watu alafu bado mnataka kutumia ndio maana vitu vidogo vidogo mnajikuta mnakosea.hapa mtu akiandaka english kidogo wadau wanakuja juu sasa matokeo yake vitu vidogo tunakosea.
    sio mbaya lakini watanzania hatujali vitu vidogo kama hivyo.
    mdau "cha mtu mavi"

    ReplyDelete
  2. Hahahahahahahahahahah
    lalalalalalalalalal
    uuuuuuwiiiiiiiiiii
    Kweli masuruali
    Hivi wadau ilitakiwa kuwa PAINTS ama PANTS???
    Aluuuuuuuuu
    Bubbles"

    ReplyDelete
  3. CHUPI YA NYOTA YA DHAHABU.

    ReplyDelete
  4. mzungu mwenye asili nyeupe akisema JAmbo hatukosoi kama anatakiwa kusema haujambo na sasa hivi mtu atakosoa nimekosea kitu. Kiengereza jama sio lugha yetu. Mkono unamatege jamaa.

    ReplyDelete
  5. NANI KAKUAMBIA SURUALI NI PANTS? SURUALI NI TROUSERS, PANTS NI CHUPI YA NDANI, NAWE PIA KIMEKUPIGA CHENGA CHA WENYEWE.

    ReplyDelete
  6. mdau wa 282009 4;09
    1.PANTS...BrE a piece of underclothing which man wear under trousers and women under skirts or trousers,
    2.PANTS... The usual american word for TROUSERS.
    nadhani umenipata,
    ze mdauz

    ReplyDelete
  7. haaaaaaaaaaaaaaaaahahaha
    kwi kwi kwi
    uwiiiii,,u made my day
    nyie annons mnaosahihishana kiinglishi pants(american) na (BrE)
    muwe malingwistiki basi
    dah,,wabongo??

    ReplyDelete
  8. heheee LOL lakini hilo ndo tatizo letu wa tz tunapenda zaidi kufagilia lugha za watu matokeo yake ndo hayo sasa tunandika hadi matusi hadharani!!!

    ReplyDelete
  9. Pants ni American word for suruali! Pant in USA ni kifupi cha neno PANTALOON, ni aina ya suruali hasa ilikuwa inavaliwa katika karne ya 18 na mwazo wa karne ya 19na hasa ilikuwa inavaliwa na wachekeshaji/COMEDIANS, si suruali hii ya kawaida ambayo kila mtu anavaa ambayo ni TROUSERS hata huko U.S.A. we can say it is an old english of tight fitting trousers for comedians.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...