Dear Kaka Michuzi,
Naomba unitangazie ombi langu katika blog yako.
Naomba unitangazie ombi langu katika blog yako.
Shukrani.
Subject: Serious Relationship to Get Marriage
Hi I am a single female in my late 30’s, height 5'2. I am true Tanzanian with having good values in life, very loving, sincere, honest, friendly and God-fearing. I am looking for a man (black or Caucasian) that is ready for a serious relationship, who is ready to settle down anywhere in the world.
I am looking for a true friend...eventually a lifetime partner. I’m looking for a mature man, stable emotional n financial n fearing God man (single) that can lead our marriage into Christian long happy marriage.
He must be responsible, caring, loving, loyal, honest and most of all have sense of humour I am looking for a partner who could stick with me thru thick and thin in marriage life...who is willing to accept me what I am...a person with total commitments, loyalty and dedication and Love above all things. Preferably between the age of 38-45 and taller from 5'6 to 6’2.
I have no children, but I am open if you do! I would like to have children in the near future. Please don`t play games. Only serious men need apply no intimate encounters please. I am looking for a serious relationship.
Please drop me an email to find out more:
My email:


Dada wetu mpendwa mapemzi sio kitu cha kubahatisha kati dunia ya sasa.kuna kila haina ya binadamu nje huku wazuri kwa wabaya.huwezi ukatafuta mtu wakuishi nae milele kwa njia hii ni wachache sana wanakuwa na bahati na kupata watu wa wenye nia nzuri katika ndoa au mapenzi.
ReplyDeleteushauri wangu na ni maoni yangu pia ni vizuri sana ukajitahidi kujiusisha na jamii iliokuzunguka hapo ulipo sasa hivi na nina huakika utapata mtu atakaye kufaa milele.anza kwa kumjua mtu background yake kwanza, urafiki kidogo hili humjue mtu tabia zake za kila siku na ndio ufanye maamuzi.kwa stahili yako hio utajikuta unaishia kuwa na "fake husband" na baada ya kupoteza nae mda mpa hio siku ya kugundua ikifika utajuta sana.
hayo ni maoni yangu na ushauri wangu kwako.kazi kwako na nakutakia kila la kheri Mungu akujalie umpate atakaye kupenda na utakaye mpenda milele.amin
mdau "cha mtu mavi"
Hi Miss,
ReplyDeleteYou seem sincere and for once there is someone who knows what qualities to look for in a partner instead of degrees. All the best.
All the best. Ila ungeandika kiswahili Mamii kwa kuwa waTZ wanaotembelea blogu hii ni wengi sana ila wanaoweza kuelewa kiingereza ni wachache. Kwa haraka haraka inaonesha unatafuta MSOMI.
ReplyDeleteenewei kila la kheri.
"Bubbles."
Unauza mbuzi kwenye gunia. Weka picha yako full hapa tukuone mamito.
ReplyDeleteAh, michuzi. Tunaelekea kubaya!
we bubbles ebu waache watu watumie lugha wanayojisikia wenyewe .mnakera mno kila saa mtu akiandika kwa english mnakuja juu.kama mtu haelewi si utamwambia tu huko huko kwenye kutaka kuwasiliana au kama ujaelewa kabisa achana nae hakuafai .
ReplyDeleteHawa watu hawakomi, si muende huko kwenye blog changa iliyoanzishwa ya kutafuta wachumba, Michu msaidie huyo ajue pa kwenda, tumechoka bwana na haya mambo !!
ReplyDeleteNO GAMES...MAANA WANAUME WA KIBONGO UONGO UMEKUWA MWINGI KAMA MMESOMEA VILE.
ReplyDeleteWewe binti umeenda ulaya na ukashindwa kurudi bongo unaanza kuleta za kuleta hapa? Wewe jitwalie mizungu huko au wabongo wanaume wengine waliojilipua huko then endelea na kuzaa mitoto michotara. Sijawahi kuona mchumba anatangazwa kwenye net kama naye ni bidhaa. Sahau mapenzi ya design hiyo. Kama unataka mchumba kweli MTZ basi njoo Kariakoo utawapata. Na sio kwenye net. Pia hizo sifa unazotaka wewe je unazo? Are you real beatiful au unatuzengua tu. Ohh financially stable, mrefu, umri fulani, anamwogopa Mungu, n.k! You seem to be not serious. Wewe uchumi wako uko je? Una kazi gani? Kubeba mabox? Kama kweli uko serious weka picha yako ikiwa katika posture mbalimbali ili wachumba watarajiwa waone kabla hawajaweka CV zao. Na sio maneno tu. Hii ni sawa na biashara ya mitumba unanunua bila kujua kilichofungwa ndani ya robota.
ReplyDeleteMdau
USIKATISHWE TAMAA NA MTU YOYOTE YULE NJIA ULIYOTUMIA NI SAHIHI KABISA KWA ULIMWENGU WA SASA, NATUMAINI WEWE NI MZIMA NA UNA AKILI TIMAMU MTU ATAKAYEKUJA KAMA TAPELI NINA IMANI UTAMGUNDUA, NA NINA IMANI UTAMPATA MTU SASAHIHI KABISA WALA USIKATE TAMAA. KILA LA KHERI DADA NA NINAKUOMBEA KWA MUNGU UMPATE MWENZIO MWEMA.
ReplyDeleteHi dear!
ReplyDeleteNapenda kukupongeza kwa kuchukua hatua ya kijasiri kusema haja ya moyo wako dada, napenda kukutia moyo sana kuwa, mume mwema na mke mwema mtu hupewa na Mungu. Mimi nilimpata mume wangu kupitia dating site, lakini ni Mungu amenipa kwa kweli, nilivyomuomba Mungu ndivyo alivyonipa. Usitishike na maneno ya watu kuwa utafute wanaokuzunguka, si kweli mimi Mungu alipanga niolewe na mwanamme ambaye si taifa moja, na tunapendana ajabu ndoa yetu, ni paradise. Ila nakusihi sana mwombe sana Mungu akuonyeshe alie wako, mi nakwambia dada Mungu anakuonyesha najua utapata mails nyingi lkn mwenyewe Mungu atakunyesha kwa njia yeyote ile hata ndoto, omba sana mpenzi mimi nilimuuliza sana Mungu kama ndie na alinidhibitishia kwa ndoto.
Ubarikiwe mpenzi
Utaolewa tu kwa jina la Yesu kwa wakat ambao umemwambia Mungu, maana ni amri ya Mungu kila mtu awe na ndoa yake mwenyewe.
Ms GB
yan wee anon "Ms GB" umenigusa ku-mtima truth kabisa,,umesema sawasawa kuna watu mafisadi wa mapenzi yan hawana huruma utafikiri ni shetani jamani,na wengi ni ngono-ngono then atia timu,,na umetutia moyo sie wote tu ambao twataka wake/waume wema.
ReplyDeleteNi Mungu atoae kweli,anajua kumaanisha (sincerity)kwa moyo wa mtu.
Dada mtoa mada utapata wa haja iyo ya moyo,so do we,
nimependa hapa "I have no children, but I am open if you do!" uuwii toba mbavu zangu
ReplyDeletei think its high time now Tanzania tuanzishe vipindi vya bacheler ili watu ammbao hawajaoa au kuolewa waweze pata wachumba wao humo. sasa dada kwa mfano unareceive emails kama 100 za wanaume wanataka kukuoa na wote wako serious how will you sort the out ili upate anaje hiji viwango ulivyovitaja hapo ni kazi kwelikweli,
ReplyDeletema dear just pray sana utapata wa kukuoa achana na mambo ya kujitangaza
NENDA KWENYE HARUSI NA PARTY UTAPATA MWENZA. NENDA MSIKITINI AU KANISANI NA PIA SHULE AU KAZINI UWE MTULIVU NA MCHESHI NA SIO MHUNI LAZIMA ATAKUJA. NUKIA MARASHI MAZURI SAA ZOTE.SIO KILA MTU ANAANGALIA SURA.JIWEKE SOAPSOAP. ANZISHA TV SHOW. I LUV NYUYORKNYUYORK.
ReplyDeleteMahali ambapo huwa napotezwa na kupotea ni pale mtu akiwa na mke/mume anasema "amepewa na Mungu." Sio wote wanatoka kwa Mungu, except wale wema tu!
ReplyDeleteHuwa mnamsingizia Mungu kila kitu!! Kumuomba hamtaki. Wavivu wa kusali, huku mkisubiri Mungu awaletee wake/waume vitandani na baa, ama disco. You people!! Salini.
Akifa mtoto, BWANA AMETWAA; akichukuliwa mtu msukule, BWANA AMETWAA; akilogwa mtu, MUNGU ALIPANGA; amefariki kijana kwa kuuawa na majambazi, utasikia SIKU YAKE ALIYOPANGIWA ILITIMIA. Shit!
Jamani, kama unasubiri mke/mume toka kwa Mungu basi onyesha jitihada ya kusali na KUTAFUTA. God provides, but never choose for us! Chonde chonde, sijasema utafute kwa kulaghai na kuonja... na kuacha!
Dada naona unatuchanganya hapa,kama ni kweli unahofu ya Mungu mbona umetoa masharti ya kidunia..awe na fedha na urefu...Kama wapo wanotaka kuoa na hawana sifa hizo ina maana utaendelea kuwa nungayembe mpaka...Umri wako mkubwa lakini nina mashaka na busara zako.Financial stability itoke wapi na matatizo ya kiuchumi yanaikumba hata Marekani ije kuwa mtu binafsi.Kumbuka 'beggars should not be choosers'.Hata mimi sijaoa na nina umri kama wako,ila kwa taarifa yako kuna dogodogo kibao wana busara na ni non- materialistic.
ReplyDeleteanony wa jan 28,2009 6:31pm. napenda kukwambia kwamba, kuwa na hofu ya Mungu sio ndo kwamba usipende vizur, cha msingi usiwe na dharau kwa yeyote, lakini unaweza omba chochote ukiwa na kusudi jema na ukapewa na Mungu. Mungu ni wa matajiri na maskini pia. kwaiyo dada kama anaomba aolewe na tajiri hamna shida yeyote.tatizo ni mtazamo tofauti wa baadhi ya watu hapa kumwona dada kama anadharau wenye kipato cha kawaida ,sio hivyo ila choice ya mtu. na always Mungu anaangalia mioyo yetu.
ReplyDeleteMs GB
Dada pole sana, i can imagine upo desperate kiasi gani. I have been into that situation too. Lakin nilisimama katika maombi usiku na mchana, nikimsihi Mungu anipe mume.
ReplyDeleteI thank God nimepata mtu, he is so good. I have never been happy in my life than after meeting the guy, na June I will get married, simama katika maombi serious. Funga na kuomba ukiwa msafi moyoni, jitahidi kuepuka dhambi. Trust me, it wont take long before upate mume mwema
Usirely kwenye emails utakazopata.mlilie Mungu zaidi utapata jibu, kama ni among hao au kuna mwingine. Soma Mithali 3: 5-6 "Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe,katika njia zako zote mkiri yeye, naye atanyoosha mapito yako"
All the best.
Carol
Ms GB NAONA WEWE NA HUYU ANAYEJITANGAZA WOTE NI GOLD DIGGERS.KUNA MASKINI WANGAPI NA MATAJIRI WAKO KWENYE NDOA AMBAZO HAZINA AMANI?UMRI ALIONAO HAKUTAKIWA KUTOA MASHARTI YA UNDER 18.KWA TAARIFA YAKO NA YAKE HUMU MITAANI KUNA MABINTI WAZURI NA WADOGO KWA UMRI,WANATOA MASHARTI YA KUTAKA MUME MWENYE TABIA NJEMA NA TAJIRI WA ROHO.Acheni ubabaishaji hapa....Kama ana Mungu wa kweli asingekuwa single mpaka sasa....!Kwanza anonekana ni limbukeni hajasema kwao wana financial stability wameitoa wapi?Pili kama akiridhika na huyo mume siku financial flexibility ikiwa inflexible ina maana atadai taraka.Poor lady,wake up and be real!
ReplyDeleteWewe anyony 4.01, inaonekana issue ya financial stability inakuuma sana, wewe kama huna hela kivyako,katafute hao watoto wanaotaka utajiri wa roho, yeye anataka mmwenye hela na kila mtu anauhuru wa kuchagua anayetaka. So sikuelewi unakereka na nini! acha kumvaa Ms GB bure, wewe ndo unamatatizo.
ReplyDeletemdau carol, ubarikiwe sana umezungumza point sana. kufunga na kuomba it real works.
ReplyDeleteMs GB