Home
Unlabelled
muhammad ali alipotua bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ugomvi wa zamani lazima uvue shati, viatu na uchore mstari wa ushindi
ReplyDeleteMh Balozi,
ReplyDeleteTunashukuru kutupa hii kumbukumbu muhimu ya mbabe wa masumbwi enzi hizo alipotua bongo.Picha hii nimeipenda kwani nafurahia hiyo style ya nywele ya kuanzia Mohamedi Ally, mdau aliyekunja ngumi hapo, na wadau wote watazamaji, wote wana nywele ndefu, aka lumba, au afro.
Kipindi hiki kijana akifuga nywele kiasi hicho wengine wanasema uhuni, sasa nashangaa sana hiyo.Maana hata wakati tupo vyuoni, UDSM, mwanafunzi ukiwa na nywele kiasi hicho inaweza kula kwako kupata marks chache kisa kuonekana muhuni, ila kwa Professor akiwa nazo (kama Prof Mosha, aliyekuwa Principal wa DUCE) unaonekana msomi, watu wansifia, unaona nywele zile za kisomi??hahaahaha
Thanks
MDAU
Mbona unakawia sana kuposti kumbuka kuwa kublogu ni sawa na chakuala chetu
ReplyDeleteKatumwa na Rais Jimmy Carter kuleta ujumbe wa kuitaka Tanzania isusie Michezo ya Olimpiki huko Urusi kutokana na nchi hiyo kuivamia Afghanistan!
ReplyDeleteRais Carter haukuweza kusoma na kuelewa nyakati!
Kamtuma Ali akifikiria u-“celebrity” wa Ali utalainisha fikra za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
Ali kaingia kwa mbwembwe zake za masumbwi, kama zinavyoonyesha hizo picha.
Lakini kamkuta mpiga masumbwi hodari wa kuyaelewa masumbwi ya dunia: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
Ingawa Kambarage na Carter walikuwa marafiki wa karibu karibu kwa masuala mengi ya dunia, Kambarage kamweka chini Ali na kumfundisha ya ulimwengu!
Baada ya kumkaribisha Ikulu na kupokea ujumbe wa Rais Carter, Nyerere kamfungulia na kumwambia Ali:
Muhammad, serikali ya nchi yako tulipoitaka itusaidie kuweka vikwazo vya kuitenga Afrika Kusini ya Makaburi isishiriki katika michzo ki-mataifa, ilituambia kuwa michezo ni utamaduni; tusiambatanishe utamadauni na siasa, hasa siasa za ki-mataifa!
Sasa rafiki yangu Carter anakutuma wewe kutuhubiria kile Amerika isichokitekeleza nyumbani kwenu?
Nyerere alizidi kumwambia Ali aache kimbele mbele cha kutumiwa tumiwa katika majambo mengineyo, ikiwa ni pamoja na hilo lililomleta!
Mwisho Nyerere alitamka:
Rudi na umwambie rafiki yangu Carter kwamba Tanzania na Afrika imekataa na tutashiriki kikamilifu huko Moscow!
Ali kaukunja na kurudi kwao Amerika mikono mitupu!
Ali katupa taulo ndani na kurudi hima Amerika: Mission ikawa Impossible!
Chezea wengine; sio Kambarage!
Alipolazimishwa kwenda kupigana Vietnam alisimama kiume na kusema kwani wamenikosea nini? Na alinyanganywa ubingwa wake. Miaka hiyo ya zamani mtu mweusi alikuwa hana nafasi yoyote na hakuacha kupigania haki ya za weusi.
ReplyDeleteUlingoni ndio usiseme he is the King. Hakuna tena wa aina yake skills, quick hands, above all stamina the guy was so damn good.
Najua yuko katika kipindi kigumu cha kuumwa nadhani nayeye alijisahau kwa kupigana kwa muda mrefu sana. After the Manila fight with Frazier alitakiwa kujiuzulu.
Long live the Champ tunakuombea matibabu mema.
NIMEGUNDUA VUJANA WAZANI WALIKUWA SMART AISE HALAFU HAWAKUWA NA VIPARA,SIKU HIZI WATOTO WADOGO IN THERE 20'S VIPARA HIVYO NADHANI NI HALI NGUMU YA LIFE PP ARE THINKING ALOT NA WAMEPIGIKA
ReplyDeleteTHE GREATEST.. long live the champ!
ReplyDeletehttp://uk.youtube.com/watch?v=XdakudMZ0J4
Asanti.
ReplyDeleteNakubali. "The Ali" ilikuwa pamba moto ndugu zanguni. Fikiria ile sting lk a bee, dance lk a butterfly...
Lakin haitoshi. Tafakarini:
Wote hapo kwenye mapicha wanaojifanya "kuzipiga" naye afadhali wangegeukia:
siasa zetu,
masufuria yetu,
mikataba yetu,
mawazo yetu,
mihadhara yetu,
maadili yetu,
badala ya kupoteza muda muhimu kujipima nguvu "ki-ivo". Ni show game ambayo tumetumbukia tangu 1880, tangu wenzetu wakiwa na runinga.
Nihesabieni hao, nawaita washika t-shirt wazungu wakipiga tizi, washika pembe wenzetu wakikamua na wapenda gumzo huku chungu chaungulia - ni wangapi hawajafa (angalau yeye Ali bado yupo na kiharusi chake). Tuacheni ushabiki wa kishamba. LIFE EXPECTANCY - Ali yupo, huku sanasana tumeuza vijisehemu vyetu kupisha uwekezaji pale yalipokuwa makaburi ya baba zetu.
Maoni: Jibu letu liwe:
Kazi.
Uadilifu
kazi.
uadilifu
Kazi.
Uadilifu
Kazi!!
Tutaendelea kuwa-nukuu kina alexander bell, kina Einstein, kina aristotle, kina hadi lini?
najua wengine mtatuletea habari za kina Shaban Robert, au Kinjeketileh! Akh! Siasa nyingine hapow! Mapinduzi ya sasa sio kumfumbia mjinga. Pesa za Kagoda hazirudi kwa kuzungukazunguka kukamata vijisisimizi!
Call a spade a spade. Wake up, Go to Work!!
Akh; msituleteage maneno maneno yenu bana.
Dr
Kwenye picha ya juu, huyo jamaa anayekunja sharti anaitwa Mr. Nchimbi. Alinifundisha Zanaki Girls 1978 halafu baadaye aliingia kwenye mambo ya siasa, kada wa chama etc. Sijui yuko wapi siku hizi.
ReplyDeleteMr Ali nimpiganaji mkali ila kila mpiganaji mkali anakibonde wake ukitizama ngumi za Ali kwa Fraiser Smokin Joe Alishindwa pale Jamaa Fraiser alikuwa Gumi lake akipiga si mchezo ila Ali nikiboko yao ana speed na akili. Thriller in MAnila ndio best fight ila Ali alitakak uachia ngazi. Ndosi.
ReplyDelete