Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Maadili? na utandawazi/Biashara? kwa hiyo hapa mteja sio mfaume...ndio maana watalii wanapunguza kasi ya kwenda huko. Waachie watu watanue kwa raha zao bwana, ndo maana wapemba wanabanana Bara. teh-teh-teh

    ReplyDelete
  2. WTF.. sasa pemba tambarare nini,michuzi acha kufagilia upuuzi.. this is 21st century, any one can do what they want..my dear zanzibarians,why are you turning your island into a terrorist land?kwani tupo saudi arabia hapa?

    ReplyDelete
  3. ukiukwaji huu wa haki za binadamu inakuwaje unavumiliwa katka nchi yenye uhuru na demokrasia kama hii ya kwetu binafsi nasimamisha shilingi siungi mkono hili maadaili yanaanzia katka ngazi ya familia,kama familia zikishindwa kutunza maadili ikafikia watu wakakataza wenzao kuponda raha mpaka vyeti huu ni onevu na ni kuvunja haki za watu walio huru makusudi,huwezi kuzuia ngono kwa njia hii kwani watu watafanyia hata ....,so tujenge adabu kuanzia kwenye familia na hali itakuwa poa ,kwani hakutakuwa na haja ya kuulizana vyeti kwani kila m2 atakuwa responsible kabla hata ya kuandikiwa mabango ya namna hii

    ustaadh jumaa bin masharubu,mwanakwerekwe,zenji

    ReplyDelete
  4. Mtakufa maskini shauri yenu KUMBE NDIO MAANA MNALALAMIKIA NJAA VYANZO VYA MAPATO HAMVIHESHIMU

    ReplyDelete
  5. Hii ni moja ya hotel zilizopo. Masharti yake ndio hayo. Zipo hoteli zingine za waasharati, zina wakaribisha wazinifu wote (jamii ya Sodoma na Gomora) ruksa kwenda huko.

    Njuweni hapa Kibaha ina masharti kama hayo lakini inajaza wateja amabo wanataka kulala, kula na kupumzika. Njuweni inafanya biashara zaidi ya miaka 20 sasa na inaingiza faida. Kwani faida ni mpaka kuwe na pombe madawa na ngono?

    ReplyDelete
  6. wengi wenu mliotowa comments zenu nadhani hamkulisoma na kulielewa tangazo (kwa mtizamo wangu).
    Hakuna aliyelazimishwa kwenda hio hoteli, na nadhani sio kila hotel ina tangazo kama hilo. nadhani hakuna haki ya binaadam iliyovunjwa as far as hakuna aliyelazimishwa kwenda hapo.

    ReplyDelete
  7. ananymous wa 5:54 09 jan. unawezaje kuulinganisha au kutoa uhusiano baina ya kuzuia watu kuingia bila ya mwanamke na terrorist? watu wako huru kuchagua aina ya wateja katika biashara zao kwa vigezo tafauti.
    vigezo kama BEI, MAENEO/MITAA huwa ni kawaida huko Dar kutumika mbona hulalamiki? mfano kuna hotel huwezo kuingia sababu ya bei kuwa juu au bidhaa fulani huwa na bei tafauti kulingana na mitaa/maeneo.
    TUJIFUNZE USTAARAB WA KUVUMILIA HISIA ZA WATU. HAKUNA ALIYELAZIMISHWA

    ReplyDelete
  8. je mashoga nao mtawatambuaje? acheni zenu nye wapembaaaaa

    ReplyDelete
  9. Maskini Tanzania ya kizazi hiki!!! naihurumia kweli!!! Hebu angalia haya matumizi mabaya ya uhuru a.k.a demokrasia yanavyodomoa hata dhamiri za kujua mema na mabaya! Leo hii Tanzania mtu akijitokeza kutetea maadili ataambiwa kapitwa na wakati. Kwa mtindo huu haishangazi hata kidogo rushwa kuitwa TAKRIMA au uwezeshwaji. Licha ya kelele zoote usikiazo juu ya Rushwa, ni wazazi au ndugu wangapi wawaelezao watoto au jamaa zao ubaya wa kupokea ruushwa acha tu kuwakataza! Zaidi utasikia mtoto yule mjinga ana nafasi nzuri lakini bado maskini tu, hajachangamka!
    Tumepotea kwa kasi sana huku tukiongeza ari ya kudharau watetezi wa MAADILI yanayodhihirisha ubinadamu wetu. Hatujali hata maambukizi ya V.V.U YAWE KIASI GANI, HATUJALI HATA WANAFUNZI WANGAPI WAPATE UJAUZITO! Kisa Demokrasia, haki za binadamu na Uhuru! Mdau toka Oslo

    ReplyDelete
  10. Naam...at least tunao binadamu wenye maadil na nidhamu ya sheria ya mwenyezi Mungu mtukufu...penye ubaya hata kama kuna chembe ndogo tu ya uzuri basi wote tutaokoka na kahari na adhabu!!!tuombe dua ili tusaidiwe na kufuata wema dhidi ya upotovu..

    ReplyDelete
  11. Hivi nyinyi mliotoa maoni hapo juu mbona mnakuwa watu mnaotawaliwa na fikra potovu za kuhalalisha chochote kinachowapatia pesa??...hivi kama nchi haina maadili mnafikiri itafika wapi? na pia inabidi muelewe kuwa watalii hawaji nchini kwenu kwa sababu ya ngono bali huwa wanakuja kuangalia tamaduni tofauti na za kwao. Sasa kama wapemba wameamua hakuna ngono bila ya cheti cha ndoa basi hivyo ndiyo hivyo...tazameni athari za utalii huria ulivyo athiri nchi kama Thailand na majirani zake halafu ndio mtoe maoni yenu.
    Acheni kukurupuka na kuanza kuhukumu jamii au taifa bila ya kuwa waangalifu na yale mnayoyasema. Hivi bado hamjajifunza yaliyotokea Bukoba, Mbeya, DSM na ukimwi??

    ReplyDelete
  12. Jamani kwa hapa Tanzania binadamu yeyote ana uhuru wa kufanya jambo fulani ili mradi tu havunji sheria. Hawa wenye hiyo hoteli sioni ubaya au kosa walilofanya. Ni utaratibu wa hoteli hiyo na zingine nyingi. Sioni tatizo. Namuunga mkono aliyetoa mfano wa hoteli ya Njuweni pale Kibaha. It is among the through out fully booked hotel wakati pombe na ngono marufuku. Kweli wengi hatupendi ngono uzembe za mahotelini hivyo tunavutiwa sana na hoteli zinazo-discourage ngono hovyo. Kuna vijiguest mitaani unakuta vimeandika kulala bei fulani, chapuchapu bei fulani. Je tunapenda hali hiyo???? Unakuta hoteli ni ya walevi tupu na wanapiga kelele usiku kucha na fujo zisizo na msingi. Je hizo ndiyo tunazipenda?? Long live Pemba Island Hotel kwa kazi nzuri.
    Mdau wa Norway.

    ReplyDelete
  13. Sio vizuri kuchanganya dini na biashara, hata huko Vatican City hakuna masharuti hayo

    ReplyDelete
  14. Sasa mume na mke mtembee na marriage certificate wakato wote? Pete hazitoshi?

    ReplyDelete
  15. Kama mtu anania ya uzinzi atafanya tu, tukienda wawili tukachukua vyumba viwili halafu usiku nikamnyatia mwenzangu kuna atakaye kuja kubisha hodi chumbani kwangu usiku kujua nina fanya nini? Acheni hizo!

    ReplyDelete
  16. Ah jamani ...mtu awe anatembea na kitambulisho cha ndoa kila siku?

    Ring inatosha kuwa kitambulisho?

    Oprah na mahela yake yote akija hapo na SO hamtampokea?

    Na ndoa za mkeka nazo zina marriage certificate au wao hawaendi kwey hiyo hotel?

    Ni maadili mazuri lakini practical sielewi hama ina misingi yoyote. Pombe nitakubali lakini hii sijui ya cheti cha ndoa.

    ReplyDelete
  17. long live Tz AKA ukimwiland!

    ReplyDelete
  18. tanzania ina mamilioni ya watu wenye ndoa lakini sizani percent kubwa ina marriage certificates. majority ya watu wenye hizo certificates ni wale wenye kuishi mijini au wamesoma. majority ya watanzania ndoa zao ni za kimila na mara nyingi hizo ndoa hazina certificates. je ni watu wangapi wanatembea na marriage certificates zao. hii ni ubaguzi mtupu. sheria kama hizi zilikua in some southern states za america lakini watu wengi walizipinga sana.

    ReplyDelete
  19. Ellen DeGeneres na yule mwanamke mwingine kama kichaa kichaa naye alikua na talk show yake wote wana vyeti vya ndoa hahahahhah wao wanakubalika huko mashoga waliohalalishwa huku USA?

    ReplyDelete
  20. Ukweli Pemba & Zanzibar bado ukolini uko..na hii itaendelea kuwepo maana kila raisi anayechagulia anaendeleza hayo mambo. people please, Just do bussiness and worry about something else. Kama unaogopa kubeba dhambi ya mzinifu sidhani kama ni wazo zuri la kufungua hoteli. Michuzi hapa sioni Tambarare hata chembe, huu ni uzushi.

    ReplyDelete
  21. JAMANI WATU WAZITO SANA KUELEWA...HAPO HAJALAZIMISHWA MTU JAMANI KWENDA,KAMA UTAONA PANAKUFAA BASI SHWARI,LAH KAMA UNAONA SIPO KUNA SEHEMU NYINGI ZA KWENDA..ACHENI ULALAMISHI USIOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU..YANI WATU ROHO ZINAWAUMA KWELI HAPA KISA TU HOTELI HAIRUHUSU POMBE WALA ZINAA...NA HII SASA NDO DEMOKRASIA,UNACHAGUA UPENDACHO!!WATU TUNA IMANI TOFAUTI,BASI HOTELI HII ITAWAFAA WALE WASIOPENDA POMBE NA ZINAA,NA BIASHARA ITAFANYIKA NA FAIDA WATAPATA,KWANI SIO WATANZANIA WOOOOTE NI WANYWA POMBE!!
    TOENI MAWAZO YENYE AKILI!!

    ReplyDelete
  22. hizo comments hapo juu zinaonyesha ni kiasi gani watz ni wapumbavu. Oprah ndo nini? Mboni huko ughaibuni wanapokataza kunywa pombe hadharani watu hamnung'uniki na mnafuata sheria zao? Sheria ni sheria na kila watu wanazao. Wangesema hapo hotelini wasenge wanaruhusiwa ndo mngeona maendeleo hayo.

    ReplyDelete
  23. Mashoga na wasagaji waliooana kwa ndoa na wenye vyeti tangazo hilo haliwahusu.Hiyo hoteli mnakaribishwa saana.Tangazo hilo linahusu Mwanaume na mwanamke ambao hawajafunga ndoa.

    Pemba si mnakujua watu huongea kwa mafumbo hilo tangazo ni fumbo.Na fumbo mfumbie mjinga mwerevu atajua.

    Karibuni Pemba.

    ReplyDelete
  24. nyinyi wote mlioponda hili tangazo hamna maadili maana limewagusa mimi sioni ubaya wake, hawa wamiliki wa hoteli hawana haja ya pesa za Oprah ili wapate faida wanaona mbali, wanataka faida ya halali, na nyinyi mnayoliponda hili tangazo nendeni huko bongo kwenye vijigesti vyenu mkanunue ukimwi sio kuponda maadili ya wenzenu wapo huru na wanaweza kufanya wanavyotaka kunusuru maadili yao.full stop.hamuwezi kuwafundisha watu kuishi.

    ReplyDelete
  25. Wadau mimi nimekaa Pemba muda mrefu kidogo.Hilo tangazo halina maana yoyote.Yaliyokatazwa ndo yanatendeka.

    ReplyDelete
  26. mchangiaji wa pili toka juu, grow up nenda shule na fanya utafiti kabla ya kushutumu watu na u-terrorist.

    ReplyDelete
  27. Nani kawaambia ukimwi unanunuliwa kwenye guest house? Ndio nyinyie wa mimi nana V.V.U tu lakini sina HIV

    Mnajidai watakatifu taa zikizimwa basi mnayoyafanya yanatisha kuliko hata ya hao wanaokwenda kwenye guest. Unataka kuniambia watu wote walio na ukimwi TZ wameupatia guest house.

    Elimu na moral values ndio kizuri cha kufundishwa. Mambo ya kusema njoo na certificate huku wala sio kupungua ukimwi.

    ReplyDelete
  28. OMG this is funny kweli....halafu wanaaongoza kwa starehe ni wale ambao hawana majukumu ya familia mostly Boy/girl friends,na engaged couples sasa hii ya pemba kweli kali...kaka michuzi wanafanya biashara kweli hawa??
    Mdau
    Hartford,CT

    ReplyDelete
  29. Amiiiii ndo mambo ya Pemba ayoooo Amiiii

    ReplyDelete
  30. UZINZI MTUPUUU!! ENZI ZA MWALIMU MSINGETHUBUTU KUDHARAU TANGAZO KAMA HILO...UZINZIII MTUPUUU!

    ReplyDelete
  31. mambo kimya kimya wazee naingia na demu wangu kimya kimya tunapanga vyumba kila mtu na chake kimya kimya then usiku mambo kimyakimya ah nani huyo anabisha vitu ni kimyakimya wazee

    ReplyDelete
  32. hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    pemba tambarare,,,uhuru wa nchi za kiarabu jaman pemba ni nchi kumbukeni,annon apo juu ati mashoga akina ellen nk,elton john hahahaaaaa,rings kila mtu atachongesha hahahaaaaa,vyeti vya ndoa ilhali pemba tu ndoa za mkeka bwelele hahahahaaaaaa,kazi kweeeeli ivi kutengeneza cheti kwani kazi?
    ila napenda hotel zisizo na pombe kabisa ni midisco yao ile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...