Home
Unlabelled
pinda ziarani geita na chato
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Da masikini magufuli wa watu, jamaa wamemzima jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... sisiemu noma!!
ReplyDeleteKweli kwa maoni yangu Mh MIZENGO KAYANZA PETER PINDA huyu jamaa anatakiwa kuwa rais after JK huyu mkubwa ni mpiganaji kinoma
ReplyDeletemh, mkuu unayesema Magufuli wamemzima hujajua anawaza nini, nadhani keshaona mchezo uliopo kwenye siasa nae kaamua kujipanga kwa maisha nje ya siasa. Alipokuwa waziri katika wizara ya nyumba, ardhi na maendeleo ya makazi pia alikuwa anasoma pale UDSM, alikuwa anafanya masters katika Kemia, na sasa hivi unaona yupo kimya ni kwamba anasoma pia, anafanya PhD ya Kemia hapo hapo UDSM, ni kwamba anajipanga kwenda kuendelea na fani yake ya ualimu baada ya siasa na sasa mpango wake ni kwenda kufundisha UDSM, mjanja huyo taratibu anajiondoa kwenye siasa za majungu na fitina.
ReplyDeleteBig up shemeji Magufuli.
Michuzi,Shikamoo Mzee.Hiyo picha ya juu una uhakika ni Geita au Chato??Nimeangalia sana hilo jengo kwenye background sipati picha.Geita napafahamu vizuri sana,Chato 'kamji' kamechoka hakana hilo ghorofa.Ni hayo tu,haujachanganya picha?Wakazi wa Geita na Chato saisieni
ReplyDelete