WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akikagua kadi za wananchma wa cha ushirika wa kuweka nakukopa (SACCOS) ya Meli nne, Zanzibar, juzi. Kushoto ni Waziri Kiongozi waZanzibar, Shamsi Vuai Nahodha na kulia ni Mhazini wa ushirika huo, Shemsa Hilali
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akilakiwa na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Kushoto ni Naibu Waziri Kiongozi, Ali Juma SHamhuna

WAZIRI Muu Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoawa Kaskazini Unguja , juzi ambao utagharimu zaidi y a sh.milioni 358.


MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akivuna mpunga katika bonde la Cheju, mkoa wa KusiniUnguja



WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda na mke wake, Tunu Pinda wakivuna Mpunga katika bonde laCheju, mkoa wa Kusini Unguja,juzi. Katikati ni Waziri wa Kilimo, Mifugo naMazingira wa Zanzibar, Burhani Saadat. Picha zote na mdau Hilary Bujiku





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani haya mambo ya kuvuna mpunga kwa kisu tutakwenda nayo mpaka karne ya ngapi ? Hivi hakuna uwezekano wa hata kununua matretka mawili au matatu ya kuvuna mpunga, hata ikibidi kuwatoza cho chote hao wenye mashamba ?

    ReplyDelete
  2. hiyo hela badala ya kutumika kujenga hiyo ofisi ingetumika kuboresha miradi ya maji ingekua uzuri zaidi au mheshimiwa hajui jinsi zenji kunavyo shida ya maji?..au ndo kwanza chama social services baadae!?,

    huyo nahodha hajali yeye bkoz kwake maji yanatoka saa 24, tunoumia ni sisi wananchi tena wanawake kubeba madumu kila siku afu ndio mana kipindupindu hakishi kutokana na ukosefu wa maji.

    hope ujumbe utafika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...